Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

Hapo hakuna cha hamu, bali ni mapepo ya ngono.

Tuache kukaa free bila kazi(shughuli), ndio maana mawazo maovu yanapita na sisi.

"An idle mind is devil's workshop".
Iyo hapo juu ni simple message lakini ina maana kubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku. ""Akili isiyotumika ni gereza la shetani" hutukumbusha kwamba tunapokuwa wavivu na bila shughuli, mawazo maovu huja kwa haraka akilini mwetu. Mtu anaposhindwa na kutokuwa na shughuli, mawazo ya aina zote ya uovu hufurika akilini mwake, hivyo kuifanya kuwa mahali kamili kwa shetani kutekeleza vitendo vyake vya uovu."

Mwenyezi Mungu azidi kutupa nuru yake na kutuondolea mawazo maovu kwenye ufahamu wetu.

Well said!
Natamani kila mtu angekuelewa.
 
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake na kuanza kumbaka na baada ya kumaliza haja zake akatoka kumtupa nje.

Mmoja wa wapangaji katika nyumba hiyo, Delifina Boazi amesema alitoka nje kwenda kukinga maji bombani ndipo alipomuona mtuhumiwa akifanya kitendo hicho sebleni akiwa amekaa kwenye makochi.

"Nilimuoma alikuwa amemkamata kuku na anafanya naye mapenzi na alipomaliza alienda kumtupa," amesema Delifina

Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kitongoji cha Misungwi, Samson Madirisha amekiri kupokea taarifa hizo na baada ya kufika eneo la tukio alikuta kitendo hicho kimeshafanyika.

Madirisha amesema baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa alikuwa na hamu hivyo alishindwa kujizuia.

Naye Kamanda wa Sungusungu kata ya Usagara, Buhili Makubilo na mkazi wa eneo hilo Edista Mganga wameviomba vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaobainika kufanya vitendo hivyo.

Hata hivyo, mtuhumiwa amechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Tumepiga hatua kubwa sana.
Unaweza kumuona jamaa huyo baadae akigombea nafasi ya uongozi kupitia chama flani.

Kwani hukusikia kuhusu kinyesi cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi?
 
Mmeripoti hili suala katikankituo cha Polisi cha karibu au umekimbilia kupost tu huku?
 
Unadhani ni kwa nini inakatazwa?

Inakatazwa ili kuzuia maambukizi na kueneza magonjwa endapo huyu binadamu atakapo muingilia kingono kiumbe asiyekuwa binadamu na baadae akaenda kuingiliana kingono na binadamu mwenzie. Sisi viumbe hai tuna asili tofauti na hata maumbile yetu pia yana asili tofautitofauti na wadudu tofautitofauti.

Sijaeleza kitaalamu kwakuwa mimi siyo mtaalamu wa hayo mambo ya magonjwa na afya lkn nijuavyo ni hivyo.
Kama kuku ni wake aachwe aisee kikubwa hajadhuru mtu.
Japo angeuza huyo kuku angepata wanawake hata wanne kwa harakaharaka kama wale wanaojiuza kwa wahaya buku nne
Ni
 
Naona Kanda ya ziwa wanajitokeza pale kuwasaidia ndugu zao wa kanda maalum hadi sasa Nyanda za juu kusini wanapigwa gap na hawa ndugu wa kanda ya ziwa
 
Nyie mnacheka nini? Mbona mimi nimepatwa na mchanganyiko wa kichefu chefu na huzuni?
 
Kalpana umeona?? Nilikwambia siku ile kuna watu wanabaka kuku ukaona nakupa chai. Na yule memba mwingine simkumbuki ningemuita hapa ajionee mambo ya walimwengu
 
Back
Top Bottom