Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

CCM ndipo ilipotifikisha hapa tulipo! Twendeni tu, mwisho wake tutafika! Mibunge mingi ya ccm akili ziko ma.ta.koni sasa uchukue hii akili ya Anyesi, ya Lusinde, ya mtoto wa yule mama mgawa uloda kama njugu tutatungiwa sheria gani sisi? Kwa kweli HAPA KAZI TU!!
 
Hakuna kitu ni ovyo tu, utasikiaje uchungu kisa bunge live.
 
Kazi kwenu mnaoangalia sura na makalio ndo utajua kukosa akili ni janga haswa kwa mwanamke maana hawezi tumia nguvu.
 
Sasa ndo amekanusha nini na kukubali nini?Hata ongea yake tu ni kilaza.
 
Kama kweli elimu yake ni kama ilivyo pitishwa mitandaoni basi binafsi nampongeza sana. Lazima ni mwanamke jasiri anayejiamini na kutetea hoja yake iliyoshindwa kukosolewa na wasomi wanaojiita wamebobea kwa kutumia busara na hekima zao.

Kutafuta namna ya kumdhoofisha mtu ambaye kwa maelezo si tishio ni kudhihirisha kwamba kweli ni tishio. Ni wangapi wana degree zao na busara kwao ni Sifuri?, wakianza kupayupa unatamani kuziba maskio. Ukweli lazima utatuweka huru na njia ya mwongo daima ni fupi.

Umesoma QT au unaendelea kusoma..
 
Mbunge Agnes Marwa leo akihojiwa na Clouds Fm amesema wanaomzushia matokeo feki wanampa Kick. Aidha Mbunge huyo amesema yeye hakusoma shule za shati jeupe na sketi ya blue, kwa sababu alipomaliza darasa la saba na baba yake kuwa amefariki ilibidi aanze kushirikiana biashara ndogondogo na mama yake.

Pia mbunge huyo akaongeza kuwa amejisomesha QT(Qualifying Test), Pia ameuza dagaa ili apate ada ya kulipia masomo yake. Mh Marwa akasema matokeo yanayosambazwa sio ya kwake ijapokuwa CV ya bungeni ni ya kwake. Hii ni nukuu ya maneno yake akihojiwa na kipindi cha POWER BREAKFAST cha Clouds Fm.

downloadfile-23-jpeg.348356



“Nimesoma muda mrefu kwasababu nilikuwa nasoma kidogo kidogo, msiwakatishe tamaa watu wanaotaka kusoma QT lakini CV ya Bungeni ni kweli ni ya kwangu”.

Ikumbukwe: Chanzo cha yote haya kuibuka ni baada ya mbunge huyo kusema anasikia uchungu hadi kulia akipinga Bunge kuonekana Live.


image-2.jpeg
 
Unajua hata sisi watanzania ni wajinga sanaaaa.
alaf utakuta watu walikuwa nyuma yake kumpa sapoti ili aende bungen na pengine wakamuacha mtu makin sana.
Hivi anadhan huko kulia kulia kutampatia huruma?
Yaani sisi tunataka atuambia je bunge halipo live sawa ila tutegee nini basi, haya ya kulia kulia ni ujinga sana.
so far CV yake ni kiboko. sijui kama amewah kujitathmini zaid ya hapo
 
Barufu inaanza kuyeyuka kwahivyo punde tu tutakuita maji.pamoja Na Elimu yako ya juu Na kudharau watu wasokoni bado umejificha nyuma ya KICHARAZIO.Kama wewe Ni Shujaaaa Na msomi wa Oxfords Au Harvard kagombee ubunge Au umeya Au udiwani ili tuone miujiza yako.Subiri miaka MITANOOOO tuongozwe na uelewa wa vitini vya Nyambari Nyangwine.

Barufu inaanza kuyeyuka kwahivyo punde tu tutakuita maji.pamoja Na Elimu yako ya juu Na kudharau watu wasokoni bado umejificha nyuma ya KICHARAZIO.Kama wewe Ni Shujaaaa Na msomi wa Oxfords Au Harvard kagombee ubunge Au umeya Au udiwani ili tuone miujiza yako.Subiri miaka MITANOOOO tuongozwe na uelewa wa vitini vya Nyambari Nyangwine.
Watu wa Sokoni hawajadharauliwa we mkuu,lugha ya sokoni ndio inadharauliwa sababu kila mahali na lugha yake,Lugha ya sokoni huwezi kuipeleka bungeni wala lugha ya kibunge,miongozo na kanuni za Kibunge huwezi kupeleka sokoni.Kila mahali huwa na "rejesta" yake,ndio maana utamsikia Spika au Mwenyekiti wa bunge akimwambia Mbunge kuwa "Hiyo siyo Lugha ya Kibunge ni lugha ya Sokoni K'koo"

Siyo kila mtu ameumbwa kuwa mwanasiasa wa kugombea vyeo,wengine wameumbwa kuwa watendaji,kuwa mtendaji haikuondolei kujihusisha ktk siasa kwa kukosoa au kupongeza,sababu siasa ni maisha yetu ya kila siku.

Politics is all about systematic alocation of tha national resources to to its citizens,and know who gets what,how,where and why....Iam a bonafide citizen of Tanzania to claim my "share"

Every human being is a "Political Animal",I'm a human being,hence Iam a political Animal!!!

barafu kuwa maji ndio hali yake halisi,kama ya kuwa barafu ilikuwa maji,kwa hiyo kurudi kuwa maji ni kurudi kwenye hali yake halisi.Hii aina ye ujengaji wako wa hoja ni aina ya "Agness Marwa" aliyesoma QT miaka 10
 
Tutor matatizo yako nini Lakini? Umemkazania Huyu mbunge eti Mswahili. Weye Nani? Na unaandika Lugha gani Ktk Hii JF.Hata Kama Huyo mbunge alikulia magengeni au akiuza dagaa inakuhusu nini wewe?kisa huoni bunge live? WTF
Uswahili huu haumaanishi lugha wala kundi la watu wa kabila fulani - ni hali ya ku down play vitu vyenye maana na kukuza vitu visivyo na maana, kutothamini muda, uvivu na kutaka kupata pesa kiulaini. Kupenda ngoma za kujipitisha mitaani wakati una majukumu ya maana, kurusha vijembe badala ya kumpa mtu ukweli, kutumia maneno au misemo inayotafsirika kama matusi hadharani. Kukaa kibarazani na kucheka wanaopita, nk. Mswahili ana lafudhi yake (mwanangu alitaka kuniletea nilimstopisha fasta). Utamjua kwa maneno kama nanili, na kutafuna big g hata akiongea na watu wazima.

Mwanamke wakiswahili hasindikizi mtoto shule hata siku moja. Mtoto wa darasa la kwanza anamwacha avuke barabara kubwa mwenyewe. Mtoto akigongwa ndio akimbilie barabarani kanga ikimvuka. Na ole wako mtoto wake akosee umuonye mbona utakuja sutwa na ngoma. Mswahili hana staha mambo ya ndani hadharani.

Haijalishi umesoma level gani na unaishi wapi au una cheo gani au uko dini gani au chama gani, haka katabia kakikuingia siyo rahisi kukatoa. Utaenda nako mpaka kaburini.

Mimi sijamsikiliza huyu mbunge anavyoongea lakini ndio wa kwanza kuwa referred Kama mswahili kwenye sakata hili. Na bila shaka wanamwonea kwa Hilo!
 
Huyu mdada anaaibisha mabinti zetu wakikurya(waiseke). Ukiisha kuwa muiseke huwezi ongea mambo ya ajab ajab hivi
 
Hoja kubwa iliyopo nafikiri ni Dada yetu kutetea mambo hoja kipumbavu kbs nafikiri wote mnajua km upumbavu ni kipaji km kipaji mtu yyote mwenye akili timamu uwezi kupiga bunge kuonyeshwa live kwa kisingizio cha TBC garama kubwa vp garama za mashangingi, semina, matibabu yao njee ya nchi hta wakiumwa mafua tatizo kubwa nafikiri viongozi wetu wanafikiria raia wao sijui maiti au hatuna mawazo wala maoni ya chchote kile wafanye tu km wanavyotaka wao na familia zao km kweli alikuwa anataka kulia alitakiwa kulia nyumba as serikali zirudi maana nafikiri ajui kwa mwenzi serikali inalipa kiasi gani kwenye mahotel kwa watumishi wake kukosa makazi maana nyumba zote wameuziana kwa bei ya kutupa
Wewe usiyejua ukisemacho, mbona vyote ulivyosema serikali ya awamu ya tano inakabiliana navyo? Semina zimepunguzwa mpaka mjinga mwenzio Sugu anazililia ziwepo; safari nje zimepunguzwa mpaka mjinga mwenzio Peter Msigwa anazililia,hayo mashangingi na matumizi mengine ya serikali kama vile wakurugenzi kwenda bungeni kwa gari moja kiasi kwamba mjinga mwenzio G. Lema anapinga hilo kwa sababu zilie zile za kijinga. Pamoja na bunge kurushwa papo nako kumepunguzwa.
Sasa mjinga wewe na wenzio wa chadema hanjulikani hasa nini hamtaki wala nini mnataka. Yaani ujingawenu unataka serikali isifanye chochote chenye kuiletea jamii manufaa.Haitawezekana na awamu hii inaongozwa na mwanasayansi sio mwanasanaa. Mwanasayansi anahitaji ushahidi wa data na sio maneno ya kwenye kahawa kama haya waliokulisha waliokuzidi ujinga.
 
Wewe usiyejua ukisemacho, mbona vyote ulivyosema serikali ya awamu ya tano inakabiliana navyo? Semina zimepunguzwa mpaka mjinga mwenzio Sugu anazililia ziwepo; safari nje zimepunguzwa mpaka mjinga mwenzio Peter Msigwa anazililia,hayo mashangingi na matumizi mengine ya serikali kama vile wakurugenzi kwenda bungeni kwa gari moja kiasi kwamba mjinga mwenzio G. Lema anapinga hilo kwa sababu zilie zile za kijinga. Pamoja na bunge kurushwa papo nako kumepunguzwa.
Sasa mjinga wewe na wenzio wa chadema hanjulikani hasa nini hamtaki wala nini mnataka. Yaani ujingawenu unataka serikali isifanye chochote chenye kuiletea jamii manufaa.Haitawezekana na awamu hii inaongozwa na mwanasayansi sio mwanasanaa. Mwanasayansi anahitaji ushahidi wa data na sio maneno ya kwenye kahawa kama haya waliokulisha waliokuzidi ujinga.
Sawa ww muelevu lugumi madini ile boti yenu mv nn vile inayoenda bagamoyo kushindwa kesi hovyo mahakama bora msiwe mnawashitaki tu hao raia wema maana mnapoteza hela zetu bure tu walipa kodi
 
Mambo mengine hayaelezeki....huyu aliteuliwaje sass kama ndo hivi alivyo? tusipokuwa makini hata vichaa wataingia ikulu na bungeni kupitia kijani kisa tu ndo yenye dola!
 
agness_marwa.jpg


Mbunge wa viti maalumu (CCM), Agness Marwa amesema waliosambaza habari mbaya kuhusu elimu yake, wamemsaidia kupata umaarufu. Habari kuhusu utata wa elimu yake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii hususan JF kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya habari ya Mwananchi Digital kumuonyesha akiponda wabunge wa upinzani kushikilia hoja ya kutaka shughuli za Bunge ziendelee kurushwa moja kwa moja na vituo vya televisheni.

Katika mkanda huo wa Mwananchi Digital, mbunge huyo alisema anasikia uchungu kwa wapinzani kung'ang'ania hoja hiyo na akadiriki kusema anataka kulia kutokana na hoja hizo akisema wanawadanganya wananchi.

Mkanda huo ulifuatiwa na habari kusambazwa zinazoeleza mambo kumi tata kuhusu elimu na ajira yake, huku ikitoa matokeo yake ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Nne ambayo hayakuwa mazuri.

"Inawezekana mwenyezi Mungu kawatumia ili nifahamike," alisema Marwa jana asubuhi kwenye kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kila siku asubuhi na kituo cha Redio Clouds.

Aliwashukuru walioandika habari hizo iwe kwa ubaya au uzuri, akidai kuwa wamempa umaarufu kwa kuwa ingekuwa vigumu kwa mbunge kutoka Mara kufahamika.
Kuhusu suala la vyeti vilivyoibua utata wa shule alizosoma kama zilivyoainishwa kwenye CV hiyo, alisema si ya kweli na hakusoma shule zilizotajwa.

Alisema hakuwahi kufanikiwa kusoma shule hizo kwa sababu kwa wakati huo mkoani Mara ilikuwa ni vigumu kwa mtoto wa kike kusomeshwa au kuaminika kwamba anaweza kusoma na baadaye kusaidia familia ambayo haikuwa na uwezo baada ya baba yake kufariki dunia.

"Uwezo wa mama ulikuwa mdogo kiasi cha kwamba alikuwa hawezi kumudu hata mlo wa siku moja kwa familia," alisema Marwa.

Alisema baada ya kuhitimu shule ya msingi alibakia nyumbani akifanya shughuli za kujiingizia kipato, huku akimsaidia mama yake. Marwa alisema hapo aliweza kujiendeleza kwa masomo ya sekondari kwa kufanya mtihani wa maarifa (QT).

"Kwa hiyo wanapotosha kusema nimesoma kwa miaka sita. Nimesoma zaidi ya miaka 10," alisema Marwa na kwamba alikuwa akiuza dagaa akipitisha mitaani huku akichoma mahindi barabarani.

Alipoulizwa kuhusu uhalali wa vyeti, alijibu "Hivyo vyeti siyo vyangu, isipokuwa CV ya bungeni ni ya kweli, wala si ya uongo."

Alisema mtu akisoma QT hazuiliwi kusitisha masomo kwa muda kama hana uwezo wa kumudu ada.

Source: Mwananchi
 
Ni kweli ni jasiri ila ujasiri wa kipumbavu...anatakiwa ashauriwe na asiwe anaongea tuu...hata yule wa ulanga ni hivyohivyo...CCM jitahidini kuleta watu wa maana Bungeni...huyu mdada ni dharau kwa Bunge kama chomba na mhimili mwingne wa nchi. I think she is in the wrong place
 
Back
Top Bottom