Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
ndiye mwenye mswadaYericko Nyerere anahusikaje hapa!?
Last edited by a moderator:
ndiye mwenye mswadaYericko Nyerere anahusikaje hapa!?
Mswaada wakuanzisha
Nimebaini waafrika
tunaamini kisichochetu,
tumemetelekeza
kuendeleza imani yetu na
Mungu wetu na badala
yake tunamwabudu
Mungu wamasimulizi ya
Ukalidayo nakuamini dini
za kuletwa kwa majahazi,
Hivyo kwaheshima ya Dini
yakale ya Kiafrika na
Mungu wetu, nimeaamua
kuanzisha Mchakato wa
uandikaji wa Biblia ya
Dini ya Kiafrika na
Uundwaji na usimikwaji
wa MUNGU wa Afrika.
Bibilia hii itaundwa kwa
vitabu vikuu VITANO,
ambavyo itakuwa ni
mkusanyo wa vitabu
vifuatavyo, Afrika ya
Mashariki, Afrika
Magharibi, Afrika
Kaskazini, Afrika ya Kati,
Afrika Kusini.
Mitume tutakaowafuata
maono yao ni pamoja na
Chifu Mkwawa, Kitabu
A.Msh Tagk, Chifu
Monziyno, Kitabu A.Magh
Nigr. Nk.
Pia wataalamu na
waamuzi mbali
watakuwemo kama vile
Ng'wanamalundi,
Umuvuginza, nk.
Ninakaribisha maoni ya
Uandikaji wa biblia hii.
Kitaitwa kitabu cha uafrika,
Tayari mchakato unaendelea, nakaribisha maoni ya wadau
Leo huyu mtoto akiwa na sifa ya Uandishi mi nahama nchi.
Huyu mtoto njaa inamtesa, ukichanganya na hizo ganja anazopuliza ni balaa tupu.
I concur. Nyerere sometimes una kosha sometimes unazingua.
Hii idea ni njema sana sema uandishi huo utahitaji mchakato mrefu sana.
Hili jambo kuna wale wengi waoga watumwa wajinga wasiotaka kufikiri vizuri sababu wanaogopa moto na vitisho vingine watakuona punguani.
Waafrika tutaburuzwa sana na hii miungu feki. Ila ipo siku itakuja, vilembwe wa vilembwekeze wetu watakapokuja kushtukia danganya toto hii, ndio africa will emerge again.
Wewe ndio umeandika point kati ya wachangiaji wote mkuu! Hebu tujiulize karne ya 15 kurudi nyuma waafrika tulikuwa tynaabudu nini? Bila shaka tulikuwa na MUNGU wetu. Ona sasa tumemdharau tukadandia miungu ya kuletwa ya waarabu na wazungu na ndio hii inatuangamiza.😡
I concur. Nyerere sometimes una kosha sometimes unazingua.
Hii idea ni njema sana sema uandishi huo utahitaji mchakato mrefu sana.
Hili jambo kuna wale wengi waoga watumwa wajinga wasiotaka kufikiri vizuri sababu wanaogopa moto na vitisho vingine watakuona punguani.
Waafrika tutaburuzwa sana na hii miungu feki. Ila ipo siku itakuja, vilembwe wa vilembwekeze wetu watakapokuja kushtukia danganya toto hii, ndio africa will emerge again.
Ni heri mimi na Wakristo wenzangu tuonekane machizi au Mazuzu kwa Kumshangilia Yesu Kristu Mungu Wetu na Mwokozi wetu kuliko Kuonekana mjanja kwa ku-support Imani Zisizokuwa na Kichwa wala miguu wala Kiwiliwili.