Mkuu ile site sijaiona bt navutiwa sana na (i9100) lkn nasikia ku upgrade ni risk inakuwaje hapo.Hiyo ya kwanza hapo chini ndio chaguo la kwanza na ya pili nayo nimeona wameweka bei hiyo je inaweza kuwa bei yake ikiwa mpya? ( nimetoa hapa:Samsung Galaxy s II GT i9100 16GB Noble Black Unlocked Smartphone Interna 814792010372 | eBay )
JE ESTIMATE NI ILEILE 350USD mpaka dsm,kabla ya 15% ?
Mkuu kwa sisi tunaokaa mikoani utaweza pia kutusaidia!
ok sasa mkuu kwa nokia lumia 720 mpya au used inakua bei gani pamoja na shipping??
now current in stock we have HITACHI projectors and htc touch pro 2 only. KaribuMKUU MATHEMATICS!!! Je hapo ofisin kwako hauna bidhaa unazouza zaidi ya wateja kuagiza!!?
sijaona used, nimeona mpya tu, makadirio ya shipping hadi Dar es salaam bila 15% yetu ni 400usd. Karibu
Je naweza nikanunua kitu kingine kama laptop au kamera kutoka USA na wewe kuniletea kwa huo huo utaratibu wako wa kuleta sim au tablet.
Mkuu Lumia 820 brand new bei gani . Pia Samsung Galaxy note 2 used kiasi gani?
Motorola droid RAZR maxx mpya&used bei gani
Dah ugonjwa wangu hiyo simu !!!! Battery backup ya 3300amh, siku nikiipata sijui kitatokea nini ! Anyway ngoja akupe bei nijue!
Motorola droid RAZR maxx mpya&used bei gani
Nimetokea kuipenda sana hii cmu
Shida hapa tz hazipatikan...[/Q
Katika kutafuta nilibahatika kupata motorola droid razr xt 910 specification ni almost same na razr maxx but battery back up ni 1700 amh. ndo natumia. Ni simu nzuri sana , very fast gps super diplay na decent signal reception hasa kama muda mwingi unatumia nje ya miji ,n.k pamoja na ukweli kuwa battery ni ndogo ukilinganisha na spec za razr maxx , bado naona inakaa na chaji muda mrefu ukilinganisha na simu mbili ninazotumia lg p925 na galaxy s3.