Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Zomba hana uwezo au uelewa wa kuweza kujibu haya maswali. Yeye anaposikia chuo kikuu cha kijeshi, mawazo yanamtuma kwamba ni Military University. Kumbe hajui kwamba tuna hata chuo kikuu cha polisi kurasini na chuo kikuu cha magereza ukonga. Hapa haina maana kwamba ni universities, bali katika mafunzo yao ya kijeshi vyuo hivyo ndiyo vinatoa mafunzo advanced. Haina maana ukitoka hapo unakuwa na digrii au diploma ya kijeshi, ya polisi au ya magereza.
Kumbe ni hivyo mie nilidhani ukitoka hapo unatoka hapo na labda Bachelor of Science in dealing with explosive weapons for journalist ambayo inatambulika, kumbe ni taaluma tu za kijeshi kwa ujumla