Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

Thanx,lkn ingekuwa vema km ungeweka gharama kamili kuliko mtu uje hadi dar then unakuta gharama ya usumbufu wenu 15percent inakuwa kubwa zaidi ya maelezo. Nashauri uwe unajumlisha na hiyo ili mtu apige makadilio ya malipo ya jumla. Je hiyo 32g ipo kwa hiyo simu maana kila nikicheki naona 16g

hesabu ya ku-calculate 15% mbona rahisi tu, 15/100X(price ya item including shipping ya hadi tz) . na vilevile ukiwa ready tuna-calculate kila kitu kwa pamoja kabla ya kuagiza . 32g ni uwezo wake wa kuchukua sd card but internal memory ni hiyo 16gb.
 
1.Samsung Galaxy Note LTE SGH-1717-16GB-ceramic. = new in box 400usd

2.Apple iPad 1st Generation 64GB, = used good one 350usd, didn't see new one
Wi-Fi +3G 9.7in-Black.

3.Samsung GALAXY TAB 2GT-P 5113 10.in =new in box 420usd ,
16GB Wi-FI TABLET ANDROID 4.0

4.Nokia Lumia 920 = used in good one 400usd, brand new in box 500usd

Price include shipping up to TZ, note kwenye maelezo yangu hapo juu price inaweza badilika kuwa juu zaid ya hapo au kuwa chini ya hapo, let me know when ready. Karibu
Ntakutafuta mkuu!
 
Bila shaka hesabu hii haitakua na nyongeza kwenye common charge right?I mean nalipa then mzigo ukifika nachukua changu nachapa mwendo si ndio?
 
Bila shaka hesabu hii haitakua na nyongeza kwenye common charge right?I mean nalipa then mzigo ukifika nachukua changu nachapa mwendo si ndio?
no, hapo sija-calcluate 15% yetu, calculate hiyo mwenyewe tu kwakuzidisha 15%(total price include ship up to tz), hiyo 15% si-i-calculate sababu kama nilivyosema price inaweza badilika. ukiwa tayari tu-nacalculate kila kitu kwa pamoja na wewe unaona, usijali hatutashindwana. Karibu
 
hesabu ya ku-calculate 15% mbona rahisi tu, 15/100X(price ya item including shipping ya hadi tz) . na vilevile ukiwa ready tuna-calculate kila kitu kwa pamoja kabla ya kuagiza . 32g ni uwezo wake wa kuchukua sd card but internal memory ni hiyo 16gb.

Sawa mkuu
 
Kwa majaribio ngoja nianze na blackberry 9780 itakua inauzwaje including shipn cost.. Yani nije na kias gani mi nikikupa nakuwa nasubir mzigo wangu jumlisha na hiyo 15% yako.. Nikifanikiwa hapa ndio ntaanza agiza device nizitakazo.
 
nearly new 180$ including shipping up to TZ, i recommend it to save money.
mEOuOKHFsEPsrVruC1KYmkw.jpg

Assumption $1=tsh1630
180X1630=293,400
15%X293400=44,010
total =44,010+293,400=tsh 337,410
 
nahitaji sony ericson xperia S, vp inakuwa bei gani?
 
mkuu kuna hii galaxy s2 plus model i9105,inaonyesha ni successer wa i9100 ukiicheki ni kiasi gani coz kuna site niluona hadi 160usd mpya.
 
mathematics

Mkubwa nimeshaicopy number yako ya simu na hakika nitakuseach hewani muda wowote.
Hakika Jf ni kila kitu bana! Kha ha ha ha haaaaa!

ndio from HK kinaweza kuchukua even 7 days only kwa njia ya straight shipping from HK to TZ, na vilevile kinaweza kikachukua hata siku 30 , wazoefu tunajua. na kwa huo uzoefu wangu kuagiza vitu straigth from HK to TZ haina uhakika sana, wakati mwingine huweza chukua hata miezi miwili. kwahiyo mimi kwa uhakika zaidi huwa natumia route ya HK to USA then to tz, na hapo max time kwa kila route ni wiki 2, hivyo wiki 4. vilevile elewa maana ya neno "maximum" , manake muda unaweza kuwa chini ya hapo lakini hauwezi kuzidi hapo. na ikiwa una-m-garantii mtu kumletea kitu ni vema ukampa max time, kuliko kumpa muda mchache halafu muanze kusumbuana afikiri umekula pesa yake.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuna hii galaxy s2 plus model i9105,inaonyesha ni successer wa i9100 ukiicheki ni kiasi gani coz kuna site niluona hadi 160usd mpya.

nipe link ya simu kwenye hiyo site kama ni site ya usa tutanunua, naangalia from Ebay used in good condition ndio zina-range 150-200usd.
 
MKUU MATHEMATICS!!! Je hapo ofisin kwako hauna bidhaa unazouza zaidi ya wateja kuagiza!!?
 
Mkuu ile site sijaiona bt navutiwa sana na (i9100) lkn nasikia ku upgrade ni risk inakuwaje hapo.Hiyo ya kwanza hapo chini ndio chaguo la kwanza na ya pili nayo nimeona wameweka bei hiyo je inaweza kuwa bei yake ikiwa mpya? ( nimetoa hapa:Samsung Galaxy s II GT i9100 16GB Noble Black Unlocked Smartphone Interna 814792010372 | eBay )

Samsung Galaxy S II GT-I9100 - 16GB - Noble black (Unlocked) Smartphone -------

$(KGrHqZ,!j!FESd(B5OvBRNhRqYCFg~~60_35.JPG

New Samsung Galaxy S II GT-I9100 - 16GB - Black (Unlocked) Smartphone Moible cel (
Starting bid: US $238.00 :

$(KGrHqMOKjsE3syyc!PmBN9NnpYccg~~_35.JPG

JE ESTIMATE NI ILEILE 350USD mpaka dsm,kabla ya 15% ? SEHEMU nyingine hiyo simu ya pili 269 usd ni hii hapa (http://www.cheap-phones.com/ads/new-samsung-galaxy-s2-gt-i9100-unlocked-phone/)

http://www.ebay.com/itm/150999750223?_trksid=p2048036 i9105

http://www.ebay.com/itm/ws/eBayISAPI.dll?ViewItem&item=330867353919 for i9105

http://www.ebay.ca/itm/HTC-Amaze-4G...geo=1&clk_rvr_id=479547333365&vectorid=229529

http://www.ebay.com/ctg/Samsung-Gal...d-Smartphone-International-version-/102709718

http://www.ebay.com/itm/New-Samsung...ndroid-4-1-Smartphone-8GB-Black-/370777496552
 
no, hapo sija-calcluate 15% yetu, calculate hiyo mwenyewe tu kwakuzidisha 15%(total price include ship up to tz), hiyo 15% si-i-calculate sababu kama nilivyosema price inaweza badilika. ukiwa tayari tu-nacalculate kila kitu kwa pamoja na wewe unaona, usijali hatutashindwana. Karibu[/QUO

ok sasa mkuu kwa nokia lumia 720 mpya au used inakua bei gani pamoja na shipping??
 
Back
Top Bottom