Afya ya Lwakatare YAZOROTA

Afya ya Lwakatare YAZOROTA

Madhara gani mkuu?
Pengine elimu umekosa,lakini ungetumia hata akili ya kawaida tu aliyokupa Mungu kuchangia hoja!Sheikh Ponda alifikishwa mahakamani Lwakatare bado yuko ndani ya mikono ya polisi kwa zaidi ya masaa 24 kitu ambacho ni kinyume na sheria,na kuonyesha ulivyo mwepesi upstairs eti unasema bora afie huko huko,then wewe utafaidika nini?au haujui madhara yanayoweza tokea na suala ilo?shame on you!
 
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.

Jerrytz hao ccm wenyewe wameua wangapi? Tangu wawe madarakani? Anza na Sokoine,Kolimba,Kigoma malima,Kombe hata Nyerere wamempoison ulaya ili waje wauze mali za watanzania vizuri bila kelele na bado kwa kuwa watu hawakuwa na ujasiri wa kuhoji wakatulia saa hivi wanajidai kupika kesi za mauaji kwa wapinzani wakati wao ndio wauaji wakubwa na bado wanawaua watanzania kwa njaa,mfumuko wa bei,madeni ambayo wanakopa kwa kujitajirisha wao halafu wanawafanya watanzania wajinga TIME WILL TELL
 
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.

umenena kamanda, Tatizo haya magamba yameishiwa mbinu na hawafahamu kabisa kuwa hapa wanazidi kuipaisha CHADEMA.
 
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!
Kwa ulichokiandika kwanza kabisa ulaaniwe pia nakuzawadia matusi yote uliyowahi kutukanwa na yale ninayoyafahamu mimi pia na yale unayoyafahamua wewe na tambua kauli yako hii imejaa ujinga uliopitiliza yaani upumbavu.
 
Kwa hiyo ndio maana mnaya-create ili m-gain sympathy? Dalili za kuishiwa tu hizo, mpaka kufika 2015 mtakuwa hoi..
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
 
Kwa hiyo ndio maana mnaya-create ili m-gain sympathy? Dalili za kuishiwa tu hizo, mpaka kufika 2015 mtakuwa hoi..

Take time to re-read my post; I am not a member of CDM; i was exercising my constitutional right of freedom of speech so please when you comment bear that on mind.
kama wana-create ama la, mimi nimeangalia outcome na sio sababu ya hicho kilichotokea!
 
Pomposity materialized, Huna chochote gamba mchumia tumbo.
Mkuu Shardcole, watu wakisema wanafanya nini, mtaita wanajidai, hapo nimekuwekea tuu ninachofanya sasa, jee ningeweka na CV, nimesoma wapi, nimesoma nini na nilipata nini, ungesemaje?!, watu wengine tuacheni hivi hivi, tuko down to earth sio kwa sababu ya unyonge bali kwa aumuzi tuu, nakuhakikishia nikiamua kuvaa gamba au gwanda, nachukua jimbo lolote hapa jijini Dar es Salaam, ukiondoa jimbo la JJ Mnyika!, bahati mbaya sisi ambao ni wa kweli daima, siasa za bongo hatuziwezi ndio maana tumejibakia hivi hivi tulivyo!.

Niliwahi kutoa angalizo kwa baadhi yetu humu jf, wao ni hatters na wengine hadi ni prophets of the doom!, "only if wishes were horses!".

Pasco.
 
Mkuu Chakaza, sina ujumbe wowote zaidi ya kuuliza "the motive behind!". Tangu clip imetoka, concentration ya wengi ni on genuinity ya clip, mimi huko nilishatoka concern yangu sasa ni "if he was acting alone au ndio mpango wa chama?!.
Pasco.
Hapo ndio ilitakiwa wote tujikite sio kuleta ushabiki wa kipuuzi usio na mpango kutetea tetea tu vitendo vya uove kisa vimefanywa na upinzani that's sucks,uovu ni uovu ufanywe na upinzani ufanywe na watawala is the same shit!
 
Mkuu Chakaza, sina ujumbe wowote zaidi ya kuuliza "the motive behind!". Tangu clip imetoka, concentration ya wengi ni on genuinity ya clip, mimi huko nilishatoka concern yangu sasa ni "if he was acting alone au ndio mpango wa chama?!.
Pasco.

Kwanini usiumize kichwa kidogo kwamba huenda pia si mpango wake binafsi wala si mpango wa Chama chake , bali ni mpango wa Mwigulu ? Unazikumbuka zile Sms za kutengeneza alizosingiziwa John Mnyika ? Open your Mind Pasco !
 
Jambo hili ukilitafakari sana utaona kwamba kuna kitu kinatafutwa. Usalama wa Taifa umekuwa haujiamini kwani siri zao zinavuja na kuvifikia vyama vya upinzani mapema sana. Hata mikakati yao ya ndani kabisa kabla hawajaitekeleza wanaikuta imeshawafikia. Wameshindwa kujichunguza wenyewe kupata chanzo cha kuvuja kwa habari zao za ndani. Sasa inaonekana uamuzi umekuwa kutumia mbinu za kuwatuhumu wa kuwashtukiza baadhi ya watu na viongozi wa vyama vya upinzani ili kupata nafasi ya kuwaingilia majumbani mwao kuwapekua ili angalau wapate kujua ni nani kutoka kwenye kundi lao anayewasiliana na vyama vya upinzani. Kitakachofuata watakwenda kupekua ofisi za chama. Sioni chembe yoyote hapo ya utaalamu wa kiupelelezi. Nahisi mikurupuko tu. Maana wapelelezi wetu wamebakia kwenye mbinu za kizamani sana za kutegemea kupata habari kutokana na kutesa washukiwa ili waseme badala ya kufanya kazi ya kupeleleza na kukusanya ushahidi kitaalamu. Mfumo huu unatumika zaidi kwenye nchi zinazoendeshwa kidikteta. Ni aibu kwa Tanzania.
 
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
kwa hiyo kwa kigezo hicho tu ungependa lwakatare nae asichukuliwe hatua ile video ipite hivihivi tu kisa ni mtu wa chadema,aachwe aendelee kupanga mikakati ya kuwalwakatare wengine ili kuwasilence!
 
hii ndo serikali ya kikwete hakuna aman hakuna hak wap tunaelekea huu n wiz mtupu kwel tutafka tukiwa tumechoka.
 
Weka ndani huyo mafia.Hakuna dhanamana coz hawa ndio wanaleta migogoro katika taifa.
 
Jambo hili ukilitafakari sana utaona kwamba kuna kitu kinatafutwa. Usalama wa Taifa umekuwa haujiamini kwani siri zao zinavuja na kuvifikia vyama vya upinzani mapema sana. Hata mikakati yao ya ndani kabisa kabla hawajaitekeleza wanaikuta imeshawafikia. Wameshindwa kujichunguza wenyewe kupata chanzo cha kuvuja kwa habari zao za ndani. Sasa inaonekana uamuzi umekuwa kutumia mbinu za kuwatuhumu wa kuwashtukiza baadhi ya watu na viongozi wa vyama vya upinzani ili kupata nafasi ya kuwaingilia majumbani mwao kuwapekua ili angalau wapate kujua ni nani kutoka kwenye kundi lao anayewasiliana na vyama vya upinzani. Kitakachofuata watakwenda kupekua ofisi za chama. Sioni chembe yoyote hapo ya utaalamu wa kiupelelezi. Nahisi mikurupuko tu. Maana wapelelezi wetu wamebakia kwenye mbinu za kizamani sana za kutegemea kupata habari kutokana na kutesa washukiwa ili waseme badala ya kufanya kazi ya kupeleleza na kukusanya ushahidi kitaalamu. Mfumo huu unatumika zaidi kwenye nchi zinazoendeshwa kidikteta. Ni aibu kwa Tanzania.

Mungine huyu,mzee tatizo la lwakatare sio tuhuma wala kushtukizwa nyumbani kwake ni video inayomuonyesha akipanga njama za kufanya uhalifu,msijaribu kupotosha hii,naona toka juzi mko busy kujaribu kufanya cover up badala ya kutafuta motive behind iliyomsukuma lwakatare kupata mkakati huo huku akijirekodi!
 
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!

Nyambafu kabisa,mjinga ww huna hata aibu kushadadia uovu!hao kina Rama wamefanywa nn?
 
Tumuombe uzima na salama, maana mahabusu za polisi wetu na baadhi ya mbinu chafu za mahojiano, Mungu bariki Rwakatare sio tuu ni public fugure, bali pia anazijua hakizake mikononi mwa polisi!, angekuwa ni mwenzangu za mimi, saa hizi angekuwa umekwisha sema kila kitu!.

Pamoja na yote, mimi nimeiangalia clip ile na kujiridhisha ni "bonafide genuine!".

Pasco.

Ha ha ha ha ha Mzee wa "bonafide genuine!".

Weekend njema...
 
kwa hiyo kwa kigezo hicho tu ungependa lwakatare nae asichukuliwe hatua ile video ipite hivihivi tu kisa ni mtu wa chadema,aachwe aendelee kupanga mikakati ya kuwalwakatare wengine ili kuwasilence!

Akili yako ipo sawa kweli?! Wapi nimesema Lwakatare aachwe?!Unreasonable stupid.....
 
Search warranty hutolewa na polisi ambapo mwenye kuidhinisha hiyo warranty lazima awe na cheo cha full inspector ( nyota mbili) au zaidi, Sijaelewa hapo kwa nini wakose hiyo warranty, naona maandishi kachemsha
 
Wasije wakamng`oa meno hukohuko sello maana polisi na hatari sana!
 
Mungine huyu,mzee tatizo la lwakatare sio tuhuma wala kushtukizwa nyumbani kwake ni video inayomuonyesha akipanga njama za kufanya uhalifu,msijaribu kupotosha hii,naona toka juzi mko busy kujaribu kufanya cover up badala ya kutafuta motive behind iliyomsukuma lwakatare kupata mkakati huo huku akijirekodi!
Ndiye haswa, unachokizungumzia usahihi wake uko wapi? sasa kama wapelelezi wanaona tu video wanakwenda kukamata halafu wanashindwa kufungua mashtaka huo ni upelelezi? Na wewe kwa akili yako kubwa unaona wamefanya kazi kweli kweli hapo? Pole sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom