Aga khan hospital - Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aga khan hospital - Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Oct 30, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF
  Hali alivyoeleza Mh Zitto inaonyesha wazi kuwa Aga Khan Hospital ni eneo la biashara. Kama kweli Malaria inawashinda je magonjwa mengine. Ni heri ukatibiwa temeke ukapata vipimo sahihi maana hii hali inatisha. Mimi binafsi nikianga aga khan sipati majibu ya kweli kuhusu home au chochote. Na hili la Zito limening'amua.

  Tutafakari kama kuna mtu humu JF ni mtumishi wa AGA KHAN basi awafikishie taarifa.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini.
   
 3. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi nilikuwa naiamini sana hii hosp maana wanasema wana vifaa vya kutosha.Nikipita huko nitaitembelea nijionee kwa macho.

  Lakini katika taarifa yake Zitto ni kwamba tu walishindwa to diagnonise SINUSITIS na ndio ugonjwa uliomtoa nje ya Tanzania kwa ajili ya Upasuaji huko India.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kila mtu na anavyojisikia,haina mana kama hawajalijua tatizo la zitto ndio kua sio Hospital ya mana sio kweli hata kidogo, ni Hospital nzuri na Doctors wake pia ni hodari kama huamini nenda utajua usinilewe vibaya au sikuombei uumwe la hashaaaa,au unaweza uliza watu hata watu wako wa karibu.......
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano pia kuwa hiyo "malaria" ya Zitto ni cover story so hatuwezi kujua kama kweli Aga Khan walishindwa kudiagnose.
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ingelikuwa nchi za nje, Hospitali ingelikwisha toa tamko kumlipua huyo Mbunge maana inaonyesha anawavunjia hadhi
   
 7. Nkamu

  Nkamu JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi wenzangu, mimi binafsi nimekwisha pata tatizo pale Agha Khan Hospital. Ni kweli kwamba wana vifaa vingi vya kisasa lakini kuna tatizo kwenye upimaji wa malaria. Kampuni yetu tulikuwa tunatibiwa Agha Khan lakini tangu tumeanza kutumia huduma ya hospitali hiyo hakuna mtu aliyewahi kupimwa na kukutwa na malaria wakati ambapo ukienda kwenye zahanati ndogo za mitaani wanakupima na kukuta una malaria. Mara nyingi madaktari wa Agha Khan kwa kujua tatizo la maabara yao walikuwa wanakuuliza vizuri kama unafikiri hizo ni dalili za malaria na wanakupa dawa za kutibu malaria.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwani ku detect malaria unahitaji vifaa hi-tech kiasi gani?
   
 9. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Hii hosp ina historia ya kutogundua malaria, Zitto sio wa kwanza wala wa pili. I am also a victim of such a case.

  Ila kwa magonjwa mengine, kiukweli ni mabingwa. Tatizo linakuja pale ambapo unaumwa na hakuna ugonjwa unaoonekana. Daktari hawezi mtibu mgonjwa au kumpa dawa kwa ugonjwa ambao vipimo havionyeshi. Sitawalaumu madaktari kwa hili, wako professional.

  Tatizo nadhani lipo maabara, either vifaa or technicians.
   
 10. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mimi binafsi huwa natibiwa aga khan, ina very proffessional doctors so its probably something else beyond "malaria" that zitto is suffering from!
   
 11. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hajawavunjia heshima maana kaongea ukweli. tatizo sio madaktari, ila ni maabara.
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Aga Khan pana matatizo makubwa ya kiutawala mimi binafsi na familia yangu nimeshaapa kutokutibiwa hapo, kulikuwa na Dr. Bigwa alikuwa muhimbili na alikuanafanya part time hapo aliamua kuacha kazi ili kulinda ethetics za udaktari, kumekuwa na tatizo la utawala kushinikiza madktari kuwandikia wagonjwa madawa zaidi au kufanya vipimo visivyohusiana na ungonjwa wenyewe ili waweze kupata hela. Pia kulazimisha wanawake kujifungua kwa operaotion badala ya njia ya kawaida.
  Nilimpeleka mzee wangu hapo mwaka jana akiwa na tatizo la maumivu ya mgongo wakamfanyia vipimo na kumpa dawa za kutumia lakini nilipata wasiwasi juu ya idadi ya dawa alizopewa nikawasiliana na Dr. aliacha kazi hapo kwani ni Baba mkwe wangu, aliniambia mzee asitumie hizo dawa mpaka tuonane naye pale muhimbili kesho mzee alipofanyiwa vipimo ilionekana ni kweli alikuwa na tatizo kama Aga Khan walivyobaini tatizo ni likiwa aina za dawa alizopewa baadhi yazo hazikulingana na ugonjwa aliyokuwa nao hapo ndipo Dr. Akanieleza kisa cha yeye kuamua kuacha kazi pale Aga Khan. My take nafikiri serekali inapaswa kupaangalia kwa jicho angavu.
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Mimi sina tatizo na aghakhan,
  tatizo ni kwanini kabwe apelekwe india,
  wakati ugonjwa umeshafahamika,
  kuna nini nyuma ya malaria ya zito.
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ukisoma kwenye ukurasa wake a facebook au mwananchi la leo amesema mgonjwa wa malaria madaktari wa muhimbili waliweza kugundua hilo na kumpa dazi ambayo mmemsaidia kupata nafuu, lakini kumbuka pia Zitto alikuwa na tatizo la kipanda uso ugonjwa ambao ukifikia hatua ambayo anayo zitto lazima ukafanyiwe operation na kwa mujibu wa Dr. Kimaryo alipendekeza Zitto aende India.
   
 15. m

  murimi Member

  #15
  Dec 18, 2013
  Joined: Aug 2, 2013
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Dactari hajui CLINICAL METHODS, Basi hata kama atapewa Vifaa vya Maabara vilivyotengenezwa leo Bado atakuwa hawezi kutibu watu. Ndio maana kuna Clinical Diagnosis....
   
 16. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2013
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu, wafanyakazi kwenye mahabara hawana ujuzi wa kutosha kugundua vimelea vya malaria, nilikwisha shuhudia tatizo hilo zaidi ya mara nne na familia yangu; atuwezi kusema ni bahati mbaya. Kitu kingine, wakijuwa unalipiwa na kampuni/mwajili basi wana kawaida ya kukurundikia madawa chungu mzima kutoka India, kama una ujuzi wa fani ya madawa ukiyachunguza unagundua mengine hayahitajiki kabisa wanacho tafuta pale ni ku-inflate bill kwa mwajiri - kuna udanganyifu mkubwa sana.
   
 17. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2013
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Wala hauhitaji vifaa "hi-tech" kugundua Malaria. Kwenye Hospitali kubwa Kama Agha Khan and the likes huwa wanatumia vifaa hi-tech kwenye maabara zao kwa ujumla. Ni lazima Uwe na vijidudu wengi wa Malaria ili iweze kuonekana na hizo mashine zao. Mimi binafsi huwa naenda kwenye Zahanati wanazotumia Microscope na huwa napima katika Zahanati tatu tofauti ili kupata uhakika wa majibu, na mara nyingi majibu huwa yanafanana. Kutoweza kugundua Malaria Agha Khan haina maana ya kuwa Agha Khan Hospitali sio makini.
   
 18. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2013
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Well said mkuu, wana tabia ya ajabu sana - wanapenda sana kurundikia wagonjwa madawa chungu mzima, na ukiangalia karibu yote yanatoka India, na ukiangalia kwa umakini madawa mengi wala hayahitajiki - wanacho tafuta pale ni pesa tu hawajali kama madawa mengine yanaweza kuwadhulu watumiaji.
   
 19. MissM4C

  MissM4C JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2013
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,254
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  hata hinddu mandal ni usenge mtupu, kila mjamzito lazima achanwe kisu
   
 20. lyinga

  lyinga JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2013
  Joined: Nov 18, 2013
  Messages: 2,503
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 0
  Mmesahau na ile mgonjwa anakuwa hajazidiwa sana lkn anawekwa kwenye chumba cha uangalizi maalum ilisiku zizidi kusogea bill iwe ndefu
   
Loading...