Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Duh! Yaani mtu una hela, wataka kuagiza kitu ebay au kwenye mitandao mingine, kwa nini upitie kwa mtu mwingine? Kama mtu ana account ya benki si ajiunge na huduma kama za paypal n.k ili kuweza kuagiza vitu online mwenyewe na si kupitia kwa mtu wa pili na kuanza kuchajiwa gharama za ziada? Kweli ujinga wa wengine ni ajira kwa wengine.

Naomba nikusaidie mkuu unacho sema ni kweli ...ila ngoja nikupe mfano kununua bidhaa online na kufanya payment ni risk na unakuwa exposed kwa hackers....bangalore india wana vitu km flipkart,snapdeal lakini hatu pay online zaidi ya ku order na kuwapa address wanakuletea ulipo (india) popote afu unalipa cash kwa agent....hii ni kuonesha kwamba online payment haiko safe 100%......point yangu ni online payment haiko safe kwa transaction
 
samsung galaxy note 2 used gharama yake inakuaje ebay na amazon nimecheki used around $150 mpaka 250 new nimeona $350 mpaka $ 400 nipe gharama tufanye biashara
 
Duh! Yaani mtu una hela, wataka kuagiza kitu ebay au kwenye mitandao mingine, kwa nini upitie kwa mtu mwingine? Kama mtu ana account ya benki si ajiunge na huduma kama za paypal n.k ili kuweza kuagiza vitu online mwenyewe na si kupitia kwa mtu wa pili na kuanza kuchajiwa gharama za ziada? Kweli ujinga wa wengine naomba darasa dogo kuhusu kuagiza simu eBay bro
 
Duh! Yaani mtu una hela, wataka kuagiza kitu ebay au kwenye mitandao mingine, kwa nini upitie kwa mtu mwingine? Kama mtu ana account ya benki si ajiunge na huduma kama za paypal n.k ili kuweza kuagiza vitu online mwenyewe na si kupitia kwa mtu wa pili na kuanza kuchajiwa gharama za ziada? Kweli ujinga wa wengine ni ajira kwa wengine.

Naomba elimu kidogo about kvagina simu nje
 
tunaagiza toka usa sababu tunakuwa uhakika na genuinity wa bidhaa tunayoagiza, vilevile online site za usa ziko more trusted than chinese site.
Si tunaambiwa China imeendelea sasa mbona bidhaa zake unazikacha mkuu?
 
Ndugu binafsi sijaona kipya hapa maana Mimi mmwenyewe naweza agiza kwa amazon nikalipa tu freight cost na kupata ninachokitaka mlangoni. Juzi tu nimepokea saa. Sasa kuna service Gani ya ziada ambayo itanifanya nilipie hio 15 percent?naomba nieleweshe mkuu.

​
 
Naomba kufahamu shipping costs kiujumla, za tablets (samsung & apple). Economy and Express, ili tuweze kufanya biashara mkuu!
 
Naomba nikusaidie mkuu unacho sema ni kweli ...ila ngoja nikupe mfano kununua bidhaa online na kufanya payment ni risk na unakuwa exposed kwa hackers....bangalore india wana vitu km flipkart,snapdeal lakini hatu pay online zaidi ya ku order na kuwapa address wanakuletea ulipo (india) popote afu unalipa cash kwa agent....hii ni kuonesha kwamba online payment haiko safe 100%......point yangu ni online payment haiko safe kwa transaction

C mlisema amtajibu maswali ya online manunuzi,umemtuma mwenzako.utapeli kazi?!!!
 
mkuu paypal ni safe sana, na pesa wanarudisha kwa buyer kama bidhaa haijafika au kama bidhaa haina ubora seller aliounadi.
 
C mlisema amtajibu maswali ya online manunuzi,umemtuma mwenzako.utapeli kazi?!!!
mkuu,, huyo master09 maelezo au maoni yake ameyatoa tu kama mtumiaji wa jf, wala hahusiani na kampuni yetu. soma uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho ni mimi pekee ndio muhusika mkuu kwenye uzi huu. na utapeli hapa upo wapi, mbona maelezo yote niliyoweka yanajitosheleza. asante kwa kunielewa.
 
mkuu paypal ni safe sana, na pesa wanarudisha kwa buyer kama bidhaa haijafika au kama bidhaa haina ubora seller aliounadi.

mkuu mi nataka camera na laptonga mbna sijajibiwa kule kwenye uzi mwngne? Haya nijbun bas
 
Kwa watu ambao wako nje ya dar es salaam munawasaidiaje??maana umesema malipo yote ofisini.je siwezi kutuma pesa then mzigo ukanitumia?
 
Kampuni yetu inahusika na kuagiza na kuuza vitu vya electronics, computers, laptops, projectors etc. Kutokana ni ngumu kuagiza simu chaguo la kila mteja anayoitaka, tunachukua fursa hii kuwapa nafasi wateja wetu kutoa order ya simu/tablet anayoitaka, alimradi bajeti ya hiyo simu/tablets haizidi 500$.

Kwanini uagize simu/tablet toka usa?
una uhakika na u-orijino wa bidhaa unayoagiza, na pia unapata unafuu wa bei kwa bidhaa husika kulinganisha na ungenunua hapa tz, au na wakat mwingine unachokitaka hakipo kabisa tz.

Utaratibu unakuwaje basi?
weka jina la simu unayoitaka hapo chini, then nitakupa makadirio ya mchanganuo wa gharama wa hiyo simu ukijumlisha shipping mpaka unaipata mkononi. (makadirio ya simu unayoitaka yanaweza badilika wakati wowote)

Search hiyo simu au product kwenye online site yoyote ya Marekani, ebay/amazon/walmart then utupe link, hata wanazoship usa only tutakusaidia kulipia, na kupata hicho kitu in a max time of 3 weeks. (Express shipping by EMS ipo na haichukui not more than 10 days, ukiwa ready tutajadili faida na hasara zake)

sababu ni spesho order, mteja utalipa pesa yote ya simu/tablet in advance, kuepuka kuagiziwa simu inakuja halafu mteja analeta sababu nyingine. Malipo yote yatafanyika ofisni tu, na utapatiwa receipt kama ushahidi wa malipo ya gharama za kuagiza simu.

Kitachofuata ni wewe kusubiri wiki 3 tutakukabidhi simu yako. Zikipita siku 45 toka siku uliyopress order yako hujapata simu yako tutakurudishia pesa yote in full amount.

Simu/tablet ukishaletewa utatulipa 15% ya gharama ya simu/tablet jumlisha shipping kama ujira wetu wa kukuagizia simu, halafu ndipo simu utapatiwa mkononi mwako.

Makadirio ya shipping na bei hadi Dar es salaam
makadirio ya shipping hadi Tanzania, kwa economy shipping jumlisha bei ya simu jumlisha na 40usd, economy shipping ndio ambayo nimeikadiria maximum ni wiki 3 . Kwa Eepress shipping chukua bei ya simu jumlisha 60usd, Express hsipping ndio ambayo nimekadiria 10 days. Baada ya kujumlisha ndio unapata bei ya simu hadi dar es salam kabla ya 15% yetu.

15% yetu
unachukua jumla ya bei ya simu na shipping hadi dar es salam, jibu utakalolipata hapo juu, then unazidisha na 15/100 , hiyo ndio gharama kama ujira wetu, punguzo lipo kwa atayeagiza simu zaidi ya moja kwa wakati mmoja.

Ofis zetu zipo jengo la RUBADA, Ubungo Shekilango, ni nyuma ya jengo la Ubungo Plaza, baada ya Blue Pearl kuna barabara isiyo na lami inaingia ndani, mbele yako utaona ghorofa la rangi kijani/njano iliyopauka, ground floor ndipo ofisi zetu zilipo.

Changamoto na maswali yanaruhusiwa, but please kama thread haikuhusu save your jokes and non senses for other threads.

Note: Thread hii haifundishi kuagiza simu/product from online site au usa kwa namna yoyote, kama una swali kama hilo hapa sio mahala pake, sitajibu message yoyote wala usinisumbue kwa call ya namna hiyo. Asante

CLEVA TECHNOLOGIES, RUBADA building, Rubada Street, Ubungo Shekilango Box 4238 Dar Es Salaam Phone: 0714-345958 / 0752-858693

Serious clientele send pm or call; 0714-345958 / 0752-858693 , hisabati@gmail.com

kuna hii iPad nimeiona ebu naomba unisaidie kuniambia gharama zake zote ikiwa ni shipping pamoja na commision yako ni kiasi gani

Apple iPad 2 16GB Wi Fi 9 7in Black MC769LL A 5052181577463 | eBay
 
Back
Top Bottom