Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;

Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
.

Hivi unapotangaza vita na Mungu Muumba wako unategemea nini Yeriko tapeli wewe? Unaonekana mstaarabu kumbe ndani yako umeoza kiasi hiki? Mrudie Mungu kabla hazijaja ziku zilizo mbaya kwako.
 
Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;

Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
.

Pole! Yawezekana kabisa ukadhani kuwa unafanya utani, lakini shetani hana utani na mtu, hivyo keshakusajili tayari kama mtumishi wake na si rahisi kujinasua bila kuhitaji neema ya Mungu kwa machozi! Dakika chache kabla ya kifo utawaona malaika wa Giza (pepo wachafu) waliotumwa na huyo uliyeamua kumtumikia kuja kukupokea! Hapo ndipo unapomwona MTU anatupa miguu na mikono na kutoa macho! but too late!

Wapenda michezo, tafuteni michezo mingine, ila msiamshe hasira ya Mungu muumba wa mbingu nchi!
 
Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;

Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
.
Mchakato Wa kuteketeza watu kupitia makafara,ktk kabila Moja mapacha walikuwa mkosi na hivyo kuwafurahisha miungu mmoja alikuwa anauawa.mfalme/chifu akifa alikuwa anazikwa na kabinti bikira mbaya zaidi kakiwa hai......na kwao waliona wanampendeza mungu wao.hiyo yako unayoifanyia mchakato itahusisha taratibu hizi pia?
 
Hii thread Kaka Yericko inakudhalilisha na umefanya kufuru; hata sisi tuna mapungufu mengi kibinadamu lakini tunamwomba Mungu atusamehe , ila kufanya kufuru na mizaha kama hii sio mizuri kwa maisha na afya ya roho yako; Mwogope Mungu ndugu na wewe sio mwerevu kiasi hicho unachotaka kumtunishia Mungu misuli, hata Lucifer alidharau na kujiinua lakini unajua kilichotokea pamoja na Malaika wake alioasi nae na yupo hapa Duniani kwa kazi maalum....naam nayo ni kuhakikisha anapata wa kwenda nao motoni/ jehunum
Je, Yericko unamwamini Mungu muumba wa mbingu na vyote vilivyomo?
Je, utaendelea kupambana kupotosha waja wa Mwenyezi Mungu?
Muda bado unao tafakari ulichoandika, maisha yako ulipotoka na hatma ya maneno, mawazo na matendo yako haya.....Mrudie Mungu na sauti take inakuita Mimi na wewe bado,, Mungu atuhurumie!!
 
Una pepo na ndiyo maana hujisikii vibaya kuwarubuni watu. Huko unakokwenda ni kubaya. Ndiyo maana Biblia inasema mtawajua kwa matunda yao.

Biblia ina mdomo?😀 kweli hizi imani za kuletwa zimewehusha wengi.
 
Hii thread Kaka Yericko inakudhalilisha na umefanya kufuru; hata sisi tuna mapungufu mengi kibinadamu lakini tunamwomba Mungu atusamehe , ila kufanya kufuru na mizaha kama hii sio mizuri kwa maisha na afya ya roho yako; Mwogope Mungu ndugu na wewe sio mwerevu kiasi hicho unachotaka kumtunishia Mungu misuli, hata Lucifer alidharau na kujiinua lakini unajua kilichotokea pamoja na Malaika wake alioasi nae na yupo hapa Duniani kwa kazi maalum....naam nayo ni kuhakikisha anapata wa kwenda nao motoni/ jehunum
Je, Yericko unamwamini Mungu muumba wa mbingu na vyote vilivyomo?
Je, utaendelea kupambana kupotosha waja wa Mwenyezi Mungu?
Muda bado unao tafakari ulichoandika, maisha yako ulipotoka na hatma ya maneno, mawazo na matendo yako haya.....Mrudie Mungu na sauti take inakuita Mimi na wewe bado,, Mungu atuhurumie!!

Unazijua sifa za mungu wako?
 
Yeriko ninakuanbia anguko lako ni baya. Kama umefika mahali kumtukana Mungu, hakika jehanum ya moto inakusubiri kama hutatubu. Tayari umekufa kiroho. Angalia sana. Mungu amekupa siku nyingine utubu. Vinginevyo adhabu kali inakusubiri.

Nikatubu kwa Mungu wa kizungu au wa kiarabu?

Mungu wangu ni mwaminie yu hai na hunipigania palipo na vita.
 
Hii thread Kaka Yericko inakudhalilisha na umefanya kufuru; hata sisi tuna mapungufu mengi kibinadamu lakini tunamwomba Mungu atusamehe , ila kufanya kufuru na mizaha kama hii sio mizuri kwa maisha na afya ya roho yako; Mwogope Mungu ndugu na wewe sio mwerevu kiasi hicho unachotaka kumtunishia Mungu misuli, hata Lucifer alidharau na kujiinua lakini unajua kilichotokea pamoja na Malaika wake alioasi nae na yupo hapa Duniani kwa kazi maalum....naam nayo ni kuhakikisha anapata wa kwenda nao motoni/ jehunum
Je, Yericko unamwamini Mungu muumba wa mbingu na vyote vilivyomo?
Je, utaendelea kupambana kupotosha waja wa Mwenyezi Mungu?
Muda bado unao tafakari ulichoandika, maisha yako ulipotoka na hatma ya maneno, mawazo na matendo yako haya.....Mrudie Mungu na sauti take inakuita Mimi na wewe bado,, Mungu atuhurumie!!

Unamwamini na kumuomba Mungu yupi ewe kiumbe cheusi uliyeasi asili yako ya kiroho?
 
Mchakato Wa kuteketeza watu kupitia makafara,ktk kabila Moja mapacha walikuwa mkosi na hivyo kuwafurahisha miungu mmoja alikuwa anauawa.mfalme/chifu akifa alikuwa anazikwa na kabinti bikira mbaya zaidi kakiwa hai......na kwao waliona wanampendeza mungu wao.hiyo yako unayoifanyia mchakato itahusisha taratibu hizi pia?

Ilimradi walimuomba Mungu wa Afrika basi hiyo ni turufu kwetu
 
Hii thread Kaka Yericko inakudhalilisha na umefanya kufuru; hata sisi tuna mapungufu mengi kibinadamu lakini tunamwomba Mungu atusamehe , ila kufanya kufuru na mizaha kama hii sio mizuri kwa maisha na afya ya roho yako; Mwogope Mungu ndugu na wewe sio mwerevu kiasi hicho unachotaka kumtunishia Mungu misuli, hata Lucifer alidharau na kujiinua lakini unajua kilichotokea pamoja na Malaika wake alioasi nae na yupo hapa Duniani kwa kazi maalum....naam nayo ni kuhakikisha anapata wa kwenda nao motoni/ jehunum
Je, Yericko unamwamini Mungu muumba wa mbingu na vyote vilivyomo?
Je, utaendelea kupambana kupotosha waja wa Mwenyezi Mungu?
Muda bado unao tafakari ulichoandika, maisha yako ulipotoka na hatma ya maneno, mawazo na matendo yako haya.....Mrudie Mungu na sauti take inakuita Mimi na wewe bado,, Mungu atuhurumie!!

Unakurupuka sana kwakulishwa tamaduni za kimagharibi,

Nani kasema hamwamini Mungu?

Soma vizuri tena ondoa mihemko yako ya kipuuzi na kishenzi kutoka ulaya.

Hapa kazi yangu nikumrejesha Mungu wa Afrika.
 
Afadhali mie niliyekaririshwa baadae nikaja kuanza kumuelewa mwenyewe na nguvu zake na uweza wake kwa mataifa na hata wanadamu wote wanaokiri kwamba yeye ni Bwana wa mabwana na kwake yeye kila goti lazima lipigwe na kila ulimi kukiri kuwa yeye ndiye Mungu pekee.
Wewe hao miungu wako unaowaamini ambao hawana umaarufu na hawajawahi kuleta mabadiliko yoyote chanya kwako sembuse kupata umaarufu wa kutambulika katikati ya miungu, endelea nao mkuu.
Ila ukweli unaujua mwenyewe.
Na hapa bado sijakufunulia maandiko "niliyokremishwa na kukaririshwa".
Nikifungua si utakimbia kimya kimya

Nani alikwambia kuwa huyo unayemwamini ndiye Mungu wa kweli?
 
Unakurupuka sana kwakulishwa tamaduni za kimagharibi,

Nani kasema hamwamini Mungu?

Soma vizuri tena ondoa mihemko yako ya kipuuzi na kishenzi kutoka ulaya.

Hapa kazi yangu nikumrejesha Mungu wa Afrika.

Mungu wa Afrika alipotea?
 
Unakurupuka sana kwakulishwa tamaduni za kimagharibi,

Nani kasema hamwamini Mungu?

Soma vizuri tena ondoa mihemko yako ya kipuuzi na kishenzi kutoka ulaya.

Hapa kazi yangu nikumrejesha Mungu wa Afrika.

Sina mhemuko wowote,
Najua anajifanya kutetea asili ya mwafrika kuabudu kitamaduni, fine..labda tuanze na wewe unijibu
1. Nani anakushurutisha kufuata hizi dini inazoziita hazifai?
2. Kiwango kipi cha maendeleo huyu Mungu wa asili ya Afrika alifanikisha / kukukinga na madhira ya uovu kimaisha?
3. Unaandikaje model ya Biblia kutumia maandishi ya "washenzi" waliokutawala badala ya mwongozo wa huyo Mungu wako wa asili ya Afrika?
 
Bora umemuuliza maana anakera sana na hii miungu ya kigeni. Sijui mdudu gani mara yesu, muhammadi, yehova n.k. Hao wote ni wakuja tu.

Shetani aliye ndani mwako anakudanganya. Kumbuka yeye alishahukumiwa na wala hana msamaha. Anatakanukaishi naye milele motoni na tayari amekupata. Inatisha kama nini pale Mungu anapokuwa kinyume chako. Ewe areskimariom unaweza kudhani unafanya mzaha kwa kuwa unadhani baada ya kufa utafanyiwa sala ya wafu. Unajidanganya. Kwa kuwa nafsi yako itakuwa hai utakapokuwa motoni utayakumbuka haya. Nimewaonya wewe na Yeriko sawasawa na Biblia katika kitabu cha Ezekieli 3:18-20. Damu yenu haitatakwa mikononi mwangu.
 
Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;

Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
.

naamini wewe ndio utakua MTUME aliye tumwa na huyo MUNGU UNAE MSEMA na MANABII watakua hawa wanao fufua MISUKULE KILA KUKICHA!
SWALI!- Imekuaje this tym huyo Mungu unaemuongelea katanguliza maNABII badala ya MITUME? Maana manabii wamesha anza kazi kitambo kabla YAKO!
 
Back
Top Bottom