Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,984
- 30,178
Imefanyaje??Tv vp Mkuu?
Imefanyaje??Tv vp Mkuu?
Hapo jumlisha 40usd-->134usd kwa ile economy shipping ya siku 14-21 au jumlisha 60usd--->154usd kwa express shipping ya siku5-10, then total zidisha na 15% yetu, then hapo kama ni express shipping ni kwa wazee wa TRA tutajua jins tutakavyofanya ukiwa ready utani-pm / text / call. KaribuMkuu mathematics nipe mchakato kama naitaka hii simu, ni free shipping within USA
Link inBOX Apple iPhone 3GS 8GB Black at T Unlocked w Bundle 885909408184 | eBay
mkuu nimeshakujibu.Mkuu mathematics nimekuwekea PM
kwa bei hiyo hiyo $82+$34=$116, jumlisha 15% yetu tu (15/100X$116). Karibu
So mnachofanya ili kulipwa hiyo 15% ni kwa kazi gani ambayo kama mteja nikiagiza moja kwa moja siwezi fanya? Asante mkuu wangu nipe tu hako kaelimu
Thank you for the appreciation. tunaagiza simu na computers things sababu ndivyo tunavijua vizuri kwa maana ya specs ubora na n.k ili kujihakikishia tunakuwa na uhakika na tunachoagiza. mfano kama hizo jewels hatuzijui vizuri , hapo itakuwa ngumu.
Mkuu lazima iwe simu naweza agiza hizi console games kama ps3??
Mkuu unaweza niagizia battery ya hp 6730b?
Kama NDIYO Bei kiasi gani?
tunaagiza toka usa sababu tunakuwa uhakika na genuinity wa bidhaa tunayoagiza, vilevile online site za usa ziko more trusted than chinese site.Kwa nini msiagize toka China?
Mkuu naulizia kama mmeshapata name ujuzi wa kuagiza SAA/jewelries