Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

Kama kweli elimu yake ni kama ilivyo pitishwa mitandaoni basi binafsi nampongeza sana. Lazima ni mwanamke jasiri anayejiamini na kutetea hoja yake iliyoshindwa kukosolewa na wasomi wanaojiita wamebobea kwa kutumia busara na hekima zao. Kutafuta namna ya kumdhoofisha mtu ambaye kwa maelezo si tishio ni kudhihirisha kwamba kweli ni tishio. Ni wangapi wana degree zao na busara kwao ni Sifuri?, wakianza kupayupa unatamani kuziba maskio. Ukweli lazima utatuweka huru na njia ya mwongo daima ni fupi.
hahahahahahahhahah kwa point ip ?kwa ujasiri upi?hahaha kweli kuna mtu alisema anavumilia kua mtanzania kwa aibu hizi nooooooo!!!!!
 
Huyu Agness kielimu amejitahidi Mbowe pamoja na kusoma shule nzuri alipata division zero form six
downloadfile-23.jpeg


swissme
 
Mswahili tu huyu ... ana lolote la maana. Na kama makuzi yake ni ya magengeni akiuza dagaa ndo maana haoni umuhimu wa matangazo ya Bunge live....
Acha dharau hata kuuza dagaa ni kazi, na ukienda pale wapo wamama wastaarabu wanauza dagaa nakusomesha watoto wao mpaka kufikia level mnazoziheshimu, KASORO YA MTU MMOJA au tabia ya mtu mmoja isiwe sabab ya kudharau watu wote. waombe radhi wamama wanaouza dagaa wanatafuta kwa shida jua lao, mvua yao, hawastahili kufedheheswa bali kuheshimiwa.
 
hahahahahahahhahah kwa point ip ?kwa ujasiri upi?hahaha kweli kuna mtu alisema anavumilia kua mtanzania kwa aibu hizi nooooooo!!!!!
"Unavumilia kuwa Mtanzania" unadhani wapi utakuwa daraja la kwanza kwa uraia kama siyo nchini mwako, kwingineko kote utaitwa mgeni. Tunachochukia ni double standards, kuna watu hawajasoma wako upande wa pili lakini mnataka tuwachukulie malkia na wafalme, kitu ambacho si sahihi. Utumwa unaanzia hapo tunaposhindwa kuwa wakweli.
 
Acha dharau hata kuuza dagaa ni kazi, na ukienda pale wapo wamama wastaarabu wanauza dagaa nakusomesha watoto wao mpaka kufikia level mnazoziheshimu, KASORO YA MTU MMOJA au tabia ya mtu mmoja isiwe sabab ya kudharau watu wote. waombe radhi wamama wanaouza dagaa wanatafuta kwa shida jua lao, mvua yao, hawastahili kufedheheswa bali kuheshimiwa.
Ukumbuke pia kuwaomba radhi wale wamachinga walio ondolewa kariakoo ,ni hayo tu kwa leo
 
Mswahili tu huyu ... ana lolote la maana. Na kama makuzi yake ni ya magengeni akiuza dagaa ndo maana haoni umuhimu wa matangazo ya Bunge live....

Tutor matatizo yako nini Lakini? Umemkazania Huyu mbunge eti Mswahili. Weye Nani? Na unaandika Lugha gani Ktk Hii JF.Hata Kama Huyo mbunge alikulia magengeni au akiuza dagaa inakuhusu nini wewe?kisa huoni bunge live? WTF
 
Huyu Agness kielimu amejitahidi Mbowe pamoja na kusoma shule nzuri alipata division zero form six

Nimesikia, Mbowe shule alilazimishwa tu, wakati mwingine alikuwa anakula nyara (anabana) alikuwa hapendi kabisa shule, yeye alipenda kuwa DJ tangu utoto hii ndio ilikuwa ndoto yake. Hata hii kuwa mwanasiasa sijui 'kaingia ingia' vipi kwenye siasa labda mkwe wake Mtei anaweza kuwa alimshawishi.
 
Hakupewa somo... Ukijua umeingia bungeni kimagumash unatakiwa upige kimya tu. Lasivyo ndio hayo ya kuumbuliwa!
 
ukweli baada ya kumsikia nikaamini kuwa 100% anauwezo mdogo wa kufikiri na hata kutambua mambo....! inasikitisha
 
Ukumbuke pia kuwaomba radhi wale wamachinga walio ondolewa kariakoo ,ni hayo tu kwa leo
Wale wanavunja sharia, hawapaswi kuombwa radhi, kama ingekuwa ni wewe una duka kariakoo ungeelewa ninachoongea kuna watu wanalipa laki 3 mpaka laki 6 frame za duka halafu wale wanakuja kufanya biashara mbele ya duka la mwenzake, nakuweka msongamano usio na lazima, kuwapa nafasi vibaka kujificha hata mchana wajua kali mtu unaibiwa. umeaangalia upande mmoja tu, wengi pale wana nguvu sana tu, na kuna watu wenye mashamba wanatafuta vijana wakuwalimia wote wamekimbia mjini.
 
na ndiyo maana alisoma mda mrefu, mwelewa yeyote hapaswi kukariri madarasa. Slow learner huyo .. na ccm wengi ni wa hivyo.

CHADOMO Ni shidaaa tu.Kama mngeshika nchi Ingekuwa kwenye majanga makubwa Kama Wasomi uchwara Kama weye, DJ Mbowe,mashanga a.k.a Elimu ya hapa Na pale,mizuka a.k.a mr 2, Na bila ya kumsahau Mchungaji a.k.a akili dumaa.
 
Anazidi kujichanganya tuu....kuna vitu ame forge hapo katikati! Ile mikoroganyo ya miaka nayo sio yake?
Angenyamaza tu.....Issue zote hizi zimekuja baada ya yeye kuonyesha kwamba Msimamo wa serikali wa kutoonyesha bunge live anaufagilia kiCCM CCM bila kuwa na hoja makini.
 
CHADOMO Ni shidaaa tu.Kama mngeshika nchi Ingekuwa kwenye majanga makubwa Kama Wasomi uchwara Kama weye, DJ Mbowe,mashanga a.k.a Elimu ya hapa Na pale,mizuka a.k.a mr 2, Na bila ya kumsahau Mchungaji a.k.a akili dumaa.
Hutaki Bunge LIVE lakini unashinda kwenye mitandao.
Get a life or GTFO
 
Asante sana wakazi wa Dar es Salaam, Mbeya, Moshi, Arusha, Kigoma na kwingineko mlioona umuhimu wa kuifanya ccm 'chama pinzani'. Hiki chama ni tatizo tena kubwa na sio rahisi kuwaondoa hata kwenye ujumbe wa kijiji lakini nawahakikishia tukifanikiwa kuwaweka pembeni Watanzania watajitambua na kuanza kujenge nchi yao!
Naamini tukifanikiwa katika hilo akili ndogo haitakuwa na jukwaa la kutusumbulia.
 
Back
Top Bottom