Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,427
Reaction score
139,466
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.
 
Hivi sijui ni elimu za kuunga au uoga ama njaa zinatusumbua kina mama mtu unakuta anafaham kabisa uozo WA Huyo afisa lakin na yeye anampa kwan ukikomaa ukakataa itakuwaje?
 
Kwani anawabaka? hawa watakuwa wanampa wenyewe kwa hiari yao hivyo acha unmbeya! Wao ni watu wakubwa hivyo wanao uwezo wa kukataa na huyo bwana asiwafanye kitu.Kazi ni kwao!
mkuu Ethics unazijua?tambua pia kuna watu wanakosa haki zao kwa kumnyima k bosi.unanyimwa kwenda kusoma,likizo nk.halafu wewe hujagongewa mkeo ndo uunge mkono huu upuuzi
 
Hata ukiripoti mamalaka husika,hakutakuwa na mabadiliko.Ndio pale unaposikia mtu kauliwa na hakuibiwa chochote.Namaanisha anzeni juhudi binafsi za kumrekebisha.
 
Wa kalaumiwa ni hao wanawake wenyewe. Mimi mwanamke aliyevuka 18 tena mfanya kazi akirubuniwa akaenda mwenyewe kwa miguu yake gesti au nyumbani kwa huyo jamaa, akavua chupi mwenyewe bila kushikiwa panga, rungu, kisu, nondo au bunduki huyo atakuwa kakubali kwa hiari yake hapo hamna kosa acha huyo jamaa ajitafunie tu kiulaini. Siku hizi takukuru wapo kila wilaya na vifaa kibao vya kuweza kumnasa kwa nini hao wanawake kama hawamtaki na anawasumbua wasiende kuripoti ili jamaa anaswe? Kama kweli hawajakubali kwa hiari yao kwa nini wasiwaeleze wanaume wao ili wamtege huyo jamaa wamfanyizie ahame nzega bila kuaga. Kwa kifupi hao wanawake wanamkubali wenyewe kwa njaa na tamaa zao basi hamna kingine.
 
iweje wagongwaje wasilalamike ktk vyombo husika? au waona wivu kakupgia du wako...ungeipeleka kwa vyombo husika...kuileta huku utamstua badala ya kumkamatisha...au jukumu lilikuwa kumchafua!
kama kweli, kenge ka hawa mnashindwa kuwashughulikia? ndoa tano?
 
wala msiumize vichwa. waambieni madiwani wamshuulikie.hili suala la maafisa utumishi ni shida kubwa
 
Hayo mambo angekuwa Sumbawanga saa hizi tungekuwa tunaongea habari nyingine,
 
Tatizo kubwa ni ushahidi ikiwa kat ya waliotendewa hakuna hata mmoja aliejitokeza ni ngumu sana kuthubitisha Rushwa ya Ngono kwa waISLAM wanaelewa namaanisha nini kuhusu kumkamata mtu ugoni,,,!
 
Back
Top Bottom