Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Mgahawa gani huo una accommodate watu wote hao per one time??Nili reserve table ya chakula cha jion.Restaurant ilikua na wageni zaidi ya 90.sio wageni wangu ni wateja kama mimi sema asilimia kubwa hawakua raia wa nchi yetu ndio maana nikawaita wageni.
Nina iman umenielewa
Halafu Nani alikwambia Pete wanavalishana kihuni hivi? Bill kutoa mahari?? Bila ndugu kushiriki??
Yaani anarudi home babake anamwona kavaa Pete kidoleni...hajapewa hata barua ya posa......anaanza kumwambia dadiii kanivalisha fulani....ha ha haaaaa
Vijana wa dotcom mna Mambo ya ajabu Sana...kila kitu ni rahisirahisi tu