Afya ya Lwakatare YAZOROTA

Afya ya Lwakatare YAZOROTA

Mbona baadhi ya wachangiaji wamerudisha mada kwenye udini? Kuna watu hawawezi kabisa kuwa na mawazo huru ni lazima wafungwe kwenye minyororo ya udini. Akili ndogo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu Nyleptha, kwa mujibu wa sheria zetu hapa jf, hili ni kosa la "neme calling" na adhabu yake ni ban!.

Hapa tunatumia pen names zetu tuu, kama umemuona mtu amejiandika Pasco, hata afanane vipi na Pasco Mayalla, huruhusiwi kumfananisha au kumuita Pasco Mayalla!, kwa taarifa tuu, mimi ni Pasco wa jf, full stop!.

Pasco.

wala sijasema kwamba wewe ni Pasco Mayalla, i was just thinking out 'LOUDLY'. Sorry kama nimekukwaza, Mods spare from 'BAN'
 
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa![/QUOTm
mjinga wewe

:high5:
 
Mkuu Chakaza, sina ujumbe wowote zaidi ya kuuliza "the motive behind!". Tangu clip imetoka, concentration ya wengi ni on genuinity ya clip, mimi huko nilishatoka concern yangu sasa ni "if he was acting alone au ndio mpango wa chama?!.
Pasco.

Kwa hiyo kote ulikuwa unazunguka mbuyu lakini lengo lako ni kukihusisha Chadema na hii kadhia kama ilivyokusudiwa na CCM.
 
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!

Sio hoja kwa magaidi kama nyie,huyo unaemsema kavamia kiwanja na kuiba mali kwa mgongo wa Uislamu hivi hii ni dini kweli au kikundi fulani cha maharamia na wahuni waoaojiita waislamu
Wala usilinganishe suala la Lwakatare na la mwizi huyo
 
Hivi lile sakata la Mwakyembe si ni Polisi hawa hawa waliutupilia mbali ushahidi wa Samwel Sitta wakidai kuwa hawawezi kujishughulisha na mambo ya mitandaoni?
Hata ule mpango wa mauaji ya watu sita marufu nchini pia waliukacha kwa madai hayo hayo?
Kwa nini wamekuwa wepesi kwa Lwakatare?
 
Jibu la huu umafia, uwe ni wa kutungwa au halisia ni hili hapa chini.

Ninaamuru lile lidege letu linaloweza kungoka mpaka USA bila kuhitaji mapumziko popote, liondoke mara moja likawachukue FBI 10, linalete hapa Bongo washughulikiye masuala yote. Ninahitaji kazi hiyo ifanyike ndani ya siku zisizozidi 20; na mrejesho ufanye mbele ya waandishi - hapa nitahijati ripoti ipelekwe kila kaya -yaani kila mkuu wa kaya apate nakara yake.
Majina halisi ya walopanga mipango, walotuma watu kuteka na kutesa, kuuwa nk, yatajwe, na walotelekeza mauaji hayo pia watajwe.

Ndani ya siku 10 baada ya wakuu wa kaya kusoma ripoti hizo na kuzijadili ndani ya familia zao, tuhitishe mkutano mkuu wa maridhiano na kujadili mwelekeo wa taifa hili. Mikutano hii iratibiwe katika kata, kisha wilaya, mkoa na kuhitimishwa kitaifa.

Kama kuna gharama zozote zinazohitajika, wasiliana na hazina, itatoa kodi yangu.

Ninawakilisha
 
Mkuu Kapotolo, ni kweli nilianzia kwenye kuandika habari, nikaja kwenye kutangaza redio, then kutangaza kwenye TV, na baada ya "kiti moto" nilijikita kwenye production, "behind the camera", mimi sasa sio mtangazaji bali ni mtayarishaji "producer", na naomba kusema wazi na sio kujidai, TBC, ITV na Channel Ten, wote bado wanatumia camera za DV zinazotumia Div Tapes au Mini Div, Star TV ndio wana camera za HDV zinazotumia card ila TX yao nao bado ni analogy, mimi studio yangu ya PPR, tuko kwenye full digital, HDV tukitumia XD video card, ila kwa vile TV zetu zote bado zinarusha analogue signal, then nalazamika kuwapelekea kwenye DV quality, ukipeleka Full HDV, picha inaonekana kama inaungua!. Hivyo naomba nikuthibitishie Pasco wa jf, sio mwandishi tuu, au mtangazaji tuu, bali ni 'AV Digital Producer"
na endapo jf itaamua kuwa na TV channel yake, mimi naamini nitakuwa ni mtu wa msaada sana!.

Pasco.

Huo msaada wapelekee babako na mamako vijijini huko. Nao wana mpango wa kuanzisha tivii.
 
Mkuu Nyleptha, kwa mujibu wa sheria zetu hapa jf, hili ni kosa la "neme calling" na adhabu yake ni ban!.

Hapa tunatumia pen names zetu tuu, kama umemuona mtu amejiandika Pasco, hata afanane vipi na Pasco Mayalla, huruhusiwi kumfananisha au kumuita Pasco Mayalla!, kwa taarifa tuu, mimi ni Pasco wa jf, full stop!.

Pasco.

Sijasema kama wewe ni Pasco Mayalla, i was just thinking out 'LOUDLY' kutokana na maelezo uliyotoa mwenyewe. Anyway, sorry kwa kukukwaza, mods spare me from 'BAN'.:sorry:
 
Sio hoja kwa magaidi kama nyie,huyo unaemsema kavamia kiwanja na kuiba mali kwa mgongo wa Uislamu hivi hii ni dini kweli au kikundi fulani cha maharamia na wahuni waoaojiita waislamu
Wala usilinganishe suala la Lwakatare na la mwizi huyo
mwizi wa roho za watu na mwizi wa sementi nani ni wa kuogopa?
 
:focus: Hivi, hakuna haki kwa mfungwa kupewa chakula na matibabu kuendana na afya yake? mi najua mahabusu analetewa chakula toka nje hivyo ndugu na familia yake wanahusika kumtengenezea chakula kitakachoboresha afya yake kwani mgonjwa wa kisukari ana special diet. Na matibabu je anapata kama mahabusu? kwani si haki kumfungia mtu mahabusu ateseke wakati anatakiwa kupelekwa hospitali na kutibiwa chini ya ulinzi iwapo dhamana hawezi kupewa.
 
Zile chafya, mafua na kuvuja kwa makamasi kwenye ile video, ni ishara tosha kwamba yule mjomba afya yake ni mgogoro mtupu. Ni vyema serikali ikawa makini na watu wenye afya mbovu kama yule na ikibidi awekwe katika cell ambayo hatachanganyika na wengine. Au ni vizuri zaidi kama aliruhusiwa kuishi nyumbani kwake huku akiwa chini ya ulinzi na polisi wamuone tuu pale wanapotaka kumsaili.

Hatuna budi kumshukuru mungu kuwa huyu bwana hajawahi kuanguka jukwaani........otherwise tungehitimu kuwa afya yake ni mgogoro mtupu
 
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!

Upuuuuuuuuuuuuuuuzzzzzzzzz mtupu, hata haya huna.Polisi wanaacha kukamata genuine watuhumiwa wanaenda kukamata innocent people. Mwisho wenu umekaribia
 
polis leo mnawaona wabaya kisa Lwakatare,me huwa nawaambia hapa unafki si mzuri,polisi huwa mnawasifia wanapowabughudhi waislam,,,,,,

Jamani waislamu ni sawa na mwanamke ambae muda wote akiwa kiongozi anajituhumu kwamba anadharauliwa kwa sababu ni mwanamke ndivyo hawa jamaa wanavyolalamikia uislamu wao kwani umelazimishwa kuwa mwislamu? Acheni ujinga kwani kwenye idara ya Polisi wote ni wakristo hamna waislamu? Na watu wanaadhibiwa kutokana na makosa yao unataka hata wakikosa waachwe tu sababu ni waislamu? Hata mkristo ataadhibiwa kutokana na makosa yake regadless ni dini gani
 
kumtoa mtu jicho sio hatia kama vipi andamaneni,? Yaan hatuna maendeleo kwa kuwa wengine tunapinga Umafia wenu?

Kwa maoni haya hata shetani atakushangaa na kukuhukumu bila huruma, una hakika kuwa yeye ndiye aliyeratibu kuumizwa kwa Kibanda?
 
Akifia jela atakuwa amekufa natural death, ni mgonjwa sana yule and at no point kifo chake kihusishwe with his detention
Kwa hiyo IGP anaruhusu Polisi kumyima haki yake ya kikatiba mtuhumiwa ili kupata matibabu hivi Kikwete anajua hawa watu wake wanavyochafua jina la nchi hii kwa udikteta wao
 
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
 
mwizi wa roho za watu na mwizi wa sementi nani ni wa kuogopa?

Ni kuchafuana na tuhuma hazijathibitishwa hadi atakapopelekwa mahakamani kwa uthibitisho wa kisheria lakini mwizi wa kiwanja imethibitishwa kutokana na ushahidi unavyotolewa mahakamani nani mwizi sasa? Imepikwa na maccm kwa kuona wanapelekwa ile mbaya na 2015 mtashangaa
 
Mkuu Kapotolo, ni kweli nilianzia kwenye kuandika habari, nikaja kwenye kutangaza redio, then kutangaza kwenye TV, na baada ya "kiti moto" nilijikita kwenye production, "behind the camera", mimi sasa sio mtangazaji bali ni mtayarishaji "producer", na naomba kusema wazi na sio kujidai, TBC, ITV na Channel Ten, wote bado wanatumia camera za DV zinazotumia Div Tapes au Mini Div, Star TV ndio wana camera za HDV zinazotumia card ila TX yao nao bado ni analogy, mimi studio yangu ya PPR, tuko kwenye full digital, HDV tukitumia XD video card, ila kwa vile TV zetu zote bado zinarusha analogue signal, then nalazamika kuwapelekea kwenye DV quality, ukipeleka Full HDV, picha inaonekana kama inaungua!. Hivyo naomba nikuthibitishie Pasco wa jf, sio mwandishi tuu, au mtangazaji tuu, bali ni 'AV Digital Producer"
na endapo jf itaamua kuwa na TV channel yake, mimi naamini nitakuwa ni mtu wa msaada sana!.

Pasco.

Pomposity materialized, Huna chochote gamba mchumia tumbo.
 
Back
Top Bottom