king gwangaeto
Member
- Aug 15, 2016
- 47
- 46
Ndugu watanzania kwa ujumla natumai mnaendelea vizur na ujenzi wa taifa
Mnamo mwezi wa 12, 2020 kuna kadhia iliibuka hapa JF kuhusu hospital ya Dar Group kuhusu uonevu, unyanyasaji wa watumishi wa hospital ya Dar Group (kumbuku uzi huu chini )
Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani
Baada ya kadhia hiyo kuibuka kupitia hapa Jamii Forum , Serikali wakati wa awamu ile ya JPM kupitia Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh.Gondwe alifatulia kadhia ile na kufika hospital kuongea na wafanyakazi pamoja na uongozi ,
(Kumbukumbu video ya kikao kati ya mkuu wa wilaya na team na wafanyakazi/viongozi wa hospital )
Kupitia kikao hicho Chini mkuu wa wilaya na kamati yake madudu mengi sana yaliibuka kuhusu hospital ya Dar group
1.TUHUMA ZOTE ZA UNYANYASAJI NA UKIKWAJI WA HAKI ZA WAFANYAKAZI ZILIZOKUA ZINAWAKABILI VIONGOZI HAO (Mkurugenzi Mkuu,mkurugenzi wa utawala na rasilimali watu pamoja na watu wao ) ZILITHIBITIKA NA KUBAINIKA NI KWELI (VIONGOZI HUSIKA WALISHINDWA KUJITETEA NA WALIKIRI MAKOSA YOTE )
2.KUPITIA KIKAO KILE YALIIBUKA MADUDU MENGI KUHUSU MATUMIZI MABAYA YA MAKI YA SHIRIKA (WIZI,UFISADI NA UTAKATISHAJI PESA ULIOKUA UKIFANYWA NA VIONGOZI HAO, (Mfano viongozi hao walikua wakifanya ubadhilifu na ufujaji wa mali za shirika ikiwemo kujichotea pesa za shirika , kutolipa wafanyakazi overtime huku wao wakijilipa takriban million 5 kila mwezi (nje ya mishahara na posho kibao wanazolipwa , pili wizi mkubwa waliokua wakifanya kupitia ununuzi wa vifaa vya hsptl yaan kifaa cha million 6 wao wanapiga million 17, DG kununua gari 2 aina za vanguard (kwa kiasi cha takriban million 90 na ushee ) gari moja ameandika jina la shirika na gari lingine ameandika jina lake binafsi , pia walibainika kujilimbikizia mali kibao tofaut na uhalisia wa mishahara za vipato vyao )
3.Iliundwa kamati uchunguzi kuhusu mambo yote ya hospital pia TAKUKURU walifanya uchunguzi na kufundua madudu na ubadhilifu mkubwa sana , na hospital iliamuliwa iwe chini ya uongozi wa wilaya/mkoa chini ya ofisi ya RAS , na maadhimio kadhaa yalitolewa ikiwemo kufanyika vikao vya mara kwa mara kati ya usimamiz kutoka ofis ya RAS ,wafanyakazi na viongozi lakin cha ajabu ilikua kama nguvu ya soda baada ti ya muda kidogo hali ilirud kuwa kama zaman hamna vikao vinavyofanyika mpaka sasa , na viongoz waliokua wakisimamia huja mara chache nkuongea na viongozi bila kuongea na wafanyakazi, je kuna siri gani inaendelea kati ya wasimamizi na viongozi hao ?
HALI YA SASA YA HOSPITAL
Kwaujumla mwenendo wa hospital kwasasa sio mzuri ,viongozi hao hao wenye tuhuma na incompetent bado wapo ktk nafasi zao na wanafanya sabotage, wanahujumu hospital na kufanya utendaji wa hospital uwe duni na chini
Mfano kugoma kufanyia services vifaa muhimu vya tiba, kuna muda hsptl inakua giza kabisa siku nzima ilihali kuna back up generators 2 kubwaa lakin hawataki kuzifanyia service kuna wakati zinakua hazina mafuta(maajabu kuna muda walikodisha generator toka nje ) pia kuna kipindi hsptl ilikua haina maji kwa siku kadhaa kisa pump ta maji haijatengenezwa (ilikua inategemea maji ta mkokoteni ) , vifaa tiba, mashine za vipimo , ac , gari za kubebea wagonjwa zikiharibika hazifanyiwi matengenezo wa wakati ili mradi tu viongoz hao wafanye huduma za hsptl kuwa ngumu )
2.Morali ya wafanyakazi ipo chini sana maana hawajui hatma yao na wengi wao mikataba imeisha na wanapewa short contract (3months ) huku wakisubiria final say ya serikali . pia kuna uhaba mkubwa wa wafanyakazi
3.Viongozi hao DG,DAHR kwasasa wamekua wakitoa kauli kuwa hawawezi kufanywa lolote na wameshaituliza serikali na sasa hivi watawakomesha wafanyakazi kama sehemu ya kisasi na kweli wamekua wakifanya huduma za hsptl kuwa ngumu..
NINI HATMA !!????
1.JE,SERIKALI YA AWAMU HII IMESHINDWA KUMALIZA KADHIA HII NA KUICHUKUA HOSPITAL KAMA ILIVYODAI MWANZONI
2.WAZI HOSPITAL HAINA MMILIKI JE,KINA NANI WANUFAIKA WA HSPTL YA DAR GROUP KIASI KWAMBA MPAKA LEO SERIKALI HAIJATOA MWAFAKA
3.TAKUKURU,WIZARA YA AFYA , DPP , KAMATI ILIYOUNDWA KUCHUNGUZA KWANINI MPAKA SASA HAMJACHUKUA HATUA YEYOTE KWA VIONGOZI HAWA
4.KWANINI VIONGOZI HAO WENYE TUHUMA NA MAKOSA KIBAO HADI LEO HII WANAENDELEA KUBAKI KTK UONGOZI(tokea december 2020 )
5.SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA,KATIBU WIZARA YA AFYA ,TAKUKURU WATOE MWAFAKA RASMI NA KUMALIZA KADHIA YA DAR GROUP HOSPITAL NA KUCHUKUA HATUA STAHIKI KWA MANUFAA YA WATANZANIA NA SIO MUNUFAA YA KIKUNDI CHA WATU WACHACHE WANAOFAIDIKA.
[mention]Wizara ya Afya Tanzania [/mention] [mention]Wizara Katiba Na Sheria [/mention] [mention]Takukuru [/mention] [mention]Pccb [/mention]
[mention]Jamii forum [/mention] [mention]Jamii kwanza [/mention] [mention]Polisi jamii [/mention]
[mention]Zitto [/mention]