invisible
Hapana kanjanja Pasco.
Wewe upo fani hii kwa lazima. Huna uwezo wa kuwa kwenye fani zinazolipa zaidi.
Du !, yaani Mkuu The Invisible, kumbe umenistukia kuwa mwisho wa uwezo wangu ni hii kazi ya ukanjanja!, naona noma kweli!, ila naomba kuyasema haya kama utayaamini uyaamini, kama huta yaamini na usiyaamini.
Kazi ya uandishi wa habari ni kazi ya wito kama ilivyo ualimu!. Ila kwa sababu siku hizi fani zinavamiwa kufuatia ukosefu wa ajira, uandishi wa habari pia ni fani iliyovamiwa, hivyo kuna waandishi wa wito, na waandishi wa mshahara (petty cash journalism), kama walivyo walimu wa wito na wale wa mshahara!.
Kwa vile kazi ya uandishi hai attract the best brains kufuatia maslahi duni, haina maana wote wanaoingia kwenye uandishi ni vilaza tuu, zipo some best brains ambao wangefanya vizuri kwingineko, bali wameamua kufanya uandishi kwa wito, just for the love of it na sio kwa kufuata pesa!, na hata zikitokea opportunities to make more money kwenye PR, wao wata prefer kubaki newsroom doing what they love most!, na hawa ndio masikini jeuri!.
Vivyo hivyo, kwa ualimu, wanaochukuliwa kwenda vyuo vya ualimu, ni wale waliokosa grades za kwenda form V, l`kini pia wapo giid brains wanaoingia ualimu kwa wito na they feel gratified doing what they do despite the low income associated.
Na kundi la mwisho la waandishi ni wale ambao they are good brain, wamefanya mambo makubwa very successive kwenye hayo wanayoyafanya, and yet they turn into journalism just for the love of it, na wanaandika kwa kujitolea and they don't make a peny out of journalism!. Hawa ndio waandishi wa kujitegemea kwa kujitolea!, hawajaariwa na mtu, hawatumwi na mtu, na wanaandika kile wanachokitaka wao!. Kundi hili, ndimo mimi nilimo!.
Kuna wengi wanachagua prifessionals fulani due their pay check and they get satisfaction for the money not for the job!, na wako ambao wameamua kufuata job satisfaction by doing what they love most despite the low pay!.
Higher paying jobs is not a big deals kwa sisi wengine, wala money is not everything!, we are doing what we do for the love of it, huku tukiishi nyumba za kupanga, tukitumia public transport na sometimes tukilala njaa but with a smile nit because there is nothing else to do, but because we have chosen this path!.
Take it or leave it.
Life goes on!.
Pasco.