PutinV
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 1,046
- 1,651
Naona wewe ndio ume comment pointGoti umepiga hola Pvmbv wamepiga wengine na mtoto juu!!!
Vijana wa siku hizi mnatudhalilisha sana kaka zenu,ulichotakiwa kufanya ni kumtia mimba kisha umuache aamue mwenyewe kwamba aishi na wewe au asiishi na wewe.
Umeona wajanja walivyo?wame-skip ishu ya kuvishana pete wakamvisha pete ya ukweli sasa anahangaika nayo wewe umeenda kupiga magoti,kwani uliambiwa Mungu yule?