Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Dawa hao waliovunjiwa ndoa wamtengennezee model naye wamle kipumkin (kiboga) then wamfotoe afu wazirushe . Yeye si kamwaga mboga nyinyi mnamwaga ugali alafu sinia unaponda skelepa.
 
Waambie waache kujilegeza...
Mbona wengine hatujawai kutana na hiyo dhaama....
 
Huyo mke atakua mpumbavu sana. Kwa nini asipange dili na mume wake then jamma adakwe? Siamini kama bado kuna watu tena walienda shule mbinu ndogo kama hizi wanashindwa kuzipanga!!!!!!! Na kama bado tunavisingizio hivi basi safari ni ndefu sana katika kupigania haki zetu. Tubadilikeni jamani visingizio visivyoshirikisha mipango ya dhati havitasaidia. Imagine hilo lijamaa liwe na HIV Hapo inakuwaje? kukosa Kazi ni hatari kuliko Kupata HIV?

umalaya wa hao wadada na kutojielewa kwao
 
anaitwa Aloyce Andrew Kwezi,check no.10197183 ni Mnyamwezi wa Urambo.

Huyu alikuwa Geita ni kawaida yake na si yeye ni peke yake ni tabia ya maafisa wa idara ya utumishi kuwasumbua watendaji wa kike hasa walimu tabia hii imekithiri ktk halmashauri ya Geita na nyingine nyingi
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.
Njoo utoe ufafanuzi, kuna uzi na majibu yametolewa kuwa huu ni uzushi unaomchafua bwana DHRO unaosababishwa na Regina Shasha kuhamishwa. Maswali: wewe ndio Regina Shasha? Kama sio wewe, una uhusiano gani naye? Kwanini tukuamini wewe na tusiamini utetezi ulioletwa? Suala hili umelireport kny mamlaka husika za nidhamu au unaleta uchonganishi huku?
 
Huyo Regina ndo huyu?

10533051_1475101202738312_2586241628217674883_n.jpg

Mtoto mashallah
 
Hongera barafu kutoa ufafanuzi juu ya hili suala kwani inavyoonekana mleta uzi alikuwa na nia ya kumchafua jamaa inaonekana kuna anga wameingiliana hawa si bure . Kwa watu wazima wanaoweza ku reason mambo ukisoma huu uzi kwa kweli kuna mambo jamaa kazidisha kwani kwa hali ilivyo sasa haiwezekani ukalazimisha ngono ofisini kwa kutumia cheo chako halafu asitokee hata mwathirika mmojawapo akaripoti kwa mabosi wake au kwa mumewe/boyfriend wake unless atuambie halmashauri ya nzega wafanyakazi wote wa kike hawajitambui ni misikule, mazezeta wasiojitambua au ni member wa kona bar.
 
iweje wagongwaje wasilalamike ktk vyombo husika? au waona wivu kakupgia du wako...ungeipeleka kwa vyombo husika...kuileta huku utamstua badala ya kumkamatisha...au jukumu lilikuwa kumchafua!
kama kweli, kenge ka hawa mnashindwa kuwashughulikia? ndoa tano?

Ajabu! !! Ingekuwa ni ajira binafsi labda ningeamini, lakini serikalini!!!??? Kama hayo yamefanyika hao wanawake wameridhia. Halafu eti wakuu wa Idara!!!! Jamani!!!!
 
wakidada wengi wanapewa kazi wakiwa hawana sifa,hivyo ili kulinda kazi wanawakubalia wakuu zao,anajua akikataa,anaumbulia ila waliopewa kazi kwa sifa stahiki huwa na misimamo ingawa wengine wanatabia chafu.

Kama una vyeti vyako visivyo na doa, unafanya kazi kwa makini, unajiamini na umepata kazi kwa sifa zinazotakiwa, hata Katibu Mkuu wa Wizara hakutishi sembuse HRO!!!!
 
Katika Tanzania hakuna sheria inayokataza MAPENZI sehemu ya kazi.

Kinachotakiwa ni Nidhamu tu.

Hii thread ina nia ya kuchafuana tu hapa JF, hivyo kuutumia ukumbi wa JF kuwachafua watu wengine tena kwa kuwataja majina ni kitu mbaya sana. Hata waandishi waa Habari huwa wanasema "JINA LIMEHIFADHIWA" na siyo kutaja jina tena huna hata ushahidi wa kutuwekea hapa tujue kama ni kweli kuna vitendo hivyo, mfano picha za wawili, barua waliyoandikiana, SMS waliyotumiana ambavyo vinaonyesha dalili hizo zilizotajwa.

Kweli tunakemea vitendo viovu lakini pia kutajana majina hapa pia ni ktendo KIOVU. TUTUMIE USTAARABU WAJAMENI.


tuchukue mfano mtajwa ana mchumba au mwanandoa mwenzie, je hapo tumejenga au tumebomoa.

USTAaRABU NI JAMBO LINALOPATIKaNA BURE HAKUNA MALIPO YA KUPATA USTAaRABU.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ningeshangaa kama angekosa wa kumtetea humu. Kati ya vyote tujifunze kutokana na changamoto hizi zilizomkuta ndugu....


Yani sipati picha maumivu ambayo atayapata huyu baba aendapo itakua wanamsingizia hili swala.
 
Kama una vyeti vyako visivyo na doa, unafanya kazi kwa makini, unajiamini na umepata kazi kwa sifa zinazotakiwa, hata Katibu Mkuu wa Wizara hakutishi sembuse HRO!!!!

there you are mi nawaambiaga kabisa nasimamia haki as long as vyeti vyangu original
wanawake tuacheni kujidhalilisha jitu limegawa chuoni wee bado kwenye ajira tujiheshimu jamani hivi mtu umeolewa bado unagawa km pipi
uspojithamini usitegemee kuthaminiwa
 
Hata kama uyu dada anasema uongo ila hii kitu ya ufuska ya dada/ wake zetu na ma boss ofisini ni hatari, kuna taasis moja hapa yani wake za watu na ma dada wanaukalia mpaka unashangaa , yani inafika unajiuliza mkeo yupo salama? Mana hawa wanawake wapo selikarini ajira nzuri ila wanapigwa balaaa mungu atuepushe na haya mabaraha tulio na ndoa zetu aisee
 
Hata kama uyu dada anasema uongo ila hii kitu ya ufuska ya dada/ wake zetu na ma boss ofisini ni hatari, kuna taasis moja hapa yani wake za watu na ma dada wanaukalia mpaka unashangaa , yani inafika unajiuliza mkeo yupo salama? Mana hawa wanawake wapo selikarini ajira nzuri ila wanapigwa balaaa mungu atuepushe na haya mabaraha tulio na ndoa zetu aisee

Ni kweli kabisa kaka...... Na asikudanganye mtu wagonjwa ni wengi sana maofisini.
 
Back
Top Bottom