Kuna mawili tu.
Aidha Unaabudu Mungu mmoja au unaabudu MZUNGU.
NA Kwa kauli zako unaonesha kabisa kuwa una picha ya Mzungu chumbani kwako unayo ipigia goti na kuiomba ikusaidie kila siku hali ya kuwa Haijawahi kukujibu hata siku moja.
Mzungu mwenyewe mpk leo anaabudu sanamu vipi anifundishe mimi kuabudu MUNGU MMOJA?
Hebu jaribu kushirikisha kichwa kidogo ktk malumbano yako sio kubwatuka tu ndugu mgalatia.
Sina picha ya mzungu nyumbani kwangu.
Namuunga Yeriko mkono, africa turudi kwenye misingi yetu ya dini. Tuabudu Mungu wetu kwa njia zetu. Hakuna haja ya kufuata dini zilizoletwa na wazungu au waarabu.
Wahindi wana dini yao
Budha the same
Russians
Watahudi
Waafrika tuwe na yetu
Sina picha ya mzungu nyumbani kwangu.
Namuunga Yeriko mkono, africa turudi kwenye misingi yetu ya dini. Tuabudu Mungu wetu kwa njia zetu. Hakuna haja ya kufuata dini zilizoletwa na wazungu au waarabu.
Wahindi wana dini yao
Budha the same
Russians
Watahudi
Waafrika tuwe na yetu
Shida ni kuwa mnaamini bila kujuwa mnavyoviamini.. waafrika tuache kuwa kama ng'ombe... tunaamini hata upuuzi kisa wameandika wazungu... tuendelee kujitambua na siyo kuendelea kukaririshwa upuuzi wa wazungu
inawezekana wewe ndio hujui unachokiamini.
sasa jitengenezee huyo mungu wako uwe unamwabudu.
kitu unakitengenezwa mwenyewe alafu bado unakiita mungu.... hizi ndio akili za waafrika wengi.
WW ndo hujitambui jifikirie kwanini makanisa yameongezeka kuanzia mwaka 2000 tena ni ya watu binafsi, unajua aliye andika biblia? kwanini unaiamini? akili yako kweli inakudhihilishia alianza adam ha hawa tu? mbona leo tu tofauti kirangi hata sura, dini ni uongo mtakatifu, jifikirie aliyeleta dini kaja kututawala na kutuuza kweli haujang'amua tu, history ulisoma kukalili au ikusaidie? tuendelee kuamini uwepo wa walio tangulia , hivi dini na mira kipi kina leta adabu, kuheshimika, nidhamu,na mafanikio?
Dini za mababu zetu zilienda wapi? Nani aliziua? Kwasababu gani? Mbona walikuwa wanaabudu miaka nenda miaka rudi? Na walichoomba walifanikiwa?
Siamini kama dini zilizoletwa na wazungu ni sahihi kwa bara letu. Inabidi turudi kwenye dini za mababu zetu.
Dini za mababu zetu zilienda wapi? Nani aliziua? Kwasababu gani? Mbona walikuwa wanaabudu miaka nenda miaka rudi? Na walichoomba walifanikiwa?
Siamini kama dini zilizoletwa na wazungu ni sahihi kwa bara letu. Inabidi turudi kwenye dini za mababu zetu.
Umekaririshwa na wamisionari unatokwa povu na Mungu wa kwenye hekaya zao zinazopingana kitabu hata kitabu. Pole.
Pumbavu zako yericko unataka kuanzisha dini ya wachawi,hao wote uliowataja walikuwa wchawi,kina mwanamalundi.
Je Mohamed na Yesu hawakuwa wachawi? Thibitisha
Je Mohamed na Yesu hawakuwa wachawi? Thibitisha
Mda mwingine kujifanya mwerevu wa kila kitu ni kupungukiwa hekima kabisa...
Unakoelekea mkuu sio kabisa....unanufaika vipi na haya makufuru yako?
Mkuu naona "uliikimbia" thread yako mwenyewe . Hebu jibu hoja za wadau kwanza sio unakuja na maswali tu. Nimekuuliza maswali pale mwanzoni kabisa na hukujibu
Unakililia kisichochako, unakikataa kilichochako mkuu,
Mswaada wa kuanzisha MUNGU wa Afrika nakuandika Kitabu cha dini ya Afrika chini ya Uafrika.
Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini, Mungu wake, Nimebaini waafrika tunaamini kisicho chetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wa masimulizi ya Ukalidayo na kuamini dini za kuletwa kwa majahazi,
Hivyo kwa heshima ya Dini ya kale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.
Kitabu hiki kitaundwa kwa vitabu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo;
Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini. Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.
Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.
Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii. Kitaitwa kitabu cha uafrika, Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau.
Je Mohamed na Yesu hawakuwa wachawi? Thibitisha