nikweli mkuu ila kuacha tabia ya uchuuzi wa dagaa ni kazi sana inaugumu wake kama kwa mtu aliyetumia madawa ya kulevya kuachana nayo alichofanya hapo ukiisoma kwa luga ya picha haina tofauti na wakati akiwa kwenye kazi yake ya uchuuzi wa dagaaa ziwani !!hilo sio tatizo maana ni wengi wenye background kama hizo (mfano mh. waziri mwigulu wakati wa kampeni za kuomba kuteuliwa urais alikaririwa akisema aliwahi kuwa baba ntilie) lakini tatizo ni kile anacholilia na hali yake, haviendani.
tungetegemea wabunge ambao ni watoto wa vigogo ndo wawe na mawazo haya ili kulinda wazazi wao wasinangwe live bungeni kwa waliyofanya nyuma au wao wenyewe
Mahakama kazi yake ni kutoa haki kwani polisi haiwezi kukamata mtuhumiwa ikapeleleza na kutoa hukumu. Hawa watu kuachiliwa huwa haimaanishi kuwa hawakutenda kosa la hasha. Huwa hawakutwi na hatia pengine polisi wanakosa kuthibitisha nia ovu ya kosa husika. Mfano wewe umechukuwa simu ya x bila idhini yake ukakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la wizi ambapo ulikubali kuchukuwa simu ili upewe pesa zako ambazo unamdai x. Hapo nia ya wizi inahitajika itolewe na polisi. Kama hiyo nia isiposibitika mtuhumiwa ataachiwa huru japo alifanya kitendo kiovu.Sawa ww muelevu lugumi madini ile boti yenu mv nn vile inayoenda bagamoyo kushindwa kesi hovyo mahakama bora msiwe mnawashitaki tu hao raia wema maana mnapoteza hela zetu bure tu walipa kodi
Sawa upo sahihi mwenye kauli za kiungwana lkn ujui ni kiasi gani serikali uwa inapata hasara kwa nchi hii wasanii tu wapo kwa ajiri ya matumbo yao tu hivi unajua ni kiasi gani serikali inapata hasara kwa kulipa kwenye mahotel maana watumishi hawana nyumba za kuishi maana zote walipeana wenyewe nasikia nyingine mpk mahawala zao na ndugu zao ambao sio wafanyakazi serikalini walipe hivi unafikiri watu wa morogoro wanajisikiaje khs hukumu ya zombe na usanii unao endelea Embu tuache kutete mambo kipumbavu ili tusogee kdg usanii umekuwa mwingi mpk imekuwa kinyaaMahakama kazi yake ni kutoa haki kwani polisi haiwezi kukamata mtuhumiwa ikapeleleza na kutoa hukumu. Hawa watu kuachiliwa huwa haimaanishi kuwa hawakutenda kosa la hasha. Huwa hawakutwi na hatia pengine polisi wanakosa kuthibitisha nia ovu ya kosa husika. Mfano wewe umechukuwa simu ya x bila idhini yake ukakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la wizi ambapo ulikubali kuchukuwa simu ili upewe pesa zako ambazo unamdai x. Hapo nia ya wizi inahitajika itolewe na polisi. Kama hiyo nia isiposibitika mtuhumiwa ataachiwa huru japo alifanya kitendo kiovu.
Hayo ndiyo mazingira ya baadhi ya kesi kushindwa mahakamani. Hivyo hiyo kauli yako ya kijinga kuwa watu huonewa kwa kupelekwa mahakamani si kwamba huwa hawakufanya kitendo kiovu, bali huwa hawakutwi na hatia.
Ni hoja gani alizo tumia kutetea bunge kutooneshwa ambazo hazjibiki?, ni zipi kutaka kulia bungeni?.......Kama kweli elimu yake ni kama ilivyo pitishwa mitandaoni basi binafsi nampongeza sana. Lazima ni mwanamke jasiri anayejiamini na kutetea hoja yake iliyoshindwa kukosolewa na wasomi wanaojiita wamebobea kwa kutumia busara na hekima zao.
Kutafuta namna ya kumdhoofisha mtu ambaye kwa maelezo si tishio ni kudhihirisha kwamba kweli ni tishio. Ni wangapi wana degree zao na busara kwao ni Sifuri?, wakianza kupayupa unatamani kuziba maskio. Ukweli lazima utatuweka huru na njia ya mwongo daima ni fupi.
Ulivyolishwa ujinga unadhani serikali itakaa iache kulipa hotel kwa ajili ya watumishi wenye sifa za kupatiwa nyumba? Hiyo hutokea wakati mtumishi mmoja akiwa hajahama. Haya yalifanyika hata wakati nyumba hazijauzwa.Sawa upo sahihi mwenye kauli za kiungwana lkn ujui ni kiasi gani serikali uwa inapata hasara kwa nchi hii wasanii tu wapo kwa ajiri ya matumbo yao tu hivi unajua ni kiasi gani serikali inapata hasara kwa kulipa kwenye mahotel maana watumishi hawana nyumba za kuishi maana zote walipeana wenyewe nasikia nyingine mpk mahawala zao na ndugu zao ambao sio wafanyakazi serikalini walipe hivi unafikiri watu wa morogoro wanajisikiaje khs hukumu ya zombe na usanii unao endelea Embu tuache kutete mambo kipumbavu ili tusogee kdg usanii umekuwa mwingi mpk imekuwa kinyaa
Yamekuwa hayo tna tatizo lako kubwa hamtaki kbs serikali ikoselewe kbs kila mtu anae sema ukweli anaonekana mpinzani tu ushahidi ulipelekwa na jamuhuri sio mm wala wakazi morogoro ww shabikia hvyo hvyo how Siku yakitokea kwenye familia yko au mtu karibu ndio utajua tunasema nn kifupi mm ni mwanachama mtiifu CCM kamwe sitaweza kuwa chama hicho unachofikiria ww sio msanii km hao jamaa zako tunataka haki na usawa ktk nchi hii atuwezi kuona chama chetu kinapotea tuangalie tu kisa tukisema tunaonekana wapinzaniUlivyolishwa ujinga unadhani serikali itakaa iache kulipa hotel kwa ajili ya watumishi wenye sifa za kupatiwa nyumba? Hiyo hutokea wakati mtumishi mmoja akiwa hajahama. Haya yalifanyika hata wakati nyumba hazijauzwa.
Mauzo hayo yalifanyika kwa mujibu wa sera zilizokuwapo na bado zipo. Waliokulisha hiki kitu hawajakuambia wanachokililia. Wao wanadai nyumba hizi hazikuuzwa kwa bei ya soko. Serikali nayo inasema lengo lake ni kuboresha maisha ya watumishi wake ili wawe na uwezo wa kumiliki nyumba kulingana na mishahara midogo waipatayo. Hivyo kuiweka nyumba husika sokoni watu waishindanie, mfanyakazi hawezi kufanikiwa kushindana na Mengi, Manji, Bakharesa na wengine wengi. Hivyo serikali iliweka ununuzi ufanywe na wafanyakazi tu. Mashariti nyumba isiuzwe mpaka atakapomaliza kulipia miaka 25. Utekelezaji huu kunawaliouendesha vibaya kwa kuuza nyumba zilizo ndani ya kambi za jeshi, hospitali na maeneo mengine ya kotazi wakati ilikuwa kwa nyumba za nje. Hata hivyo baada ya kuuzwa nyumba hizo zilijengwa nyumba karibu 3000 nchi nzima, pale Dodoma kuna nyumba 300 .Kwa haya machache utakuwa umejua usuli wa swala hili maana unalibwakia kikasuku tu.
Wewe ndiyo umejaa upumbavu kwa kudai kitu ambacho hukijui. Swala la zombe ni swala la kifundi tu. Wewe na wajinga wenzio mnataka ashitakiwe kwa mauaji wakati ushaidi mnaoupeleka unaonesha aliyeuwa ni mtu mwingine na hamuoneshi namna zombe alivyohusika na uuwaji. Hali kama hiyo mnataka hakimu afanyeje. Tumia akili yako.
Sasa leta hoja ya kurekebisha baadhi ya taratibu kama vile kuwapo wapelelezi binafsi. Hapa mtu atakuwa na hiari ya kuachana na upelelezi wa polisi. Sasa nyie huja na lawama kwa kitu kilichofanyika kulingana na taratibu zilizopo.Yamekuwa hayo tna tatizo lako kubwa hamtaki kbs serikali ikoselewe kbs kila mtu anae sema ukweli anaonekana mpinzani tu ushahidi ulipelekwa na jamuhuri sio mm wala wakazi morogoro ww shabikia hvyo hvyo how Siku yakitokea kwenye familia yko au mtu karibu ndio utajua tunasema nn kifupi mm ni mwanachama mtiifu CCM kamwe sitaweza kuwa chama hicho unachofikiria ww sio msanii km hao jamaa zako tunataka haki na usawa ktk nchi hii atuwezi kuona chama chetu kinapotea tuangalie tu kisa tukisema tunaonekana wapinzani
Si mnamkumbuka na yule aliyesema ile picha ya askari monument iondolewe iwekwe ya Diamond. Hao ndiyo wabunge wa CCM. Weupe kama theluji.Ccm bana, haya bana, kwa hiyo ccm huyu mlimpa ubunge kwa sababu gani?
Sio nyinyi sema mm naomba sna usinifananishe ba hao jamaa zako plz kakaSasa leta hoja ya kurekebisha baadhi ya taratibu kama vile kuwapo wapelelezi binafsi. Hapa mtu atakuwa na hiari ya kuachana na upelelezi wa polisi. Sasa nyie huja na lawama kwa kitu kilichofanyika kulingana na taratibu zilizopo.
Wenye mawazo kama yako wapo wengi na wapo katika itikadi tofauti. Kwa uelewa huu ulioupata jitoe katika hili kundiSio nyinyi sema mm naomba sna usinifananishe ba hao jamaa zako plz kaka
Siwezi kujitoa uko mie serikali yngu ikiwa inakosea lazima niseme mbona kaka yngu mh nape alifikia hatua ya kusema baadhi ya mawaziri mizigo alikuwa mpinzani au alikuwa mtu kulalamika tu hapana unatakiwa pia kubadiliko au tubadilikeWenye mawazo kama yako wapo wengi na wapo katika itikadi tofauti. Kwa uelewa huu ulioupata jitoe katika hili kundi