Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,594
- 53,375
[emoji54][emoji54]Bora umetambua kuwa ni ujuha

Habari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..
Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.
Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.
Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.
Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)
Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..
Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"
Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..
Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.
Je kama ni wewe ungefanyaje?
Kwa mujibu wa mtoa mada nimeona ni mwaka na miezi sitaUjauzito wa mwaka juzi mtoto bado awe na miezi 6 tu!??

Nili reserve table ya chakula cha jion.Restaurant ilikua na wageni zaidi ya 90.sio wageni wangu ni wateja kama mimi sema asilimia kubwa hawakua raia wa nchi yetu ndio maana nikawaita wageni.Japo ni chai tu
Hao watu ndani ya usiku mmoja uliwaanda saa ngapi?? Halafu Zanzibar??
Watu zaidi ya 90
Mmmmmm...
Mdada Hana kosa.....
Bado ipo.Nikuuzie?Vipi pete ilishapata mtu au bado?!
Sh ngapi mkuu????Bado ipo.Nikuuzie?
Okay njoo pm.Nahitaji hiyo kituu...
Yaan ulipiga magoti duu siwez kwa niliyopitia kwa wanawake ahaa cwezHuko huru kuchangia unavopenda.Ila nakukumbusha sasa hivi yuko na mtoto mwaka na miez 6.Ujagundua kitu?kama bado soma maelezo yangu kwa makini
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu na mimi hapo hapo ndo nilikuwa nawaza na kuwazua watu 90 aliwaandaa au imekuwaje najaribu kuunganisha clip ili nipate movie kamili sielewiJapo ni chai tu
Hao watu ndani ya usiku mmoja uliwaanda saa ngapi?? Halafu Zanzibar??
Watu zaidi ya 90
Mmmmmm...
Mdada Hana kosa.....
Mtoa Uzi hujatuambia we jinsia gani ulietendwaHabari za mida hii wana jf?
Mimi sio mpenzi sana wa uandishi mana mwandiko wangu mbaya.
Wacha niadithie ilivokuwa mwanzo mwisho..
Ni likizo time.Yeye(binti)akiwa anafanya kazi serikalini na mimi nafanya biashara zangu binafsi wakati mwingine napokea tenda za mda mrefu.Sikua na dili la msingi saana kuniingizia pesa ya maana.So tukawa kwenye mipango ya kwenda kuhesabiwa mimi na yeye.
Kwa kumbukumbu zangu ni tarehe 10 mwezi wa 12 tukiwa tumeshapangilia kila kitu kihusu safari ya uchagani..Tukakubaliana kuondoka tarehe 14 ya mwezi wa 12.
Usiku wa kuamkia tarehe 13 nikapata wazo.Kwanini kama tuko kwenye mahusiano ya mda mrefu na kila mmoja anampenda mwenzie tusipeleke mambo levo ingine???"Wazaz"pande zote mbili wanatufahamu.
"Tabia"tunafahamiana vyema japo mikwaruzano ya hapo na pale haikosekani.
Nikalitafakari wazo langu la usiku huo kwa undani na kwa kina nikajisemea mwenyewe"yafaa nimvishe pete ya uchumba"je ni wapi?Lini?Nani na nani awepo?mwisho ikawa mimi na yeye tunatosha mengine tutawajulisha yatakapokamilika..
(Nimechoka kuandika nafupisha)
Asubuh tarehe 14 tunaanza safari ila anashangaa! Ajui tunaelekea wapi.Safari ilikua "Zanzibar"nilipangilia kila kitu.
Kesho yake jion "romantic dinner"hajui chochote.
Namfanyia suprise katika ya dinner nimvishe pete nikiwa nimepiga magoti mbele yake.Siku ile kulikua na bendi inatumbuiza(coconut band)..
Anyway ni hivi aliigomea pete mbele ya wageni zaidi ya 90...mbele ya kila mtu mwenye shauku ya kuona anakubali.Aliniangalia kwa dakika tena halafu akamwagika machozi akasema "siwezi"
Usitake kujua nilikutwa na hali gani?
Nilijisikiaje mbele ya kadamnasi?pia sijui walinichukuliaje ila nilihisi kudhalilika..
Kila mtu alifika dar anavojua yeye.
Toka mwaka juzi lilivotokea hilo tukio hatukuwai kulizungumzia hadi leo na hatukuwai kuwa wapenzi tena.Ninachojua saizi yuko na mtoto mmoja.
Je kama ni wewe ungefanyaje?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu na mimi hapo hapo ndo nilikuwa nawaza na kuwazua watu 90 aliwaandaa au imekuwaje najaribu kuunganisha clip ili nipate movie kamili sielewi
Hizi stori za vijiwe vya kwenye kahawaChai maharage hii!!
Kwa nini hujaiuza siku zote hizo?! Huoni ndo inakukumbusha yote hayaBado ipo.Nikuuzie?