Ahsante Kikwete - Chuo Kikuu Kingine

Umefurahiii?!!!! Akili yako haiko sawa wewe

Kimweli lazima utakuwa CHADEMA wewe. Hawa-appreciate chochote. Tunamlaumu Rais wakati sisi wananchi hatutimizi wajibu wetu. Ni usanii mtupu kuanzia wanafunzi mpaka mawaziri. what do you expect?!!!!!!
 
Hapa pana mushkeli.......kwa nini Rais amesimama kushoto badala ya kulia?

moja.jpg
 
Hongera sana Rais Kikwete kwa kufungua chuo kikuu.

Wewe ndio una akili angalau kidogo. Umempongeza kwa KUFUNGUA ambacho ndio kitu pekee amebarikiwa kukifanya kwa ufasaha, lkn kujengwa kimejengwa na SERIKALI YA CHINA.

(No one knows what they are going to get in return)
 
nimefanya reference ya ahadi zake, sijaona ujenzi wa NDC. Hiki ni Chuo cha Kijeshi cha mafunzo ya juu ya kinadharia katika ulinzi na diplomasia (military strategies). Dr. Mkumbo alipata kuandika kwamba tunapokosa mafanikio tunajikita kwenye kujipongeza katika mambo madogo madogo kama haya. Kwa CCM walivyo, sitashangaa kusikia wameandaa maandamano ya kumpongeza JK kwa kufungua Chuo hicho.
 
Kimejengwa kwa Sh.ngapi na chanzo cha fedha hizo ni nini?
Kitaendeshwa kwa budget ipi?
Kitasomesha watu gani na wangapi kwa mara moja?
haya ni maswali ya msingii ambayo huyo zomba alipaswa atudadavulie kwasababu analeta ushabiki wakijinga basi tena akaleta jujuuu ,Great Thinker!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
haya ni maswali ya msingii ambayo huyo zomba alipaswa atudadavulie kwasababu analeta ushabiki wakijinga basi tena akaleta jujuuu ,Great Thinker!!!!!!!!!!

Chuo kimefunguliwa unauliza bajeti, halafu unasema maswali ya masingi, unafikiri kitajiendesha bila kuombewa bajeti?

Wewe umeshawahi kuuliza bajeti ya chadema na vyanzo vyake vya mapato na zinavyotumika hata siku moja? ingawa kuna tuhuma zimerushwa humuhumu JF kuwa Slaa amekopa chadema na kumjegea jumba la kifahari Josephine. Na tuhuma zingine ni kuwa Mbowe kawauzia chadema mafuso mtumba kwa millioni 350 na viongozi wengine wamekopa mamilioni ya chama kasoro Zitto tu, umeshayauliza yote hayo? Funguka.
 
Chuo kimefunguliwa unauliza bajeti, halafu unasema maswali ya masingi, unafikiri kitajiendesha bila kuombewa bajeti?

Wewe umeshawahi kuuliza bajeti ya chadema na vyanzo vyake vya mapato na zinavyotumika hata siku moja? ingawa kuna tuhuma zimerushwa humuhumu JF kuwa Slaa amekopa chadema na kumjegea jumba la kifahari Josephine. Na tuhuma zingine ni kuwa Mbowe kawauzia chadema mafuso mtumba kwa millioni 350 na viongozi wengine wamekopa mamilioni ya chama kasoro Zitto tu, umeshayauliza yote hayo? Funguka.
zomba mjibu huyu Deus F Mallya ndio aliyehitaji hayo maelezo alafu mada yote hamna aliyetamka chadema wee ndio unasema hiv i ukikaa hujatamka dr slaa au chadema unaugua,unamambo yakitoto kitoto sana we dogo let bygones be bygones bana wewe
 
Hahahahahah..........kampiga pin Dr.Bilal kaenda yeye, anyway, naona kodi yangu safari hii umefanyia cha maana.
 
[h=3][/h]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala na kushoto kabisa ni aBalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu Younqing

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala leo Septemba 10, 2012 baada ya kumkabidhi mfano wa funguo kama ishara ya kufungua rasmi chuo hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala baada ya kufungua rasmi chuo hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Nyuma yao ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha anayefuatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) kilichoko Kunduchi jijini Dar es salaam, pamoja na kuzindua kozi ya kwanza ya mwaka mmoja. Walioketi karibu yake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala


PICHA NA IKULU
[h=3][/h]
 
sidhani kama umetafakari vya kutosha ulicho andika, hoja hujibiwa kwa hoja na sio matusi wala kejeli.
Mtu Yeyote anapo patia asifiwe na anapo kosea akosolewe.
Siasa sio uadui, hii nchi ni yetu sote, jk akifanya zuri litatunufaisha sote na anapo kosea litatugharimu sote.
hizo ni porojo siasa ni uadui mkubwa kuliko unavyoweza kudhani,acheni kuishi kwa kauli mbiu siasa ni jambo baya sana japo simuungi mkono kwa kukataa hata yaliyo mazuri.asiyeona ubaya na uadui wa siasa huyo ni kipofu.
 
Msiotaka kusoma si mnajulikana? then Chuo kimejengwa kwa fedha zetu wenyewe usipende kua na kipaji cha Upayukaji

Hukupenda Wanajeshi kuwa na Chuo Kikuu Kipya?

Kikwete anafanya kweli.
 
zomba mjibu huyu Deus F Mallya ndio aliyehitaji hayo maelezo alafu mada yote hamna aliyetamka chadema wee ndio unasema hiv i ukikaa hujatamka dr slaa au chadema unaugua,unamambo yakitoto kitoto sana we dogo let bygones be bygones bana wewe

Vipi, unaweza kujibu hayo? au? Kwani wapinzani wakuu wa CCM na Kikwete ni nani?
 
To me is not a big deal if someone is building miltary colledge for you in turn of natural wealth worth thousand times what spent on for coledge bulding! Kama serikali ndiyo imefund poa lakini niliambiwa ni mchina, sasa JK tumshukuru kwa kuwa ombaomba in turn of mamilioni kupitia mikataba feki ya madini na contract za ujenzi poa au?
 
Zomba hana uwezo au uelewa wa kuweza kujibu haya maswali. Yeye anaposikia chuo kikuu cha kijeshi, mawazo yanamtuma kwamba ni Military University. Kumbe hajui kwamba tuna hata chuo kikuu cha polisi kurasini na chuo kikuu cha magereza ukonga. Hapa haina maana kwamba ni universities, bali katika mafunzo yao ya kijeshi vyuo hivyo ndiyo vinatoa mafunzo advanced. Haina maana ukitoka hapo unakuwa na digrii au diploma ya kijeshi, ya polisi au ya magereza.

Ohooooooooooo! Kumbeeeeeeee!
 
Kizuri kwanini hakipewe sifa yake
Huyu president wetu mbona kila zuri analofanya halisifiwi?
Yeye ana mabaya tu! Acheni mambo yenu nyinyi! Bias hizo ila dr. Slaaa hata matope ni mazuri wa jamaa wachache ila la kikwete zuri lolote ni utumbo.
Mungu ni mkubwa sana kuweza kufanya batili na haki visichanganyike!
Ukweli
 
Back
Top Bottom