mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,135
Mimi nimeona tatizo la kwanza ni kuigiza uzungu mwingiiii(full kupigiana magoti+ma surprise ya sherehe),vp we umeona tatizo ni ujauzito tayari?Kwan jamaa ishu kubwa kaongelea kupiga goti au Pete kukataliwa na kwa uelewa wangu binti alikuwa mjamzito tayari