Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

bajeti ya hizo filamu unaziweza au unasema tu? blood diamonds pekee inaweza kuwa ni bajeti ya tz ya mwaka huu

Unajua hizo kampuni zinazotengeneza hizo filamu zinatoa wap hela??
 
Mkuu Yericko umejichimbia wapi mwaka huu? Kuna maeneo nilizoea kukuona lakini huonekani tena.
 
Vikundi vyote ulivyotaja,ni vya wazungu. Afrika soko kuu la siraha na mali asili. Afrika tukijitambua na kujitenga na Wazungu itapona.
 
AL Shabaab, Boko Haram, Lord Resistance Army, Isis, Al Qaeda ni Vitengo vya CIA ... Fanya utafiti Mkuu acha kulishwa ujinga wa Kizungu... Mungu aliacha Africa ama Africa imebarikiwa na Mungu? .... Program za Ku-eradicate Africans hazikuanza leo lakini Mungu siku zote huwa anawaponya Waafrica! Chanjo na makundi yenye kufadhiliwa na wazungu wenye kutumia Makanisa, NgOs na wakati Mwingine Misikiti hazijaweza kuwamali waafrica ... Africa wanajua kuwa ndo sehemu salama ambapo mazingira hayajaharibiwa na kuwa inatumika kusafisha hewa chafu ya Dunia... .. Waafrika wanatakiwa kuamka na kuwakataa vibaraka wote wasiojitambua wenye kuwa nyenyekea Wazungu kiasi cha kuwaona wazuri na walistahili kuendelea kututawala ... Chuo kikuu cha Kwanza Duniani kilikuwa Mali chini ya Prof Mansa Kankali Musa ... Irrigation system imetokea Kilimanjaro ... Mahesabu ya Calculus na Algebra (Aljabri) ni zao la Mto Nile .. Skills people walichukuliwa kama watumwa na wameendeleza Ulaya na Marekani ... Wakati Mwingine hata kama kuna Ujumbe mnao jaribu kuutoa angalieni nukushi zenu maana zinazidi kuibamiza Africa .. our motherland ...
Muigizaji wa filamu wa Marekani,Bruce Willis, katika filamu yakekuhusu Afrika, hasa Nigeria ilikofanyiwa uigizaji, ‘Tears of theSun’, kuna wakati alikuwa akiagwana mchungaji mmoja mzungualiyekataa kuondoka eneo lamapigano, akiambiwa, “God be Withyou” (Bwana awe nanyi); Willisalisita kidogo na baadaye kusema,“God left Africa long timeago.” (Mungu Alisha iacha Afrikakitambo.” Na msaidizi wake, Red,aliunga mkono kwa kusema“Yeah” (ni kweli).“Tears of the sun” ni kama ilitabirikinachotokea sasa kati ya wananchina Boko Haram.

Ingawa mrengo namuktadha ni tofauti lakini ukweli nikwamba kama kuna Mungu basiBoko Haram wanathibitisha kuwaAlisha iacha kitambo. Afrika ni nchiambapo viongozi, na siyo BokoHaram, Lord Resistance Army,Seleka, au Antibalaka, au Al-Shabaabpeke yako, wanaonyesha kuwaMungu amewakasirikia. Hayupo nao.Na kuwa kuongezeka au makundiyanayoakisi kutokuwapo kwa (neemaza) Mungu inatokana na uongoziambao haumjali Muumba.Huko Nigeria, wakati wananchiwanaendelea kuuwawa kwa idadikubwa na Boko Haram wakindeleakuonyesha kutishika, serikaliinaendelea na uchaguzi kama vilehakuna kitu kinachotokea, nawanasema huko wanakouawauchaguzi hautafanyika. Wanauawakunyimwa haki yao ya kuishi, nawanaambiwa kura nayo siyo hakiyao.

Viongozi wamepandishamashetani ya kuwa viongozi, nawanaona kuuawa kwa wananchiwengine sio kigezo cha kutoshelezakuahirisha uchaguzi.Kwa tatizo hilo ni la watu wa kasikazini, na sie wengine hatumo.Afrika ilimwasi Mungu, kwani tabiaya kutojali haki za wananchi wenzaoni ishara mojawapo. Familia zaviongozi, viongozi wenyewe,maswahiba wao, hawaoni hayakuwalinda waovu wanaoiba mali zaumma. Matajri wengi wa Afrika nahasa viongozi, wanatokana na kuibafedha za umma ama kudhulumu hakiza raia.

Grace Mugabe anadaiwakuua wananchi wenzake kwakuwaachia wanyama maeneoambayo wananchi walikuwawakiishi, ili waondoke na yeye awezekuanzisha bustani yake ya wanyamakwa ajili ya utalii. Kuna Munguhapo? Na sidhani kama GraceMugabe anawaona wananchi haowanaofukuzwa kikatili kwenye ardhiyao kama nao ni watoto wa Mungu.Afrika imejawa na viongozi wengiambao kila uchao wanawaza namnagani watatumia fursa zao za uongozikujimilikisha utajiri.

Kwa sasa hatuioni Afrika ambayo viongozi ni wale wa miaka kabla ya kipindi hikicha mageuzi ya kiuchumi, ambapowakati huo (viongozi) walikuwawakipanga namna ya kuwakomboaWaafrika wenzao kiuchumi.Nyakati zile za Jaramogi OdingaOginga, Nyerere, Kwameh Nkrumah,Murtala Mohamed na ThomasSankara.

Huu ni wa wakati ambapoviongozi wengi huwa wanapanganamna gani watashirikiana wao kwawao kuitafuna nchi; wanapangakushirikiana na mafisadi wenzao wandani (baadhi ya wafanyabiashara),kuihujumu nchi; wakishirikiana namashirika ya nje na nchi za njekutafuta utajiri wetu.Inanishangaza sana kuona viongoziwakienda kanisani au misikitini, hukujana yake tu wamekuwa wakifanyamikutano ya siri na wanaouza dawaza kulevya, wakijua kuwa taifa lilewalilioapa kulilinda dhidi ya uovundilo wanaloliangamiza kwa dawaza kulevya.

Kwa mfano, unakuwajewaziri unayeahidi ajira 100 halafujioni unakuwa na kikao na wauzaunga? Hizo ajira 100 zitafanywa nanani? Hao vijana hawana kazi, badounataka kuwadhulumu kidogowanachokipata kwa kuwauzia dawaza kulevya wasijimudu kabisa.Mungu anaweza kuwa yupo hapo?Kiongozi anaapa kuwa atalinda nchina watu wake, na vyote vilivyomo.

Lakini mara baada ya igizo la kiapo,kiongozi anataka kujua wapi atapatasoko la siri la dhahabu, meno yatembo, vipusa, na kadhalika, iliaweze kujitajirisha na kuwalindawalio nje au ndani ya serikali yake.Afrika ilishamuudhi Mungu na yeyeameshaitelekez, na Bruce Willishajakosea kabisa. Afrika hii ambayoina utajiri lakini haitaki kuwa tajiriisipokuwa inataka tu viongozi wakepekee wawe tajiri hawana sababu yakusema Mungu atatujalia! Munguhawezi kuijaalia nchi ambayo kilauchao viongozi wao wanafikirianamna gani wataifilisi nchi yao.

Mungu alishaliacha bara hili.

Chanzo: Nipashe
 
Well. Tuanze na tasnia ya filamu, inakuwaje hadi mzungu aje Afrika kuigiza maisha yetu? Wasanii wa afrika wanajua kuigiza mapenzi tu?? Blood diamong, last king of scotland etc. tasnia ya filamu ina mengi ya kufanya zaidi ya hapa.

Uongozi wa sasa umejawa na wizi na ufisadi na yote hii imechangiwa na ubinafsi wa hali ya juu.

Afrika kuna shida aisee.

Bajeti za hizo movie kuandaa ni mamilioni ya dollar.Africa hatuwezi sababu ata ukiandaa soko kubwa liko nje sababu wana sheria zinawalinda na watu wanapenda kussuport.

Africa watu hawanunui movie original.Bongo movie tu inapumulia mashine.
 
lol our invisible sky dady katuacha afrika better think he/she is absent ili tujilaum wenyewe.
 
President Mugabe's speech about Racism.
1. Racism will never end as long as White
cars are still using black tyres.
2. Racism will never end as long we still
wash first White clothes, then other
colours later.
3. Racism will never end if people still use
Black to symbolize bad luck and White for
peace!
4. Racism will never end if people still wear
white clothes to weddings and black
clothes to the funerals.
5. Racism will never end as long as those
who don't pay their bills are blacklisted not
White listed. Even when playing the pool
(snooker), you haven't won until you sink
the black ball, and the white ball must
remain on the field.
But I Don't Care ,So Long As
I'm Still Using The WHITE
Toilet Paper
-President Mugabe
 
.. Yericko Nyerere mimi sikuungi mkono, africa ikishakaribia kupiga hatua kabla ya wazungu.
Wazungu wamedai ganja sana kuhusu historian, ndomana Kuna hii kitu huwa napenda kusema
"Biashara ya utumwa Ndiyo ilituathiri mpaka leo kisaikolojia hatuko sawa wengi wetu"
 
Last edited by a moderator:
.. Yericko Nyerere mimi sikuungi mkono, africa ikishakaribia kupiga hatua kabla ya wazungu.
Wazungu wamedai ganja sana kuhusu historian, ndomana Kuna hii kitu huwa napenda kusema
"Biashara ya utumwa Ndiyo ilituathiri mpaka leo kisaikolojia hatuko sawa wengi wetu"

Hivi ni mazingira yapi yalitokea waafrika tukauzwa na kusarishwa kama mifugo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni mazingira yapi yalitokea waafrika tukauzwa na kusarishwa kama mifugo.

Wazungu waliona hiyo Ndiyo mbinu pekee wa tufanye watumwa ili watudhoofishe kiuchumi, kijami etc.
Historia yetu wazungu wameificha maana wazungu walitawala mpaka habari,
Kabla ya utumwa wazungu walikuja africa na waliona w africa wanamaendeleo kuliko wao ulaya amini hii Historia n nayo kwambia.
Hata wakati wa Greek na roman times africa ilikuwa na nguvu pia, wakati huo bado utumwa kuingiaaa
 
Nakubaliana na wewe 100% RockSpider hivyo vikundi vyote vya kiharifu vinamkono wa CIA usipozitambua siasa za dunia hii unaweza kudhani wazungu ni watu wema sana lahasha kumbe sivyo hawa nia hayo ni kufanya kila wanaloweza kutunyonya na .Wazungu wameshajua udhaifu wetu kuwa hatuna umoja na ndio maana wanafanya wanavyo taka,nikupe mfano mzuri Gadafi hakuwa na tatizo lolote walipo ona anamipango mizuri juu ya bara la afrika wakatuletea propaganda zao za kijesusi kuwa Gadafi mbaya wakamuua nasi tukabaki tunashangilia badala ya kuungana na kupinga huo uonevu.Tutaweza kutoka hapa tulipo kama itafika siku afrika ikajitambua na kuwa moja na kupambana na yeyote mwenye nia ovu na Afrika yetu.Mungu ibariki Afrika tuletee viongozi wanaojitambua na wanao weza kuwaambia wazungu bila woga kama walivyokuwa kina MWL. Nyerere ,Nkuruma na wenzao
 
Ndugu zangu Waafrika, kwa wiki mbili hivi nilikuwa nimezama kwenye tafakuri pana sana juu ya imani ya mtu mweusi dhidi ya dini Mungu wake,

Nimebaini waafrika tunaamini kisichochetu, tumemetelekeza kuendeleza imani yetu na Mungu wetu na badala yake tunamwabudu Mungu wamasimulizi ya Ukalidayo nakuamini dini za kuletwa kwa majahazi,

Hivyo kwaheshima ya Dini yakale ya Kiafrika na Mungu wetu, nimeaamua kuanzisha Mchakato wa uandikaji wa Biblia ya Dini ya Kiafrika na Uundwaji na usimikwaji wa MUNGU wa Afrika.

Bibilia hii itaundwa kwa vitabu vikuu VITANO, ambavyo itakuwa ni mkusanyo wa vitabu vifuatavyo, Afrika ya Mashariki, Afrika Magharibi, Afrika Kaskazini, Afrika ya Kati, Afrika Kusini.

Mitume tutakaowafuata maono yao ni pamoja na Chifu Mkwawa, Kitabu A.Msh Tagk, Chifu Monziyno, Kitabu A.Magh Nigr. Nk.

Pia wataalamu na waamuzi mbali watakuwemo kama vile Ng'wanamalundi, Umuvuginza, nk.

Ninakaribisha maoni ya Uandikaji wa biblia hii.
 
Duh sasa ndugu yangu Yericko siko hata hizi dini kuu mbili zilitoka uyahudi, na waliotuletea hazikiwa zao pia
 
Back
Top Bottom