snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,709
- 23,638
nicas unafikiri anakoma huyu babu?yale ya ununio kashasahu anatuletea mke mwingine humu!siye tushamzoea mama ngina wa watu nae kamvumili kama nini miaka kibao!juzi tumemwangushia bonge la pati la besidei ye zawadi zile kauza kaenda kuolea mke!Mkuu Mtambuzi kwa sasa nipo Ununio. Nimemwona kijana flani hvi mmfanana sana. Nadhan ni yule ulyenambia. Fanya mpango uje umgomboe. Anaish kwa bibi yake.
Last edited by a moderator: