Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Nikatubu kwa Mungu wa kizungu au wa kiarabu?

Mungu wangu ni mwaminie yu hai na hunipigania palipo na vita.

Kama kweli mungu wako yu hai usingekuwa unawatapeli watu. Mungu wako ni Shetani ambaye ni mwizi ja tena kulingana na Biblia takatifu ni baba wa uongo.
 
Well. Tuanze na tasnia ya filamu, inakuwaje hadi mzungu aje Afrika kuigiza maisha yetu? Wasanii wa afrika wanajua kuigiza mapenzi tu?? Blood diamong, last king of scotland etc. tasnia ya filamu ina mengi ya kufanya zaidi ya hapa.

Uongozi wa sasa umejawa na wizi na ufisadi na yote hii imechangiwa na ubinafsi wa hali ya juu.

Afrika kuna shida aisee.

Kuna mpya inakuja ina ectiwa bongo tittle# Night of lotus .coming soon....
 
Nikatubu kwa Mungu wa kizungu au wa kiarabu?

Mungu wangu ni mwaminie yu hai na hunipigania palipo na vita.

Mbona mpka leo we maskini tu?
Ingekuwa huyo unaemuabudu anakupangia angekuacha unagaa na upwa kwenye jua kali?

Wacha kutapeli watu kijana.
Ni dhambi kubwa saana.
 
Nani alikwambia kuwa huyo unayemwamini ndiye Mungu wa kweli?

Yeye mwenyewe nimeyaona matendo yake.
Sina haja ya kuambiwa tena baada ya kuwa niliambiwa mara ya kwanza.
Kama na we unataka kuamini njoo nikuoneshe.
 
inawezekana wewe ndio hujui unachokiamini.
sasa jitengenezee huyo mungu wako uwe unamwabudu.
kitu unakitengenezwa mwenyewe alafu bado unakiita mungu.... hizi ndio akili za waafrika wengi.

Huyo Mungu unayemuamini katengenezwa pia, tena na muzungu. sijui una maana gani kwa hoja yako. kama hujui uliza siyo kuwaya waya hovyo hovyoo. Kweli kutawaliwa kubaya sana. Watu wap/uuzi hata ku question vitu basic hamuwezi, zenu kukariri tuu... Usikariri ndugu, jiongeze kufikiri japo kidogo utajitambua..
 
Biblia imetabiri kuwa Mungu ataikumbuka Africa katika siku za mwisho, Nikweli sisi ni bara lenye laana, maana tulitokana na mtoto wa Nuhu aliye laaniwa laana kali kwa kosa la kumdhalilisha baba yake, lakini Mungu ameahidi kutukumbuka siku za mwishoni. Isaya 19: 1-
Hapo naona Misri imelaaniwa angani na ardhini. Ndugu,miji na falme za kimisri zitapigana. Lakini baadae Misri atabarikiwa, Ashuru (kazi ya mikono ya Mungu) na Israel mrithi wa Mungu.

Ufafanuzi kidoho hapo Je baraka za Mungu juu ya Afrika zipo juu ya mabega ya Misri? Au Afrika ndio Ashuru?
 
Dini ya babu yako ilikuwa ni Kutambika uchi na Kuua Kila mwenye macho mekundu!

Dini ya babu yako ilikuwa ikitokea Mafuriko au mitetemeko ya Ardhi wanamtoa mtoto kafara kwa kumchinja.! Au Kumzika akiwa hai.

Dini ya babu yako Mwanamke ilikuwa marufuku kula vyakula vinono manake mwanamke alikuwa ni chombo cha starehe tu.

Sasa km unaitaka dini ya namna hio anza kupiga marufuku nyumbani kwenu dada zako na wazee wako wa kike wasile chochote kuanzia mayai, nyama, pilau n.k.
Washindie mihogo mikavu tu na maji.
Ukifanikiwa hilo anza mazoezi ya kutembea Uchi.
Halafu utatupa taarifa unaendelea vipi.
Umeandika nini hiki? Unafikiri kama biashara tu ya kiungwana ingefanyika kati ya Afrika, Ulaya na Uarabuni watu wasingevaa nguo? Ila ikaletwa dini kwa hila ambayo hata sasa hivi imefanya waafrika wawe maskini wa kila kitu mbaya zaidi umaskini wa fikra umeletwa na dini na kuchagizwa na utumwa
 
Dini ya babu yako ilikuwa ni Kutambika uchi na Kuua Kila mwenye macho mekundu!

Dini ya babu yako ilikuwa ikitokea Mafuriko au mitetemeko ya Ardhi wanamtoa mtoto kafara kwa kumchinja.! Au Kumzika akiwa hai.

Dini ya babu yako Mwanamke ilikuwa marufuku kula vyakula vinono manake mwanamke alikuwa ni chombo cha starehe tu.

Sasa km unaitaka dini ya namna hio anza kupiga marufuku nyumbani kwenu dada zako na wazee wako wa kike wasile chochote kuanzia mayai, nyama, pilau n.k.
Washindie mihogo mikavu tu na maji.
Ukifanikiwa hilo anza mazoezi ya kutembea Uchi.
Halafu utatupa taarifa unaendelea vipi.
Au ndo unatimiliza laana ya mtoto wa Nuhu aliyemcheka baba yake akiwa uchi? Wewe unawacheka na kuwakejeli bubu na babu wa babu zako kisa dini utapata laana doubled punguza makasiriko pima hoja na legeza fuvu kuna jambo utalipata. 😂
 
Kijana lzm utambue nini unaandika kabla ya kugusa "send"!
Kafara ya wanyama ni kitu cha kawaida kabisa ktk maisha yetu.

Suala la Ibrahim tayari umeshasema "ALITAKA kimchinja" sio alimchinja mwanae.

Wewe hakuna anaekukatazs kuabudu makaburi na mawe km babu zako. Na kutembea UCHI mbele ya Wazee wako na dada zako Lkn lzm utambue Kukaa uchi Ni kosa la jinai. Na ile tabia ya kuua watu wenye macho mekundu waliokuwa wanaifanya babu zako pia ni kosa la jinai.
Na kuvuta bangi kitu ambacho ni moja ya ibada za babu zako ni kosa la jinai vilevile.
Pombe za kienyeji hali kadhalika ni kosa la jinai.

Kwa hivyo Utakuta kila mtakachokifanya km walivyofanya babu zenu siku hizi ni Makosa ya jinai.

Mtatujazia Jela zetu kwa huu upuuzi. Jela zenyewe nafasi hakuna.
😂😂😂
Aisee Mzungu alituweza kweli kweli katuharibia watu. Wewe hapo unatoka zako Kanda ya ziwa au Kaskazini au Nyanda za juu kusini, Kanda ya kati au Pwani sio mmoja wa makabila 12 ya Israeli ambayo ndio warithi wa Mungu wa kizungu.
 
Aliyekwambia wanachoomba wanafanikiwa ni nani? Babu yako au?

Je! Umemuuliza ni watoto wangapi waliwachinja kwa ajili ya kutoa makafara kwa mizimu?
Ni mara ngapi walikuwa wanazunguka moto hali ya kuwa ukoo mzima WAKO UCHI?

Miafrika sijui mtaamka lini?!
Yule pimbi wa loliondo kala hela zenu weee mpk katajirika na hakuna hatta mmoja kapona.

Lini mtakuja amka nyie?
Hivi unajua ulaya na mashariki ya kati wanafanya matambiko ya damu za watu tangu enzi hata sasa? Ndio wanao ongoza kuwa na wachawi wabobevu zaidi je unalitambua hilo?

Mzungu alikuletea dini kama pazia jeusi ili usione yeye anafanya nini upande wa pili. Afrika inaongoza kuwa na imani zaidi kwenye dini kuliko ulaya, wanamuomba mungu sanaa, wanakemea na kutoa mapepo kupitia Yesu na wanamlilia Mungu shida zao kuliko wazungu.

Lakini mzungu anafanya mambo makubwa kiteknolojia na kiuchumi jiulize waafrika maendeleo yako wapi kama mungu mnaemuomba anawasikiliza? Njaa, maradhi, ugumu wa maisha, miundo mbinu ya hovyo, hakuna maendeleo shida tupu.

Bado hamstuki? Mzungu hajawai kuioenda Afrika hata kidogo. Amkeni wandugu! Changamoto za mila na desturi zetu zingeweza kutatuliwa kutokana na uhitaji wa kimazingira na muda.

Anyway, Maendeleo yanakuja kwa kufanya kazi kwa bidii. Na sio kukesha ukiomba alafu unahudhuria maombi mara 3 kwa wiki ukiomba mke au mume, maisha mazuri na gari 😂😂.
Kwakua hakuna jambo linalomshinda mungu.

Ndugu zangu Waislaam wakaambiwa Elimu akhera ni muhimu zaidi ya chichote, but hio haikupi hela wala mafanikio leo tunabaki kusema Qatari, Oman, Dubai, hahaha au USA.
 
Taabu ni kuwa wewe na ukoo wako ndio mmeachwa na Mwenye Enzi Mungu milele alafu unataka kutumbukiza na sisi! Haiweze kani kabisa kwa hiyo ukome kabisa, unasikiya kijana mdogo [emoji35]
Mtu mzima ovyooooo [emoji35]
 
Back
Top Bottom