Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini Mungu wake,

Nimebaini waafrika tunaamini kisichochetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wamasimulizi ya Ukalidayo nakuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwaheshima ya Dini yakale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Bibilia hii itaundwa kwa vitabu vikuu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo, Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini.

Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii.
Yericko Nyerere huu mchakato ni kitu kisichowezekana kabisa hii Biblia inayopewa changamoto za kila aina ni kitabu chenye maono yasiyochuja ilikuwepo ipo na itakuwepo mpaka mwisho wa dahari
Sanasana ungesema kwa kutumia Biblia hii tuanzishe dini yetu kwa mila za kiafrika
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bila shaka unamuhitaji psychologist!
Wahi tiba mapema!!!
 
Hiyo ndiyo tabu ya kufikiria vitu vya kipuuzi kwa muda mrefu. Mwisho wa siku usije ukafikiria namna ya kuondoa watu wote ulimwenguni ili uishi peke yako...
 
Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini Mungu wake,

Nimebaini waafrika tunaamini kisichochetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wamasimulizi ya Ukalidayo nakuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwaheshima ya Dini yakale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Bibilia hii itaundwa kwa vitabu vikuu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo, Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini.

Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii.

wazo zuri sana,nakunga mkono mkuu
 
Yericko Nyerere biblia na quran zimejaa stori za kusadikika badala ya kuwasaidia bianadamu waachane na dubashwa la dini unataka kuwaongezea mizigo mingine isiyo na faida.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nakuelewa sana,
Utumwa na umasikini wetu wa fikra ndo unaotuweka hapa hadi leo,
tukifanya hivyo sijui tutakuwa wageni wa nani
 
Mkuu, Yericko Nyerere, naunga mkono hoja!.

Hawa wazungu walipokuja kwetu, kule kanda ya Ziwa, walitukuta tuna mila desturi na kuabudu Mungu wetu mwenye nguvu kweli kweli ambaye alikuwa hadi na uwezo wa kuleta mvua!, sisi tuliruhusiwa kuoa wake wengi, tuliruhusiwa kubaka only tuu baada ya kubaka, utapeleka mahari ya ng'ombe na fidia kidogo, kisha unamtwaa huyo uliyembaka anakuwa mke wako!.

Mimi nikajikuta nimezaliwa kwenye Ukatoliki, ila baadhi ya zile tabia za asili za mila na desturi, bado ziko kwenye damu, nilichoamua kufanya ni to merge the best from both, kanisani naendelea kwenda, huku nje nikiendeleza mazuri ya kwetu!.

Ukiusoma Ufunuo wa Yohana, utaona hadi idadi ya watu watakaonyakuliwa ile siku ya mwisho, ni watu 144,000, ambao watatokana na makabila 12 ya Israel!, and no one else!.

Nainga mkono hoja ya mkuu huyu
kuwa tutumie Biblia hii tuanzishe dini yetu kwa mila za kiafrika

Pasco.
 
Asante sana mkuu Pasco

Nahitaji sana mawazo yako pevu kama haya ili kurejesha uafrika wetu
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere biblia na quran zimejaa stori za kusadikika badala ya kuwasaidia bianadamu waachane na dubashwa la dini unataka kuwaongezea mizigo mingine isiyo na faida.

Siwaongezei mzigo bali nawarudisha kwenye asili zao za imani
 
Last edited by a moderator:
ndugu zangu waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini mungu wake,

nimebaini waafrika tunaamini kisichochetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na mungu wetu na badala yake tunamwabudu mungu wamasimulizi ya ukalidayo nakuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

hivyo kwaheshima ya dini yakale ya kiafrika na mungu wetu, nimeaamua kuanzisha mchakato wa uandikaji wa biblia ya dini ya kiafrika na uundwaji na usimikwaji wa mungu wa afrika.

Bibilia hii itaundwa kwa vitabu vikuu vitano, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo, afrika ya mashariki, afrika magharibi, afrika kaskazini, afrika ya kati, afrika kusini.

Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na chifu mkwawa, kitabu a.msh tagk, chifu monziyno, kitabu a.magh nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile ng'wanamalundi, umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya uandikaji wa biblia hii.

nenda kule kenya kapeleke sadaka kwa huyo mungu wako mkenya , wanyonyi anakusubiri , usituwekee

upuuzi wa bangi hapa
 
nenda kule kenya kapeleke sadaka kwa huyo mungu wako mkenya , wanyonyi anakusubiri , usituwekee

upuuzi wa bangi hapa

wewe ndio mpuuzi unayeamini mungu wa mabwana zako waarabu mkuu.
 
Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.

Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;

Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
.
 
Back
Top Bottom