Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;

Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
.

Pesa za watu unazodaiwa, ushalipa?

Kweli utapeli ni kipaji!
 
kubalini tu ndugu zangu, kwamba ubongo wa muafrika, hauwezi kufikiri sawa na wa mzungu,its human nature,ni kama uchukue mbwa wawili,yule mbwa wa polisi anafundishika, ndio nature ya brain yake alivyo umbwa,sasa yaleyale mafundisho, mfundishe mbwa wetu hawa wakiswahili uone,kama atakua anakupenda sana basi hayo mafundisho atayakumbuka leo tu,kesho mki amka amesha sahau yote, ndio hiyo nature ubongo wake ushafika mwisho, waafrika mnatakiwa mjijue thinking capacity yenu,robert watson nafikiri ndio wa kuanza nae mjadala
 
Bila kuambiwa na wazungu ungekuwa na hii akili ya sasa?

Mzungu kakufundisha wewe kuabudu picha yake.
Na mpk kesho utampigia goti.

Mimi elimu nilionayo imeingia ktk damu yangu miaka 1500 iliopita.
 
"Na Tazama mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye pumzi je kuna jambo lolote gumu nisiloliweza"
ni maneno mazuri sana yaliyojaa upole na unyenyeku.ila tatizo lipo pale pale,yameandikwa katika kitabu kinacho husu mitume na minabii weupe(wazungu).
 
Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Unaweza kufanya kitu kidogo tu tena kwa lengo tofauti kabisa lakini ukajikuta umefanya dhambi kubwa...Tafakari upya ulichokiandika hapa..
usifanye vitu ili kumfurahisha mwanadamu huku unamchukiza Mungu..
 
unaweza kufanya kitu kidogo tu tena kwa lengo tofauti kabisa lakini ukajikuta umefanya dhambi kubwa...
tafakari upya ulichokiandika hapa..
usifanye vitu ili kumfurahisha mwanadamu huku unamchukiza Mungu..
mleta mada yuko sahihi ispokuwa wewe hujaelewa ndio maana unaleta habari za dhambi... ama kweli kutawaliwa kubaya
 
unaweza kufanya kitu kidogo tu tena kwa lengo tofauti kabisa lakini ukajikuta umefanya dhambi kubwa...
tafakari upya ulichokiandika hapa..
usifanye vitu ili kumfurahisha mwanadamu huku unamchukiza Mungu..

Shida ni kuwa mnaamini bila kujuwa mnavyoviamini.. waafrika tuache kuwa kama ng'ombe... tunaamini hata upuuzi kisa wameandika wazungu... tuendelee kujitambua na siyo kuendelea kukaririshwa upuuzi wa wazungu
 
Andikeni tu lakini ukweli si mnaujua?
Hiyo miungu yenu yote ya Africa ni vimeo. Haijawahi kumsaidia muafrica yoyote na ndio iliyomfikisha muafrica huyo huyo kwa kiasi kikubwa hapa alipo for the past centuries. Umaskini, maradhi, fitna, chuki, ufisadi, uzinzi unaochangiwa na Ndoa za mke zaidi ya mmoja and the list goes on.

Mungu original ni yule yule katika nafsi 3 Baba, Mwana (Yesu) na Roho Mtakatifu. Hajawahi kumuangusha mja wake. Hata Dini zingine zote zinamkiri yeye kila kukicha.
Andika fake book yako ila jiandae kula adhabu stahiki utakaposepa kitaa hiki cha duniani
 
Kitabu usikiite Biblia.....ita jina lingine tu kama uko makini
 
Jericho sasa umepotea. Unataka kuwa adui wa Mungu Muumba wa Mbingu na nchi, Jehova ndilo Jina lake. Yeye ni Mungu wa wote wenye mwili, zaidi yake hakuna Mungu.

Huyo wa kwako unamuumba kwa sura gani? Nguvu za kumpa ili afanye uungu unazitoa wapi? Jina lake nani?

Uungu wake uko wapi?

Jericho wewe unaumba mungu, huyo mungu wako ataumba nini cha kwake ili akiimiliki na kukitawala?

Ninachelea kukupa angalizo.

Unahitaji kutubu dhambi hii mbaya unayoifanya. Vinginevyo, yatakayokupata dunia kuanzia na hapa jF watashuhudia kwa yatakayokupata.

Huwezi kusimika miungu eti unataka kuipambanisha na Mungu halafu Mungu akufurahie. Usitake kuwa adui wa Mungu.
 
Unamuanzisha Mungu jamani❔❕❕.Tuogopeni laana na mapigo tusiyostahili.Mungu hakuwahi kujipambanua kama Ni Mungu WA Mtu,taifa au bara Fulani.Yeye Ni WA wote.African bible tayari ipo siku nyingi.
 
Andikeni tu lakini ukweli si mnaujua?
Hiyo miungu yenu yote ya Africa ni vimeo. Haijawahi kumsaidia muafrica yoyote na ndio iliyomfikisha muafrica huyo huyo kwa kiasi kikubwa hapa alipo for the past centuries. Umaskini, maradhi, fitna, chuki, ufisadi, uzinzi unaochangiwa na Ndoa za mke zaidi ya mmoja and the list goes on.

Mungu original ni yule yule katika nafsi 3 Baba, Mwana (Yesu) na Roho Mtakatifu. Hajawahi kumuangusha mja wake. Hata Dini zingine zote zinamkiri yeye kila kukicha.
Andika fake book yako ila jiandae kula adhabu stahiki utakaposepa kitaa hiki cha duniani

Umekaririshwa na wamisionari unatokwa povu na Mungu wa kwenye hekaya zao zinazopingana kitabu hata kitabu. Pole.
 
Umeshindwa kuandika historia ya wazee katika kupigania Uhuru wa Tanganyi kama ulivyoahidi utaandika kupinga historia iliyooandikwa na Mohamed Said kwa kuwa haijawataja wazee wako, mpaka leo hii imekushinda.
 
hakuna mungu Wa Afrika wala ulaya mungu ni 1wesema kama unaanzisha biashara kwa sababu dini na madhehebu yake yapo kibiashara zaidi sio kimungu acha kuhadaa Waafrika kafanye kazi shambani kama hauna Ofisi
 
Nahisi Mtoa Mada Na Wanaomsupport Ni Wale Ambao Hawana Tatizo Lolote Km La Kiafya Au Kiuchumi Ndo Mana Wanaleta Pumba But Kama Wangekua Na Tatizo Lolote Wasingekua Na Mawazo Km Haya Zaidi Ya Kuomba Mungu Huyohuyo Wa Weupe Awasaidie
 
Tatizo lolote linatatulika na wala hakuna muujiza wowote. Kwa hiyo hakuna uhusiano kati ya Mungu na utatuzi wa matatizo yako. Kama unaumwa, nenda hospital, kama una njaa, kalime au kafanye kazi kwa bidii..

Ni upotovu wa kuegesha matatizo yako kwa Mungu wakati suluhisho unalo wewe..
 
Back
Top Bottom