Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Nimetokea kuipenda sana hii cmu
Shida hapa tz hazipatikan...[/Q

Katika kutafuta nilibahatika kupata motorola droid razr xt 910 specification ni almost same na razr maxx but battery back up ni 1700 amh. ndo natumia. Ni simu nzuri sana , very fast gps super diplay na decent signal reception hasa kama muda mwingi unatumia nje ya miji ,n.k pamoja na ukweli kuwa battery ni ndogo ukilinganisha na spec za razr maxx , bado naona inakaa na chaji muda mrefu ukilinganisha na simu mbili ninazotumia lg p925 na galaxy s3.

Mm pia ninayo Motorola razr xt910....
Nice phone! !!
 
naomba kuuliza nitajuaje simu niliyoagiza ndo iyo?unaweza chukua ela ukanunua famba la kariakoo. ukaweka ktk box then ukasubiri wiki ukanipatia. tutaamini vip kwamba hamna usanii? ni idea nzuri but unagarantee vip kuwa nilichoagiza ndo nitakachopata na sio famba?
 
Habari mkuu!
Am interested..
Naomba unifanyie research ya xperia M na
Huawei u9200
 
SUMSUNG GALAXY TAB 10.1 3G + WIFI shs ngapu hadi bongo? 15%Najua ku calculate. lol Iwe 16GB
 
Bwana [MENTION]Mathe[/MENTION], hivi ni electronics ama na vingine? kwa mfano nataka kids kik scooter kwa mtoto wa miaka 5. Nimeona ebay ni $82 na usafiri $34. Je naweza pata kwenu? kwa bei gani
 
no, hapo sija-calcluate 15% yetu, calculate hiyo mwenyewe tu kwakuzidisha 15%(total price include ship up to tz), hiyo 15% si-i-calculate sababu kama nilivyosema price inaweza badilika. ukiwa tayari tu-nacalculate kila kitu kwa pamoja na wewe unaona, usijali hatutashindwana. Karibu

Mkuu,nimecheka kweli ulivyokataa haraka haraka kwamba 15% bado haijajumlishwa,by the way nimeipenda sana hii idea.Nimesave mawasiliano
 
Bwana Mathe, hivi ni electronics ama na vingine? kwa mfano nataka kids kik scooter kwa mtoto wa miaka 5. Nimeona ebay ni $82 na usafiri $34. Je naweza pata kwenu? kwa bei gani

kwa bei hiyo hiyo $82+$34=$116, jumlisha 15% yetu tu (15/100X$116). Karibu
 
naomba kuuliza nitajuaje simu niliyoagiza ndo iyo?unaweza chukua ela ukanunua famba la kariakoo. ukaweka ktk box then ukasubiri wiki ukanipatia. tutaamini vip kwamba hamna usanii? ni idea nzuri but unagarantee vip kuwa nilichoagiza ndo nitakachopata na sio famba?

mkuu, if you want we will buy your items ukiona mwenyewe, if you want tutakuonyesha a paypal receipt of your item, if you want we will not open the box till you come. anything you will ask to assure your order is genuine tutakupatia. Karibu
 
Habari mkuu!
Am interested..
Naomba unifanyie research ya xperia M na
Huawei u9200
xperia m new in box 300usd incl shipping up to tz, without our 15%
mViKXdsR4ELTf7rHupcm_3g.jpg

huawei u9200, also new in box 300usd incl shipping up to tz, without our 15%

mw9dq0-NTvFRZPRPuGorXyA.jpg
 
xperia m new in box 300usd incl shipping up to tz, without our 15%
mViKXdsR4ELTf7rHupcm_3g.jpg

huawei u9200, also new in box 300usd incl shipping up to tz, without our 15%

mw9dq0-NTvFRZPRPuGorXyA.jpg

Ase ndugu yangu unajua business,,
Yan ulivyoniwekea na picha apo ndo unazid kunimaliza na ninavyozifiaa ,,
Thanks nikirud dar ntakutafta
 
JAMANI MIMI NAITAKA HII MNITAJIE COST ZAKE MPAKA INAPOTUA MKONONI KWANGU Dell Inspiron 15R 5520 15.6" Laptop Computer
i3-2370M 750GB HDD 6GB RAM Win 7 HP
 
Back
Top Bottom