Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

sony experia z 700usd by economy including shipping (max 3 weeks)up to tz, 720usd by EMS (max 10 days) including shipping up to tz. IPAD 3 funguka specifications unazotaka, screen inch ngapi 7" or 10", internal mem ngapi 16gb or 32gb or 64gb ?

10" kaka, iwe na 3G connection yahani naweza ingiza micro SIM card, 16gb zinanitosha mkuu
 
10" kaka, iwe na 3G connection yahani naweza ingiza micro SIM card, 16gb zinanitosha mkuu
found 9.7" nearly to 10" , 610usd including shipping to TZ by EMS 10 days max waiting time , and no tax for computers.
 
ulikuwa wamaanisha motorola droid razr maxx? new in box 405usd including shipping hadi TZ.

Nadhani kuna model mbili droid razr maxx na razr maxx hd. iwe na battery back up ya 3300amh ,nipe gharama zake, na je zinakuwa unlocked , rooted au ni mpya kabisa kutoka kiwandani ambayo haina contract.? Naogopa kuspend mi dolari halafu simu inafika unakuta ni ya ku- unlock.
 
Utanisaidiaje kama mzigo umefika halafu sijaridhika nao, na nimelipia kabla?
 
Nadhani kuna model mbili droid razr maxx na razr maxx hd. iwe na battery back up ya 3300amh ,nipe gharama zake, na je zinakuwa unlocked , rooted au ni mpya kabisa kutoka kiwandani ambayo haina contract.? Naogopa kuspend mi dolari halafu simu inafika unakuta ni ya ku- unlock.

will make sure it is unlocked and no contract , motorola razr maxx hd 500usd including shipping to TZ.
 
Kampuni yetu inahusika na kuagiza na kuuza vitu vya electronics, computers, laptops, projectors etc. Kutokana ni ngumu kuagiza simu chaguo la kila mteja anayoitaka, tunachukua fursa hii kuwapa nafasi wateja wetu kutoa order ya simu/tablet anayoitaka, alimradi bajeti ya hiyo simu/tablets haizidi 500$.

Kwanini uagize simu/tablet toka usa?
una uhakika na u-orijino wa bidhaa unayoagiza, na pia unapata unafuu wa bei kwa bidhaa husika kulinganisha na ungenunua hapa tz, au na wakat mwingine unachokitaka hakipo kabisa tz.

Utaratibu unakuwaje basi?
weka jina la simu unayoitaka hapo chini, then nitakupa makadirio ya mchanganuo wa gharama wa hiyo simu ukijumlisha shipping mpaka unaipata mkononi. (makadirio ya simu unayoitaka yanaweza badilika wakati wowote)

Search hiyo simu au product kwenye online site yoyote ya Marekani, ebay/amazon/walmart then utupe link, hata wanazoship usa only tutakusaidia kulipia, na kupata hicho kitu in a max time of 3 weeks. (Express shipping by EMS ipo na haichukui not more than 10 days, ukiwa ready tutajadili faida na hasara zake)

sababu ni spesho order, mteja utalipa pesa yote ya simu/tablet in advance, kuepuka kuagiziwa simu inakuja halafu mteja analeta sababu nyingine. Malipo yote yatafanyika ofisni tu, na utapatiwa receipt kama ushahidi wa malipo ya gharama za kuagiza simu.

Kitachofuata ni wewe kusubiri wiki 3 tutakukabidhi simu yako. Zikipita siku 45 toka siku uliyopress order yako hujapata simu yako tutakurudishia pesa yote in full amount.

Simu/tablet ukishaletewa utatulipa 15% ya gharama ya simu/tablet jumlisha shipping kama ujira wetu wa kukuagizia simu, halafu ndipo simu utapatiwa mkononi mwako.

Ofis zetu zipo jengo la RUBADA, Ubungo Shekilango, ni nyuma ya jengo la Ubungo Plaza, baada ya Blue Pearl kuna barabara isiyo na lami inaingia ndani, mbele yako utaona ghorofa la rangi kijani/njano iliyopauka, ground floor ndipo ofisi zetu zilipo.

Changamoto na maswali yanaruhusiwa, but please kama thread haikuhusu save your jokes and non senses for other threads.

Note: Thread hii haifundishi kuagiza simu/product from online site au usa kwa namna yoyote, kama una swali kama hilo hapa sio mahala pake, sitajibu message yoyote wala usinisumbue kwa call ya namna hiyo. Asante

CLEVA TECHNOLOGIES, RUBADA building, Rubada Street, Ubungo Shekilango Box 4238 Dar Es Salaam Phone: 0714-345958 / 0752-858693

Serious clientele send pm or call 0714-345958 / 0752-858693

Iphone4 kuanzia32gb
 
ni kweli lazima uwe makini, lakini nakuhakikishia hayo unavyosema kwetu hayawezi tokea, ukiwa serious unahitaji huduma yetu na ukitaka uthibitisho wowote ili uwe na uhakika wa usalama wa fedha zako, tutakupa. karibu

Ok pamoja ngoja tuangalie mambo yatakavyo kwenda
 
okay, brand new in box 750usd including shipping up to TZ,
$T2eC16RHJHcFFkB!wvffBRbGteLL3Q~~60_12.JPG

That's what am talking about.
 
Samsung Galaxy S4 32 GB na S3 32GB kwa bei za Dar ni kiasi gani mkuu?
 
samsung galaxy s 2 32g na 16g (i9100) inakwenda kwa ngapi km ina os 4 badala ya 2.3. Ni bora zaid
 
samsung galaxy s 2 32g na 16g (i9100) inakwenda kwa ngapi km ina os 4 badala ya 2.3. Ni bora zaid
samsung galaxy s 2 32g na 16g (i9100) , 350usd including shipping up to TZ. all S2 come with 2.3.4 but can be upgradable up to 4.0.4
$(KGrHqMOKjsE3syyc!PmBN9NnpYccg~~_35.JPG
 
Nipe total cost ya hizi kitu mpaka kunikabidhi mkononi.
I mean cost zote ikiwa ni pamoja na chaji yako ili mzigo ukifika no deni,unanipa changu naconfirm nachapa mwendo.
1.Samsung Galaxy Note LTE SGH-1717-16GB-ceramic.

2.Apple iPad 1st Generation 64GB,
Wi-Fi +3G 9.7in-Black.

3.Samsung GALAXY TAB 2GT-P 5113 10.in
16GB Wi-FI TABLET ANDROID 4.0

4.Nokia Lumia 920
 
samsung galaxy s 2 32g na 16g (i9100) , 350usd including shipping up to TZ. all S2 come with 2.3.4 but can be upgradable up to 4.0.4
$(KGrHqMOKjsE3syyc!PmBN9NnpYccg~~_35.JPG

Thanx,lkn ingekuwa vema km ungeweka gharama kamili kuliko mtu uje hadi dar then unakuta gharama ya usumbufu wenu 15percent inakuwa kubwa zaidi ya maelezo. Nashauri uwe unajumlisha na hiyo ili mtu apige makadilio ya malipo ya jumla. Je hiyo 32g ipo kwa hiyo simu maana kila nikicheki naona 16g
 
Nipe total cost ya hizi kitu mpaka kunikabidhi mkononi.
I mean cost zote ikiwa ni pamoja na chaji yako ili mzigo ukifika no deni,unanipa changu naconfirm nachapa mwendo.
1.Samsung Galaxy Note LTE SGH-1717-16GB-ceramic.

2.Apple iPad 1st Generation 64GB,
Wi-Fi +3G 9.7in-Black.

3.Samsung GALAXY TAB 2GT-P 5113 10.in
16GB Wi-FI TABLET ANDROID 4.0

4.Nokia Lumia 920
1.Samsung Galaxy Note LTE SGH-1717-16GB-ceramic. = new in box 400usd

2.Apple iPad 1st Generation 64GB, = used good one 350usd, didn't see new one
Wi-Fi +3G 9.7in-Black.

3.Samsung GALAXY TAB 2GT-P 5113 10.in =new in box 420usd ,
16GB Wi-FI TABLET ANDROID 4.0

4.Nokia Lumia 920 = used in good one 400usd, brand new in box 500usd

Price include shipping up to TZ, note kwenye maelezo yangu hapo juu price inaweza badilika kuwa juu zaid ya hapo au kuwa chini ya hapo, let me know when ready. Karibu
 
hyo cost hapo ni umemaanisha used au US dollar?
 
Back
Top Bottom