Anthony Paschal
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 513
- 12
mtegeeni tego huyo la mbwa,watu kama hao huwa siwacheleweshi dadadeki!!!!!!!!!!
Mke anayeigawa k kama njugu si mke. Kama hakuitoa kwa HRO ataitoa kwa konda wa daladala au bodaboda etc.mkuu Ethics unazijua?tambua pia kuna watu wanakosa haki zao kwa kumnyima k bosi.unanyimwa kwenda kusoma,likizo nk.halafu wewe hujagongewa mkeo ndo uunge mkono huu upuuzi
Mwenzetu yamekupata? Mwaga hapa nuziNakubaliana na wewe maafisa utumishi hawana maadili kabisa
Mbona wanaoliwa hawalalamiki? Inawezekana wanaenjoi kuninilii na bosi, au labda anatoa huduma nzuri mhanga mmoja ajitokeze bhana ndoa tano... duh hongera HRO!Weka jina lake kamili, sasa hivi litaingia UTUMISHI headquarter....huyo lazima arudi kijijini kwao, kwanza ataitwa Wizarani haraka sana...kisha atakaa idle pending investigation....then ni kufukuza...manyoko zake..!!
Weka jina lake kamili, sasa hivi litaingia UTUMISHI headquarter....huyo lazima arudi kijijini kwao, kwanza ataitwa Wizarani haraka sana...kisha atakaa idle pending investigation....then ni kufukuza...manyoko zake..!!
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia.Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.Aloyce HRO aliyehamia Nzega.Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada.Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kuwatia mmoja mmoja.Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yako baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.Ninayo mengi,niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao.Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia.Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada.Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.
Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kuwatia mmoja mmoja.Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yako baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.Ninayo mengi,niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao.Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.
anaitwa Aloyce Andrew Kwezi,check no.10197183 ni Mnyamwezi wa Urambo.
Nasikia akinyimwa anafukuza au anaunda zengwe uhame. Kwa taarifa jamaa hiyo ni halmashauri ya 7 na anakingiwa kifua na waziri Fulani mdada. Kazi mnayo. Huku alikotoka tulimkataa. Kazi kwenu...
hapana mkuu hanijui simjui,isipokuwa nipo kazini.Mwanza na Nzega wapi na wapi.hapa ninakusanya ushahidi tupole sana, kwa jinsi ulivyoelezea kwa uchungu kama hayajakukuta basi una moyo wa kishujaa..
mkuu Ethics unazijua?tambua pia kuna watu wanakosa haki zao kwa kumnyima k bosi.unanyimwa kwenda kusoma,likizo nk.halafu wewe hujagongewa mkeo ndo uunge mkono huu upuuzi