gengeni kwa wauza dagaa tv itawekwa wapi? binafsi simlaumu, makuzi yake ni ya hivyoHuyu inawezekana hata alipokuwa nje mbunge alikuwa haangalii bunge vinginevyo angejua watu wanavyochangia hoja
Unajuwa katibu mkuu wako Kinana alipata mini form six? Je msemaji wenu Sendeka? Ama unataka niendelee?Huyu Agness kielimu amejitahidi Mbowe pamoja na kusoma shule nzuri alipata division zero form six
hilo sio tatizo maana ni wengi wenye background kama hizo (mfano mh. waziri mwigulu wakati wa kampeni za kuomba kuteuliwa urais alikaririwa akisema aliwahi kuwa baba ntilie) lakini tatizo ni kile anacholilia na hali yake, haviendani.duh duh mchuuzi wa dagaaa
Niliwaambia humu,huyu demu ana ki-booklet cha cheti cha form four.Huyu alikuwa anarudia rudia mtihani wa Form four ili apate credit kwa zaidi ya miaka sita.
Kila mwaka aliokuwa anarudia una cheti chake,ukimwambia leta cheti chako cha kidato cha nne ataleta kibunda cha vyeti kama cha noti feki za elfu tano tano.Kuna mwaka amerudia somo moja tu.Alipoona kituo cha Mtihani Musoma wamemzoea kama "Resitter" sugu akahamia Mwanza kuwa anafanyia mitihani kukwepa aibu,akawa kituo cha Butimba TTC.Huko nako mpaka wakamkariri.
Hiyo QT yenyewe kufaulu ili aweze kukaa kwa ajili ya mtihani wa form four aliisoma miaka karibu minne!!
Hawa ndio watu tunawapa dhamana ya kutunga sheria,kurekebisha,kutazama miswaada na kuihoji serikali,mtu hana hata msingi wa Elimu ya Uraia.Huyu ina maana hata ile Topic ya Form Two ya "Organs of the State" hajawahi kuiona maisha yake yote,ndio maana anaona Serikali na Bunge ni kitu kimoja.
Angesoma "Organs of the State" angejua kuna "Government","Parliament" na "Judiciary" na hata lile swali maarufu la "Civics" kidato cha pili la "With vivid examples,define what is Separation of Power".Elimu thabiti ya kidato cha kwanza na cha nne ingeweza kumpa upeo tu wa kuchambua mambo.Kuna watu humo bungeni hawajasoma sana lakini wanatoa vitu vyenye ujazo,Wapo walioishia kidato cha nne lakini wanajenga hoja na kusema kwa staha.
Hii swala litazamwe upya,haiwezekani katika nchi moja,dereva wa mbunge ili apewe funguo ya kumuendesha mbunge anatakiwa awe na elimu ya kidato cha nne,leseni,Cheti cha VETA na course "Advanced Driving Grade Two-VIP" halafu sifa za kazi za anayeendeshwa ni "kujuwa kusoma na kuandika" bila kujali huko kuandika na kusoma kajuwa chini ya mti au katika mfumo wa elimu rasmi.
Ndio maana tunaokoteza watu kama kina "Agness Marwa" na kuwatupia bungeni,wanatuletea Lugha za sokoni na uelewa wa vitini vya Nyambari Nyangwine
Huwezi kuhalalisha kufanya makosa eti kwa sababu wengine tena wenye uwezo zaidi yako wanafanya.Kama kweli elimu yake ni kama ilivyo pitishwa mitandaoni basi binafsi nampongeza sana. Lazima ni mwanamke jasiri anayejiamini na kutetea hoja yake iliyoshindwa kukosolewa na wasomi wanaojiita wamebobea kwa kutumia busara na hekima zao. Kutafuta namna ya kumdhoofisha mtu ambaye kwa maelezo si tishio ni kudhihirisha kwamba kweli ni tishio. Ni wangapi wana degree zao na busara kwao ni Sifuri?, wakianza kupayupa unatamani kuziba maskio. Ukweli lazima utatuweka huru na njia ya mwongo daima ni fupi.
lakini Mbowe ana Busara na Hekima
January Makamba alipata Div O lakini Leo hii ndiyo mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji , fitna na kamati za Ufundi cha ccm na Serikali yote, weka Cv ya kunana hapa ?Huyu Agness kielimu amejitahidi Mbowe pamoja na kusoma shule nzuri alipata division zero form six
Mkuu, hiyo ni akili yake tu mbona wauza magenge wengine wana akili nzuri tu, tena wanajieleza vizuri na kwa maslahi ya umma sio kwa matakwa ya umma.Mambo ya magengeni kuuza dagaa ndo yamemwathiri
Kama Ole Sendeka!Huyu Agness kielimu amejitahidi Mbowe pamoja na kusoma shule nzuri alipata division zero form six
Ole sendeka, Mzee mangula Eimu zao ni za kuunga unga ni full magumashi hata Mzee kunana hakuna mwenye cv zake .Kama Ole Sendeka!