hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,347
- 80,220
Hahaa my ribsHayo machozi atakuwa anakiwazia kibamia chako, akubali akataee, hatimaye akashindaa hiyo vitaa
Hahaa my ribsHayo machozi atakuwa anakiwazia kibamia chako, akubali akataee, hatimaye akashindaa hiyo vitaa
Aisee... Mahusiano bhana ni disasterHapana zech . Let me give you hostoria fupi about mylife. Niliwahi kumpenda mwanamke.. nikampa almost everything vilivyomo ndani ya uwezo wangu. mpaka nilikuwa nampikia sometimes.
by then nilikuwa namaliza chuo. Nimeshajitambulisha kwao.. na anajulikana kwetu pia. Imebaki mahari.. lakin one day out of blue akasepa.
Nilimuuliza tatizo ni nn hana jibu. It has been five years.. nimekutana nae tena this year.. bado amekosa hatajib la kusema. Anajutia tu.
Tell me alikosa nn?
Huwenda alikuwa anajua " lakini akawa anajipa moyo kwamba atashinda tu hiyo vitaMkuu imenifanya niwaze mazingara yako na hali yako ilikuaje nimebaki natoa macho tu, ila wanaume sisi tujifunze banah sio kila mwanamke anafaa kuoa, ina maana hukumjua dalili kabisa za huyo manzi kama sio mkaaji, unajua mwanamke ni rahisi kumsoma hisia zake kuliko sisi wanaume
MamboKwa mujibu wa mtoa mada nimeona ni mwaka na miezi sita
HahaaKumbe alikataa kutokana tayr alkuwa ana mimba mshukuru ungelea mtoto WA wenzio shenz anakil na huruma boya we
Huwa hakuna surprise aisee ... pete anaweza kuinunua hata mwanamke kisha anaandaa ceremony ya kumvisha ... siku ya kumvisha anajifanya kama hajui kitu .. haya mambo yanahitaji ujue undani wake aisee nasio kukurupuka tu ...Duuh kweli mkuu??? Me nadhani ni surprise...
Hahaa sasa utakwenda kumvisha binti pete ambayo haimtoshi itakuwaje hapo ...Aise kumbee mkuu...!![emoji23][emoji23][emoji23] Nimepata kitu kipyaa kikubwa...
Jf iko shida .. kila mtu nimjuaji humu ..shida huwa inaanzia hapoHuku JF kuna vituko sana mtu badala ya kusoma vizuri, michango yao wana attack watu mara wewe boya, wewe muongo ili mradi tatizo hata sijui ni nini
Mkuu wanawake wanapenda urembo.so nilichukua moja ya pete zake bila yeye kufahamHahaa sasa utakwenda kumvisha binti pete ambayo haimtoshi itakuwaje hapo ...
Wajua hata ukienda kununua au kuchonga kwa sonara lazima kidole chako au cha unaye mnunulia kipimwe ..
Pole Sana ... mkuu habari yako hii ni darasa toshaMkuu wanawake wanapenda urembo.so nilichukua moja ya pete zake bila yeye kufaham
Unajua kila mtu anaongea anavojua.kila mtu ni mjuaji.Hii habari iko kwa ufupi tu kuna mengi sijaeleza.Lengo langu ni watu wajifunze kupitia mimi.Uwezi jua leo kwangu kesho kwa mwingine.Pole Sana ... mkuu habari yako hii ni darasa tosha
Naua mmoja tu. Halafu nastaafu sekta ya mapenzi. Nachukua 25% zangu zilizobaki 75% nitakuwa nazila taratibu.Hahahah umenichekesha sana ila sijui utaua na kujeruhi wangapi? kwani wengi ndo wapo hivyo.
Hata wewe yanakusumbua mzee baba ?Aisee... Mahusiano bhana ni disaster
Unasahau kwamba humu wote tuna degree uchwara.Jf iko shida .. kila mtu nimjuaji humu ..shida huwa inaanzia hapo
Hahaa ..kumbe !!Unasahau kwamba humu wote tuna degree uchwara.
Lakin si umeshaoa mrembo mwingine auUnajua kila mtu anaongea anavojua.kila mtu ni mjuaji.Hii habari iko kwa ufupi tu kuna mengi sijaeleza.Lengo langu ni watu wajifunze kupitia mimi.Uwezi jua leo kwangu kesho kwa mwingine.
Mwanamke ni kiumbe mwigizaji sana(sio wote).
Hapana mkuu " mimi nipo salama kabisa " moja kati ya principal niliyojiwekea ni kuto yapa mapenzi kipaumbele katika maisha yangu .Hata wewe yanakusumbua mzee baba ?
Amen Mzee Warioba.. Umemaliza kila kituGoti umepiga hola Pvmbv wamepiga wengine na mtoto juu!!!
Vijana wa siku hizi mnatudhalilisha sana kaka zenu,ulichotakiwa kufanya ni kumtia mimba kisha umuache aamue mwenyewe kwamba aishi na wewe au asiishi na wewe.
Umeona wajanja walivyo?wame-skip ishu ya kuvishana pete wakamvisha pete ya ukweli sasa anahangaika nayo wewe umeenda kupiga magoti,kwani uliambiwa Mungu yule?
Duh weye kichwani hamnazoHabari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..
Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.
Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.
Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.
Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)
Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..
Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"
Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..
Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.
Je kama ni wewe ungefanyaje?