Agoma kuvishwa pete mbele ya kadamnasi

Agoma kuvishwa pete mbele ya kadamnasi

Dah nakumbuka ile siku maana me ni miongoni mwa tulioalikwa.pole sanaaa mkuu uliadhirika sana ile siku
 
Tukienda taratibu ukaacha papara utanielewa tu binti.Tatizo lako unakurupuka..Mimi sio mwandishi mzuri na ndio mana nimefupisha ila kama ningetaka kuandika kila kitu bhas ingekua ni kitabu sasa."kila kitu kinatokea kwa sababu" na SIJUTII HATA KIDOGO.labda ukuelewa kwanini aligoma.Ukisoma vizuri utaona nimeandika wazaz pande zote mbili "wanatufahamu"Labda ulikua unataka nikueleze historia za familia zetu na kila kitu?Ama nikueleze familia zinafahamuje?Mimi sikua mjinga kiasi hicho.Taratibu zote kwa nilikua zimekaribia kukamilika.

Kuhusiana na Restaurant kuchukua wagen zaid ya 90 at once inabidi nikushangae na dunia itakushangaa pia.Hebu jaribu kutembea hapo Zanzibar hapana gharama ukishindwa jaribu kuangalia hata u-tube..
Kama haitoshi nimekwenda Zanzibar likizo miaka mitatu mfululizo so ukipenda naweza kukutajia na majina ya hizo resorts na downtown..Asante

Huku JF kuna vituko sana mtu badala ya kusoma vizuri, michango yao wana attack watu mara wewe boya, wewe muongo ili mradi tatizo hata sijui ni nini
 
Mmmh! Kwanza sio mbaya bcoz ulienda sehem ambayo hamna anae kujua so iliishia Uko Uko. Then [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh ukaiga show za kizungu mta haibika nyie
IMG_20181210_212844_711.jpeg
 
hili bwashee sijui li mangi la wapi? linapigia goti kuku ningekua babaako ningekulaani we mtoto, kwanza we utakua sio mchaga labda mchaga maji wewe, acha ufwala wewe
 
Habari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..

Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.

Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.

Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.

Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)

Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..

Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"

Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..

Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.

Je kama ni wewe ungefanyaje?

ningempiga mtoto wa pili chief
 
Mgahawa gani huo una accommodate watu wote hao per one time??

Halafu Nani alikwambia Pete wanavalishana kihuni hivi? Bill kutoa mahari?? Bila ndugu kushiriki??

Yaani anarudi home babake anamwona kavaa Pete kidoleni...hajapewa hata barua ya posa......anaanza kumwambia dadiii kanivalisha fulani....ha ha haaaaa

Vijana wa dotcom mna Mambo ya ajabu Sana...kila kitu ni rahisirahisi tu
Taratibu nauliza zamani kwenye taratibu zetu za ndoa pete za uchumba kwenye mahari na posa zilikuwepo?[emoji848]
 
Habari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..

Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.

Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.

Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.

Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)

Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..

Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"

Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..

Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.

Je kama ni wewe ungefanyaje?
Pole mkuu sijaona kama umekosea sababu pete za uchumba wengine wanafanya surprise
 
Ulipiga magoti?

Haya maupuuzi ya Instagram yanawaharibu wanaume sana.Kwani ukimvisha pete ukiwa umesimama inakuaje boss?

Kama ambavyo sipendi kuabudiwa(mwanamke kunipigia magoti ni marufuku) na mimi siwezi kupiga magoti.
Sio mapenz ya instagram mbona kabla ya instagram watu wanavalishana pete kimtindo huo
 
Hivi mkuu niwewe Video yako ilikua inasambaa? Pole sana mkuu...kama huko kwenye uhusiano na mwanamke ambaye hatabiriki .. muwe mnakubaliana usiku kwanza you just tell her kesho baby nitakufanyia suprise yakukuvisha pete utakubali ?.....Kilichobaki ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom