Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

Agnes marwa wape za USO hao chagadema kwanza mrembo pia sindano imewaingia vizuri yaani big up endelea zaidi ccm mbele kwa mbele lazima wakae....!!!
 
na ndiyo maana alisoma mda mrefu, mwelewa yeyote hapaswi kukariri madarasa. Slow learner huyo .. na ccm wengi ni wa hivyo.
Kusoma kwa namna ya QT ni miaka miwili. Mwaka mmoja unasoma unafanya Qualifying exam, mwaka unaofuata unasoma na kufanya CSEE, sasa amesoma muda mrefu kwa style gani?
 
kwani amesema kwa nini alikuwa anatetea Bunge lisirushwe live? huyu mdada ni matatizo, mara anasema matokeo siyo yake, mara aseme amesoma QT, mara amesoma muda mrefu, atuambie hiyo QT alisomea wapi na kituo alichofanyia mtihani pia atupe na matokeo yake halisi, alafu kusoma kwa kuuza dagaa hakumuondelei mtu busara, tena wengi waliosoma kwa mtindo huo ndo leo wanaongoza kwa kuwa na busara na hekima,
magufuli mwenyewe aliwahi kuuza samaki
 
Ila ni mzuriii...kaenda hewani af kajaajaa neema za ala. Changia mwaya mi nakuangalia chaa!! Natamani hata kulia yaani
 
Hivi nyie akili zenu zinawatosha kweli. Huyu mtu anaelimu ya stashahada ya biashara. Hivyo sasa hivi ni mtaalam wa kiwango hicho. Hiki ukifanyacho ni kama kucheka picha ya baba yako aliyopigwa akiwa mdogo amebebwa na bibi yako na wewe kwa ujinga wako ukaanza kumuita mtoto, japo kakuzaa wewe kisa umeona picha yake ya utotoni. Ukiona mtu anatengeneza fikra za hivi kichwani hujue yupo karibu kuvaa suruali kichwani.
Hicho cheti cha sekondari kazi yake hakipimi uwezo wake bali kinaeleza alikopitia kielimu. Lakini hiyo stashahada ndiyo inaeleza ni mtaalam wa nini.
 
...we kweli #Msororo!
...wa kupuuzwa tu!
 
Hoja kubwa iliyopo nafikiri ni Dada yetu kutetea mambo hoja kipumbavu kbs nafikiri wote mnajua km upumbavu ni kipaji km kipaji mtu yyote mwenye akili timamu uwezi kupiga bunge kuonyeshwa live kwa kisingizio cha TBC garama kubwa vp garama za mashangingi, semina, matibabu yao njee ya nchi hta wakiumwa mafua tatizo kubwa nafikiri viongozi wetu wanafikiria raia wao sijui maiti au hatuna mawazo wala maoni ya chchote kile wafanye tu km wanavyotaka wao na familia zao km kweli alikuwa anataka kulia alitakiwa kulia nyumba as serikali zirudi maana nafikiri ajui kwa mwenzi serikali inalipa kiasi gani kwenye mahotel kwa watumishi wake kukosa makazi maana nyumba zote wameuziana kwa bei ya kutupa
 
Kama kweli elimu yake ni kama ilivyo pitishwa mitandaoni basi binafsi nampongeza sana. Lazima ni mwanamke jasiri anayejiamini na kutetea hoja yake iliyoshindwa kukosolewa na wasomi wanaojiita wamebobea kwa kutumia busara na hekima zao.

Kutafuta namna ya kumdhoofisha mtu ambaye kwa maelezo si tishio ni kudhihirisha kwamba kweli ni tishio. Ni wangapi wana degree zao na busara kwao ni Sifuri?, wakianza kupayupa unatamani kuziba maskio. Ukweli lazima utatuweka huru na njia ya mwongo daima ni fupi.
Na wewe hujaenda shule unaonekana nadhani kuna haja ya kutafuta forum ya wasomi hii JF ikaachwa kwa akina nyinyi
 
Utetezi wake umemdidimiza zaidi. Ni afadhali angekaa kimya. Kweli huyu ni juha. Kuwa na wabunge wa aina hii ni ulidhalilisha bunge. Bunge limegeuka kuwa kijiwe cha wenye upungufu wa akili kulialia kijinga eti kwa maslahi ya Taifa!
 
Back
Top Bottom