akilimtindi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 421
- 83
Zomba, asilimia kubwa ya Watanzania wameshaweza kutofautisha Chuo Kikuu na chuo cha kawaida.., achilia mbali chuo cha mafunzo fulani peke yake. Jaribu kuweka propaganda zako kitaalamu zaidi huenda ikasaidia, kwa hii nadhani impact imekuwa ndogo sana.