FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
- Thread starter
- #81
Siku zote huwa nakueleza jinsi ulivyo shallow kifikra, japo huyu bwana PPM utakuwa umemsoma lakini naamini unaweza kuwa haukumwelewa kabisaaa. Kwa kukusaidia tu, nime-mnukuu tena ili ujaribu kurudia kusoma si lazima uelewe anachomaanisha ila rudia tu kusoma.
Mfano ni kama ambavyo huwa threads zako zinapata responders wengi mf. wa hii lakini haimaanisha zina mantiki au unakubalika kwao.
Watu wengi kwenda chooni haimaanishi kuna mvuto au panapendeza zaidi kuliko sehemu zote ila ni kwa sababu ndo panapofaa kwenda kutupa uchafu. Sasa wewe jipime kwako watu wanatupa nini.......?? Sio lazima unipe jibu......
Kwa heri!!
Sasa nimeamini wewe ni wale ambao mlikulia kwenye nyumba ambayo choo ni sehemu chafu kuliko zote au hakuna kabisa.
Kuna chumba kizuri kwenye nyumba zaidi ya choo? Kuna mahala ambapo kwenye nyumba au kwenye kiwiliwiwli chako ambapo panatakiwa pawe pasafi zaidi ya chooni?
Au wewe ni katika wale ambao hamtumii maji kujisafisha choo chako? halafu mnajiona ndiyo wasafi? Fikiri.






