Bado hujajibu swali;
Ulitaka nikuamini wewe? lini ulipima masikio kwa ENT specialist mara ya mwisho?
Kiwanda ni kiwanda hata kiwe cha pipi, mimi namsifu kwa kuongeza value ya cocoa yetu. Anafanya kweli!
Stick with your Global publishers - that's where you belong!
Unyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
"Master" anapozidiwa kwenye kila nyanja na kijana aliyemchezea rafu mwaka 1995, hapo sasa!
Hongera sana kikwete. Chini ya uongozi wako watoto wanajiunga na sekondari wakiwa hawajui kusoma na kuandika. Huu ni ushindi mkubwa dhido ya weledi na ni hatua ambayo marais wa awamu zote tatu walishindwa kuifikia lakini kwa uongozi wako uliotukuka tumejaribu, tumeweza na sasa tunasonga mbele. Kinachohitajika sasa, ni kuendelea kuongeza nguvu zaidi ili hata vijana wa vyuo vikuu wasiwe na uwezo wa kusoma na kuandika wanapojiunga na vyuo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), DK Hussein Mwinyi, ameishukuru Serikali ya China kwa ufadhili wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha ulinzi (National Defence College) kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam.
Source:
1) Chuo Kikuu Kipya - ippmedia
2) Chuo Kikuu Cha Ulinzi - Rado Free Africa
Mimi naona JK amefanya vizuri katika hili. Ameanza na shule ili kuzalisha wataalamu wa kutosha na tunawona magraduate ambao sasa tunawaita majobless. sasa wanatosha. Naomba sasa tuhamie katika kujenga viwanda maana wataalamu tayari tunao. Vp hapo?
du hii nayo kali yaani hajaamua tu kufanya!big up presidaa, umejitahidi.
Binafsi naamini jk anaweza kufanya mengi zaidi, hajaamua tu kufanya.
Naamini hakuna linalo mshinda ila ni uamuzi wake tu unahitajika.
chuo cha kijeshi kinahusiana nini na waziri wa elimu?Nadhani ingekuwa vizuri kama ungemuuliza Waziri wa Elimu Dr Shukuru Kawambwa ungepata majibu murua, tunachojua JK kajenga chuo kikuu.
mipango sio matumizi japo matumizi huanza kwa mipango. Afanye tuoneNa huko nako anafanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake, soma hivi kwa uchache:
Tanzania sasa kunufaika na EPZ ya Bagamoyo
lukwangule entertainment: Kiwanda cha chuma cha dola mil 220 kujengwa Dar
MICHUZI: DANGOTE YAANZA MATAYARISHO YA UJENZI WA KIWANDA CHA SEMENTI MKOANI MTWARA
Askinosie Chocolate Goes to Tanzania, Gets Noticed by Oprah - St. Louis - Restaurants and Dining - Gut Check
Kisha tuletea hoteli iliyopata tuzo ya Hoteli bora duniani kwa mara ya pili mfululizo:
Singita Game Reserves > Press Release: Singita Voted World's Best Hotel for the 2nd Consecutive Year.
Kikwete anafanya kweli.
Sasa umehamia kwa ministers vs rais! In your right mind ni chuo kikuu gani chenye wanafunzi 20?
Let me put you out your misery - Pata tape TBC and here from your President.
mipango sio matumizi japo matumizi huanza kwa mipango. Afanye tuone