Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

Siku zote huwa nakueleza jinsi ulivyo shallow kifikra, japo huyu bwana PPM utakuwa umemsoma lakini naamini unaweza kuwa haukumwelewa kabisaaa. Kwa kukusaidia tu, nime-mnukuu tena ili ujaribu kurudia kusoma si lazima uelewe anachomaanisha ila rudia tu kusoma.

Mfano ni kama ambavyo huwa threads zako zinapata responders wengi mf. wa hii lakini haimaanisha zina mantiki au unakubalika kwao.

Watu wengi kwenda chooni haimaanishi kuna mvuto au panapendeza zaidi kuliko sehemu zote ila ni kwa sababu ndo panapofaa kwenda kutupa uchafu. Sasa wewe jipime kwako watu wanatupa nini.......?? Sio lazima unipe jibu......

Kwa heri!!

Dada angu ndiyo maana nilikuambia kwenye thread zilizopita inaonekana tumbo linakusumbua. Kila kitu kina zamu yake. Kwa sasa hivi CCM ndiyo wako kwenye mchakato ndiyo maana watu wako uku. Ikifika wakati wa UKAWA tutaenda uko. Chelsea akicheza leo utakuwa mwendawazimu ukishabikia Man U ambaye atacheza next month

Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

Pole yako sana. Humjui kinana wewe.
 
Dada angu ndiyo maana nilikuambia kwenye thread zilizopita inaonekana tumbo linakusumbua. Kila kitu kina zamu yake. Kwa sasa hivi CCM ndiyo wako kwenye mchakato ndiyo maana watu wako uku. Ikifika wakati wa UKAWA tutaenda uko. Chelsea akicheza leo utakuwa mwendawazimu ukishabikia Man U ambaye atacheza next month

Hapa Kinana amewapagawisha kama Ujerumani ilivyowapagawisha Brazil, mpaka sasa naona 5-0, mpaka mjipange lini tena? kawaulize Brazil watakueleza.
 
We Faiza umelewa mleo uwe wa wanaccm wote. Usifikirie watu wakisema ccm ccm ccm, wanampango mzuri nanyi. By the way hao ccm wana lipi jipya! 30 years na story ni zilezile. Mmelewa na endeleeni kulewa hivyohivyo

Basi jipya la Kinana hujaliona? Jengo jipya Dodoma hujaliona, wakati wenzetu wengine miaka zaidi ya 20 leo hata ofisi bado ni nyumba ya kupanga kwa Mzee Mtei na Fuso chakavu za kununuwa kwa mkwewe.

Ukisoma huelewi basi hata picha hauoni?
 
sasa unashangaa nini,wakati shetani mwenyewe kila cku anaongelea makanisani,mickitin kila sehemu ccm ni aduni shetani mwenye anaafazali

= afadhali

Wewe ni muumini wa gwajima?
 
Bibie ni kweli kabisa kwamba kwa sasa ccm inasemwa sana, ila kwa mtu aliye na akili japo kidogo japo z kuvukia barabara, hawezi kuumizwa na hilo..!!!

Shetani anaweza kuwa anasemwa zaidi, iwe ni mitaani, Makanisani, Misikitini na hata makazini.

Lakini je kwa kusemwa kwake huko kunamaanisha kwamba anaungwa mkono? Watu wanaisema sana ccm kwa pale ilipotufikisha Watanzania na kubwa zaidi hata ule mshipa wa haya (siyo aibu) umekatika katika viungo vyao, Laiti kama mshipa huo ungekuwa unafanya kazi, ccm wasingefikilia japo kusimamisha Mgombea ktk nafasi yoyote..!!! Huku ndiko unakoona wewe kwamba ccm inasemwa sana. Watu wanaichukia sana ccm kiasi haiwaishi vinywani mwao na yeyote anayejinasibisha na ccm kwasasa hugeuka kituko mbele ya Kadmnasi..!! Hili si jambo la kulifurahia, hili ni jambo ambalo watu wazima wenye akili zao hukaa chini na kujitafakari, "hivi tumewafanyia nini Watanzania kiasi.wanatuchukia namna hii"..!!

Na kwakuwa Mwenyezi Mungu amepofusha ufahamu wenu mnadhani mnaongelewa kwa Mazuri. Haya mfano mdogo tu, mimi hapa nimeingolea ccm. Na katika maongezi yangu nimeitaja mara kadhaa... Je nimeiongelea kwa Muktadha upi? Wewe unajifunza nini kwa nilichoongea? Unakiweka ktk mizani ipi?

Msikilize Makongoro, Mwambie huyo Kinana wenu achukue hatua stahiki maana Mwenyekiti wake ameahindwa...!!!!

BACK TANGANYIKA

Ungekuwa haumuungi mkono shetani usingeshadidia mtu anaepora mke wa mtu awe kiongozi wako na unamuona wa maana? kinyume na mafundisho ya dini zote na ni ushetani kwa dhanna yoyote ile.

Huko kama si kumfata shetani ni nini? Hivi hicho kichwa ulipewa kuwa ni mzigo tu juu ya kiwiliwiwli chako? Kitumia kwa kufikiri japo kiduchu.
 
Jidanganyen..ccm haisafishiki.wametuibia sana,wamesababisha vifo,wamedhulumu sasa tunaenda kuiadhibu octobee
VOTE FOR UKAWA:thumbdown::thumbup:
 
Katika wa mama wa hovyo hapa Jf wewe unaongoza.UNA MAMBO MATATU YA HOVYO-MDINI,MCCM,AND THEN MJUAJI.UTAKOMA MAKONGORO AKIWA RAIS,NYIE WATU WA PWANI BWANA,CDHAN KAMA MTAKUJA KUONGOZA NCHI HII.JUZ UNAMPONDA MAKONGORO,WAKATI JAMAA YAKO KAINGIA ANAJULIKANA NI MZINZI WA KUTUPWA.

​
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya kutembelea soko la jipya katika kata ya Didia​
 
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

Sitaki kuamini kama na ww umechoka kama walivyochoka wenzio maccm
 
Unajua kwa nini ccm inasemwa..??ni simple tu,kwa sabababu wanachama wake karibia wote mi mafisadi na wezi hivyo watu tuko makini kuona ni mwizi gani atapewa kupeperusha bendela ya chama la wana..!!"in two evils choose the lesser evil,"tunasubilia kwa hamu kuona who wil be the lesser evil among all evils members..!!

= tunasubiria

Wewe nawe miaka 5 ndani ya JF mpaka leo haujui wapi pakuweka "R" na wapi pakuweka "L"? Darsa lote nnalokupa hapa JF kuhusu hili wewe bado tu?

Amma kwa hakika Mwalimu wako shule unamsikitisha sana akikusoma.
 
Binafsi navutiwa na sarakasi na usanii unaoendelea ndani ya ccm. Ndio maana namwomba Mungu nione zaidi ya haya.!
 
Yule pale yule pale Kada wa CCM apewe kura ya ndio!!!!!!!!!!
 
Mh! Me nikajuwa weye ni swala tano, kumbe hata vichwa vya wazee vinakukuna?
 
Hivi wewe FaizaFoxy kuna wakati CCM ilizungumzwa kama wakati wa ESCROW account? Hali ilikuwa vipi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

Emdeleeni kuisaka bikira kwenye wodi ya wazazi!

Hata kanisa katoliki lilizungumzwa kilaini sana wakati wa Escrow, unakumbuka?
 
Hapa CCM wanapima Upepo 😀
Site huku hali ni Mbaya, yan nakubali 100% kweli ninyi ndio GUMZO la nchi kwasasa, Lakini ukitaka kujua GUMZO lipoje rejea jana mjadala ITV wa Usiku kwenye Malumbano ya Hoja

Kweli mjadala ulikuwa ni CCM, lak swali wanaijadilije? :what:

Nawambia hapa Bila ushabiki, Mwaka Huu mkitoka, heee😕 sijui

Hivi wewe hujaona hoja ila ya wale bavichaa? Unanchekesha!
 
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

​

Wajinga ndiyo waliwao. Watu wanadanganywa na kuyumbishwa na maneno.ya wanasiasa wanaolea ufisadi.
 
Back
Top Bottom