Azipa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 1,069
- 322
zomba, unaweza kutupa details zaidi kuhusu hicho chuo kikuu kipya cha kijeshi? i.e kiko affiliated, na chuo gani? funding zinatoka ndani au kwa nje, na kama ni nje ni nchi gani? kinajengwa/kimejengwa wapi? na kitachukuwa wananfunzi wangapi? shukrani.
Usijekukuta chuo hicho kinaratibiwa na AFRICOM i.e US African Command! Inaendeshwa na wizara ya Ulinzi ya Marekani. Yaani kama ndo hao basi tuiondoe CCM madarakani haraka sana. AFRICOM ni mpango wa Marekani kushindana na China kwenye kumiliki rasilimali zetu