Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Naombeni gharama ya latest version ya kindle fire/kindle hdx/kindle paper white fastafasta mazee
 
Hakuna kitu hapa makanjanja tu watto wa mjin wanatumia fursa
 
Hakuna kitu hapa makanjanja tu watto wa mjin wanatumia fursa

Kazi kwelikweli, Wabongo mara zote hamtaki kuona jirani anaendelea! Kijana mwenzenu amejiajiri lakini madongo kila kukicha, wewe ulishamwagiza kitu hajaleta mpaka unamwita kanjanja, kazi ya kukaa kijiweni na kuota ndoto kama mvuta bangi haina maana! Mkuu mathematics achana na maneno ya wabantu hawana lolote, wanakuponda hapa wakitoka wanaenda kwa wahindi kuagiza simu,ni wapumbavu tu, piga kazi mungu atakusaidieni mkuu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mi nataka camera na laptonga mbna sijajibiwa kule kwenye uzi mwngne? Haya nijbun bas
mkuu nilikuuliza laptop ya aina gani na specs gani, pia camera ya brand gani na specs zipi.
unaweza kuni-pm pia nikakuelewesha zaidi.
Karibu
 
Kwa watu ambao wako nje ya dar es salaam munawasaidiaje??maana umesema malipo yote ofisini.je siwezi kutuma pesa then mzigo ukanitumia?
wa mkoani, tukiwasiliana na tukakubaliana na wewe ukaniamini unaweza tu ukanitumia pesa kwa njia ya tigo pesa/ mpesa au kibenki ukabaki na message au slip ya benk kama ushahid wa malipo, product ikifika nakutumia kwa njia ya basi. au kama unaye ndugu/rafiki/jamaa unayemuamini hapa Dar es salaam unaweza kumpa mawssiliano akaja hapa ofisini akalipa kwa niaba yako, na mzigo ukija akakutumia yeye au mimi nikakutumia. Karibu.
 
Naombeni gharama ya latest version ya kindle fire/kindle hdx/kindle paper white fastafasta mazee
8gb 200$ incl shipping had tz
16gb 300$ incl shipping had tz
510L0mrkgWL._AA160_.jpg
 
hivi ps3 hata ya 40 gb nitapata kwa bei gani hadi huku tanzania
 
Halafu mkuu maths.. sikutarajia uulizwe maswali yote hayo wakati umeshatoa njia za kupga hesabu.. mtu anafungua ebay halafu bado anakuuliza..

Wabongo tupo wavivu sana wa kushirikisha ubongo. Tunapenda kurahisishiwa!!

Hongera Mathematics!
 
Back
Top Bottom