Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

CHADEMA ndio wameshapagawa kabisaa! Sasa wanaalika watu kwenda mikutanoni kwa kuwapakiza kwenye malori!

Teeeeh,teeeeh,teeeeh,unatoa wasifu wa mbinu za ccm jinsi wanavyosafirisha waimbaji wa IYENA?
 
Taifa zima limepigwa bumbuazi jinsi chizi-maarifa anavyojibidiisha kutafuta dhahabu ndani ya dampo la kinyesi wewe unaleta vihoja. Unazeeka vibaya kwa hakika.
 
Hatimaye naamini watanzania wanataka Rais bora na si bora Rais bila kujali anatoka chama gani.

Tujiulize, kipi bora - Rais bora kwenye chama kibovu au Rais mbovu kwenye bora?

Lowassa hata aende wapi, hakuna kitu. Lile wazo kwamba anajitoa, kama kweli lipo, lingempa walau kaheshima fulani. Lakini kwa idadi ya kupe na ndorobo wanaomzunguka, itakuwa ngumu sana.
 
We Faiza umelewa mleo uwe wa wanaccm wote. Usifikirie watu wakisema ccm ccm ccm, wanampango mzuri nanyi. By the way hao ccm wana lipi jipya! 30 years na story ni zilezile. Mmelewa na endeleeni kulewa hivyohivyo

Huyu FaizaFoxy hajawahi kusikia Yanga wanapigwa goal na SIMBA halafu SIMBA wanashangilia YANGA, YANGA, YANGA, YANGA..........!!
 
Kinana amekuwa mbunifu na anafanya ziara za "kina",kosa mmoja wanafanya UKAWA ni kufanya ziara maeneo yaleyale kila mara(hususani maeneo ya mijini) badala ya kwenda maeneo ya vijijini ambako ndiko waliko wapiga kura walio wengi.
 
nimeshangaa kidogo maana una point hapa...sikutarajia.

Natamani hii strategy ya bus iigwe kwa matumizi mengine ya safari za kiserikali, ngazi ya waziri, wakuu wa mkoa etc mini bus kuchukua za kuchukua watu wengi na kupunguza matumiza ya mafuta, posho, dereva na maintanance.
 
Mpaka Tanzania daima gazeti la yule mwenye makengeza habari ni Ccm tu habari nyingine haziuzi
 
Kinana amekuwa mbunifu na anafanya ziara za "kina",kosa mmoja wanafanya UKAWA ni kufanya ziara maeneo yaleyale kila mara(hususani maeneo ya mijini) badala ya kwenda maeneo ya vijijini ambako ndiko waliko wapiga kura walio wengi.

Halafu mwisho wa siku wanakuja kulalamika wameibiwa kura
 
Umempa manundu ya kweli, tutaongeleaje cdn ay ukawa wakati ccm ndo wenye habari mezani!
 
Yawezekana gozi la JK keshalichezea...she's simply in love with the mazafanta.
Halafu kutukana kiongozi matusi ya kishenzi bila sababu inakera sana. Jk kaingiaje hapa hadi umtusi? Acha upumbafu wako endelea kulumbana na FF siyo kutukana asiyehusika. Yawezekana humjui mzazi wako wa kiume wewe.
 
JK ni Juma Kisoka ...alikuwa anamaanisha hivyo...Mbona umepanic?
 
Watanzania tuwe na utamaduni wakujadili hoja bila matusi, inawezekana jamani...mkuu hapa umeteleza...japo siungi hoja mkono kwa magamba
 
Mmama wa ajabu sana wewe,yawezekana dushe la mzinzi umeshalichezea.Na utakoma,safari hii wagalatia wanachukua nchi yao

sio mmama huyu...huyu ni mbibi kipenzi changu mie hapa
 
ccm ni kansa ya taifa hili

Wezi na majambazi wakubwa
 
Back
Top Bottom