Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

Hyena.... Hyena (x2). CCM nambari wani (Tunguli)
 
katika hali ya kushangaza sana kisiasa tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia ukawa hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana ccm au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni ccm, ccm, ccm, ccm. Hakuna cha chadema, cuf, nccr wala act.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma tv, licha ya mtandaoni, bila kuisahau jf ni ccm. Ama kwa hakika, wataiongelea ccm wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "political strategy" ya karne.

Kila nnapopita jf, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania urais wa ccm, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa rais wa tanzania bado ataendelea kutokea ccm uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni kichwa.

umenikumbisha

ameinama.ameinuka.ameokotaa.

Kidudee diidolii kidide

nb

usiniulize.ameinama.anafanya..n
 
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

Kweli nimeamini ccm imechoka, yaani mama kama wewe kweli unaweza kuja ni miparagraph kibao ukatamba kwamba sasa hivi ccm inafunika kisa inatajwa kila mahali!! na huku ukujinasibu kama ndio ishara ya kukubalika kwake!!! Mimi nilidhani ungefanya tathmini ni kwanini inatajwa sana na kutajwa huko ni kwa mtazamo chanya ama vipi. Kwa maneno mengine unataka kusema hata Mungu amefunikwa na shetani kwakuwa shetani anatajwa sana kwenye nyumba za ibada? Hebu tuambie ni kipi kipya kilichosemwa na watia nia wote wa ccm zaidi ya porojo za miaka yote kwamba tutajenga barabara, tutaboresha afya, tutaleta umeme nk. Na aibu zaidi ni pale watia nia wengi wa ccm ambao wako ndani ya serekali kuongea kama wako nje ya mfumo huu hivyo mfumo uliopo ni mbovu na wao wakipata nafasi wataboresha!!!

Bado unaamini katika kutangazwa katika vichwa vya habari ukidhani ndio kukubalika? Hata kinachoendelea ndani ya Burundi kinatangazwa sana, je ni ishara kwamba ni kitu sahihi? Pole mama kwa mawazo hayo ya kizee.
 
Kwa pesa mliyopiga escrow mimi nilijua mtanunua helikopta sio hilo basi la kichina,ukoo wa panya tatizo wote ni wezi
 
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

Ahsante FaizaFoxy, nimeamini wewe ni kichaa
 
Binadamu ili ukamilishe ubinadamu wako lazima uwe na uoga na aibu,hivyo vitu ndiyo check and balance ya utu wako ukivikosa hivi utakuwa na utafanya mambo ya ajabu na utakuwa wa ajabu.

Na katika watu waliokosa uoga na aibu ni huyu bibi na maCCM,lazima utamgundua kama so vitendo basi maneno yake kama haya, huwa naogopa kumsoma hujui atakuja na upuuzi gani,uCCM, udini she is a lost mind
 
Yaani hata mie nisie na Chama ninaona hiyo.

Hivi Chadema wao yaani na wenzao UKAWA ni wanasubiri hawa labda watoe yao then waingie kwa gia kubwa au?
 
Faiza fox msitambe tumewapa wiki moja tu. Baada ya muda wanaume UKAWA tunarudi kwenye vyombo vya habari mpaka Ikulu hiyo. CCM mmepwelewaaaaaahhhh!!! Mmepwelewaaaaaahhh!!!
 
Halafu kutukana kiongozi matusi ya kishenzi bila sababu inakera sana. Jk kaingiaje hapa hadi umtusi? Acha upumbafu wako endelea kulumbana na FF siyo kutukana asiyehusika. Yawezekana humjui mzazi wako wa kiume wewe.
Naona unatokwa povu....umetafuna nini wewe? Au wewe ndio unayechezea gozi sasa waona wivu? pumbavu zako!
 
Hivi wewe FaizaFoxy kuna wakati CCM ilizungumzwa kama wakati wa ESCROW account? Hali ilikuwa vipi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

Emdeleeni kuisaka bikira kwenye wodi ya wazazi!
 
Last edited by a moderator:
Muda wa kula hela ndio huu
 
Attachments

  • 1433523070389.jpg
    1433523070389.jpg
    49.7 KB · Views: 141
FaizaFoxy

Inaitwa "Qinana Effect"

Ni kama tukio la kimbunga ama tufani hivi. Medani za kijeshi zimetumika kiraia zikichagizwa na vikolombwezo vya kisiasa.

Kazi kwa UKAWA kujibu mapigo ya "Qinana Effect" le fenómeno
 
Angekuwa kichwa angewavua magamba wale nyoka wa lumumba

Ni Kichwa cha MWENDAWAZIMU ambapo kila kinyozi hujifunzia kunyoa. Ndio maana hawezi kuwavua magamba wale nyoka wa makengeza wa Lumumba!
 
Kichwa tena cha madenge....kisichoweza a wala b
 
Unaota saa hizi? Kumbuka, ni mchana.

hivi hata kitu kikiwa kibaya watu wakakichambua na kukijadili...maana yake wanakipenda??? Hata UKIMWI unajadiliwa na kila mtu....lakini sio kitu cha kukaribisha......we umerogwa tu!!!!!!!!! Na ndio maana ikija uchaguzi mkaona mambo yako tofauti mnakimbia na masanduku ya kura....Tambua kijana yeyote mwenye miaka chini ya 45 akiipigia sisiem either ni familia ya kibaka au karogwa.....na ndio 80% ya wapiga kura....labda aje Makongoro...ambae akiingia mtaona bora UKAWA wangechukua....atawabadilikia.....2016...utakuwa ukianzisha thread za kumsifia Mbatia,Slaa,Mbowe n.k
 
Back
Top Bottom