respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Ungekuwa haumuungi mkono shetani usingeshadidia mtu anaepora mke wa mtu awe kiongozi wako na unamuona wa maana? kinyume na mafundisho ya dini zote na ni ushetani kwa dhanna yoyote ile.
Huko kama si kumfata shetani ni nini? Hivi hicho kichwa ulipewa kuwa ni mzigo tu juu ya kiwiliwiwli chako? Kitumia kwa kufikiri japo kiduchu.
=Kumfuata
Akili zako fupi kama mkia wa Sungura..!!!
Na kwa kukosa hoja mmegeuza suala la ndoa na maisha ya mtu kuwa ajenda zenu kisiasa, Ninachokifuata mimi si ndoa ya mtu, Siangalii nani kapora mke wa nani? Au nani kaporwa. Kama mwanaume Kamili siwezi kamwe kulalamika mwanzangu kupora mke wa mtu au mimi mwenyewe kuporwa Ni aibu..!! Hata kwa wewe Mwanamke kulalamika mwenzako kukimbilia kwa mwanaume mwingine ni ujinga, kama umetamani nenda nawe kajipitishe ikikunogea naye akanogewa nawe ruksa kupora/kuporwa..!! Hayo ni masuala ya maujuzi kitandani sisi wengine hayatuhusu..!!!
Hivi huo ubongo kichwani mwako umeingiliwa na funza..??
BACK TANGANYIKA


