instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
Huu ni ugonjwa wa taifa si tu kwa maafisa utumishi.. Hata viongoz na maboss wengine
tuna safari ndefu.. Maadili yameporomoka
lakn hv mbna wasomi wa siku hz hawajiamini eti?? mtu unadai stahili zako.. Lakn bado upo tayri kuvuliwa nguo ili jambo lako lishughulikiwe?? nadhani hili ni tatizo la asili la wabongo kupenda shortcuts.
Wafanyakaz wa chini kama waalimu na manesi ndo kabisa... Wanapangwa mithili ya matofali kwenye msululu wa ngono