Ahsante JF kwa kunipatia mke wa pili….!

si ndo hapoooooo!leo mwekee mchuno kwa kwenda mbele!akiuliza zile zao za ''umelala'' usijibu kausha kmya wala usimsogelee usije ukapatwa na hug from behind ukajikuta umegeuka bure!

Ewaaaaa!!!
Tena ili anione niko Serious,ntaenda kulala kwenye banda la Ng'ombe.
Natandika Mkeka,kitu kinayeya mpaka Lukwili.
Hapa Ng'ombe pale Madame B.
Na tuone kama atanifuta.
 
umeona enh!nahisi kama kajiunga na pacha wangu SnowBall kumhujumu mama ngina!manake ananzaje kumualert Mtambuzi,anaanzaje kama na ye hamuungi mkono?

Tatizo lenu snowhite na Madame B mnakuwa na jazba sana. Mie sijawasaliti nataka tu kumrudisha Mtambuzi kwenye mstari kwani hilo si ndio lengo letu? Shida yetu si ni kumtetea Mama Ngina? Maana Mtambuzi akijirekebisha tuta save mambo mengi kama vile muda na gharama za kutengeneza mabango, kulipia matarumbeta (maana nawajua nyie hammsuti mtu bila kumpelekea matarumbeta) na kuwalipa akina Gea wa hekaheka. Sasa usaliti wangu upo wapi?
 
Mie sijawasaliti jamani. Nilikuwa tu namshauri Mtambuzi abadili mawazo ili ajiokoe na yatakayojiri mbele yake akijifanya mjanja!

Vizuri.
Haya kamata hili Panga,ulale nalo kabisa Mchagoni maana linataka kunywa damu ya mtu kesho kule Vikindu.
 
Vizuri.
Haya kamata hili Panga,ulale nalo kabisa Mchagoni maana linataka kunywa damu ya mtu kesho kule Vikindu.

Dah! Kweli shosti umepania ushaanza na kugawa mapanga! Mie usinipe hilo panga bana mie ntabeba bango! Lol!
 
Tatizo lenu snowhite na Madame B mnakuwa na jazba sana. Mie sijawasaliti nataka tu kumrudisha Mtambuzi kwenye mstari kwani hilo si ndio lengo letu? Shida yetu si ni kumtetea Mama Ngina? Maana Mtambuzi akijirekebisha tuta save mambo mengi kama vile muda na gharama za kutengeneza mabango, kulipia matarumbeta (maana nawajua nyie hammsuti mtu bila kumpelekea matarumbeta) na kuwalipa akina Gea wa hekaheka. Sasa usaliti wangu upo wapi?[/QUOTE]

Hapo kwenye bold tunadhaminiwa na Uongozi Mzima wa JF.
Pia watakuwepo Madaktari Dk. MziziMkavu na Dk. Riwa ili waweze kuunganisha Viungo na kutibu mipasuko na nyufa ktk miili.
 
Last edited by a moderator:
Nimeona nijitokeze maana Madame B(wangu) na snowhite nusu wanitoe macho kumbe ni tatizo lakuto log out!
Back to topic
Mama ngina kama mke halali wa mtambuzi atakuwa na haki zote kama mke according to law of marriage!
Na ndoa itategemea ni ya aina gani
*tradional
*religiou(christian, muslims)
kama ni christian mtambuzi harusiwi kuongeza mke!
*kama ni muslims- hapa mtambuzi ana haki ya kuongeza wake hadi wanne na wote wapate haki zao.

Mama ngina ana haki zote ikiwa amechuma mali na Babu mtambuzi watagawana na zile alizopewa kama zawadi na Mtambuzi zitabaki kuwa za Mama ngina!

Mali alizochuma Mtambuzi kabla ya kuona na Mama ngina zitabaki kuwa Za Babu Mtambuzi.

nyekundu na njano ndo poa!halafu ngoja tutafute msaada wa kisheria kabisa tujue power of attorney aliyonayo mama ngina baada ya hili saga la huyu babu je ana haki gani za kimsingi kwa mume wake? ruttashobolwa tujuze,manake tuko vere siriaz haiwezekani huyu babu aachiwe hivi,:frusty:
 
Last edited by a moderator:
Nimeona nijitokeze maana Madame B(wangu) na snowhite nusu wanitoe macho kumbe ni tatizo lakuto log out!
Back to topic
Mama ngina kama mke halali wa mtambuzi atakuwa na haki zote kama mke according to law of marriage!
Na ndoa itategemea ni ya aina gani
*tradional
*religiou(christian, muslims)

kama ni christian mtambuzi harusiwi kuongeza mke!
*kama ni muslims- hapa mtambuzi ana haki ya kuongeza wake hadi wanne na wote wapate haki zao.

Mama ngina ana haki zote ikiwa amechuma mali na Babu mtambuzi watagawana na zile alizopewa kama zawadi na Mtambuzi zitabaki kuwa za Mama ngina

Mali alizochuma Mtambuzi kabla ya kuona na Mama ngina zitabaki kuwa Za Babu Mtambuzi.

Law of marriage imekukaa vema!
 
Wangu si unajua as lawyer unatakiwa uchunguze jambo kwa makini kabla ya kulijadili.
Nisamehe wangu!

Lawyer huyu hatufai kwani ameonyesha upendeleo wa wazi wazi.
Afu Lawyer huyu huyu ndie hubby wangu.
Namwambia popote alipo ajisalimishe la sivyo leo ni Mzungu wa 4 usiku.
 
Nimeona nijitokeze maana Madame B(wangu) na snowhite nusu wanitoe macho kumbe ni tatizo lakuto log out!
Back to topic
Mama ngina kama mke halali wa mtambuzi atakuwa na haki zote kama mke according to law of marriage!
Na ndoa itategemea ni ya aina gani
*tradional
*religiou(christian, muslims)
kama ni christian mtambuzi harusiwi kuongeza mke!
*kama ni muslims- hapa mtambuzi ana haki ya kuongeza wake hadi wanne na wote wapate haki zao.

Mama ngina ana haki zote ikiwa amechuma mali na Babu mtambuzi watagawana na zile alizopewa kama zawadi na Mtambuzi zitabaki kuwa za Mama ngina!

Mali alizochuma Mtambuzi kabla ya kuona na Mama ngina zitabaki kuwa Za Babu Mtambuzi.

Haki tutapeana Mbinguni,Duniani ni dhuluma tu.
Hapa ubabe ubabe tu.
Pindisha Sheria tulicheze segere relini.
Nikiwa kama hubby wako ambae ndie nipo na jopo la wenzangu snowhite na mwaJ Tunakuambia Pindisha sheria,watu tukisanue.
Unafikiri ule Msuba kule kabatini unafanya nini?
 
Last edited by a moderator:
Yeah, waungwana wanasema like father like son….

Ngoja nimepata mgeni kidogo, nitarudi muda mfupi ujao kuwapa taarifa zaidi…
Mtambuzi naamini hii sio kazi ya Maruhumu Munga Tehenan @ Mzee wa Nepi! Leo umenikera kwa kutumia sababu isiyo na mashiko kuhalalisha ufedhuli wako. Kuoa mke wa pili ni shauri ya tamaa tu na si vinginevyo. Hizo sababu nyingine ni za kujaziliza kapu tu.

Bila kujali mengine. Hongera kwa kuamua kuwa na sehemu nyingi za kupanda mbegu zako. Na huo ndio uanaume kwani wengine bado tunaendelea na unyamaume.

Nimesema, Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom