mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Acheni upumbavu, hivi watu wazima kila mjinga ni kumlinganisha na Mbowe inakuwa na maana gani? Kama mnakuwa hamna cha kupost si mkae kimya?
Sasa povu lanini Mkuu?Ukisoma maoni mengi ya makomando wenu kila mtu Ni Mjinga,Elimu ndogo Na mambo mengiiiii.Matatizo field Marshal Mbowe rekodi zake za shule Ni mbaya mpaka bunge limeamua kutozisajili kumuwekea heshima.
Ukweli Ni ukweli ingawa unachoma choma.