Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Hehehehe kuna shosti kidogo ajiue huko halmashauri ya chato baada ya afisa utumishi kula mzigo akijua yuko peke yake kumbe ofisi nzima wadada walishalambwa. Bad enough baada ya mechi na ahadi hewa kibao boss akamuwekea tinted. Mbona alihama wilaya kwa kiweweeeee. Tena yeye alikuwa ni afisa utumishi grade 11. wadada jiheshimuni ukimwi upooo
 
Yeyote aliyegongewa Mke wake anitafute in arobadili mistari mitatu tu anabadilika kuwa chochote utakachonuizia
 
Kwani anawabaka? hawa watakuwa wanampa wenyewe kwa hiari yao hivyo acha unmbeya! Wao ni watu wakubwa hivyo wanao uwezo wa kukataa na huyo bwana asiwafanye kitu.Kazi ni kwao!
Ngoja siku moja ugongewe mke,tuone km utakuja hapa kutoa komment za kikuda km hizi.
 
Hehehehe kuna shosti kidogo ajiue huko halmashauri ya chato baada ya afisa utumishi kula mzigo akijua yuko peke yake kumbe ofisi nzima wadada walishalambwa. Bad enough baada ya mechi na ahadi hewa kibao boss akamuwekea tinted. Mbona alihama wilaya kwa kiweweeeee. Tena yeye alikuwa ni afisa utumishi grade 11. wadada jiheshimuni ukimwi upooo
Yah!!,hilo ni fundisho pia.
 
Yeyote aliyegongewa Mke wake anitafute in arobadili mistari mitatu tu anabadilika kuwa chochote utakachonuizia
Ah!!,wapi!!!!,mbona Masheikh wenyewe wanagongewa wake zao,mabinti zao lkn sijawahi sikia mtu akibadilika kuwa chochote????!!!!.
 
Mnamfungia kazi tu mnasawazisha malinda, bwege mmoja atasumbuaje wanaume wote mjini k***mae ndio kusema ni rijali sana?
 
wamesema uwasemee waliotendewa kwa nini wasiende huko PCCB.
Umesahau majuzi tu vyombo vya habari viliandika afisa utumishi wa jiji la Mwanza kwa jina la Songoma alivyoomba rushwa ya ngono kutoka kwa mwl. ili ipate nafasi ya uhamisho, yule dada akawatonya PCCB(ya Tanzania) nao wakaweka mtego hadi gesti, jamaa akadakwa na kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi, baadae ilikuja kufahamika kuwa huyo boss mkware alihamishiwa wilaya nyingine na kupandishwa cheo. Jiulize fedheha aliyopata yule mwalimu. Hawa maofisa ni bora wahukumiwe na mahakama za kienyeji kwa kuwafumua marinda!
 
hao wanawake ?walaumu hao mademu kwa kua hawana msimamo
 
Kama ni kweli huyo shababi kavunja ndoa tano na bado wahusika hawajalalamika,basi jamaa atakuwa mtaalam wa kupiga deki bahari.....maana nasikia wanawake huwa wanainjoi sana,hivyo wanaogopa wakimsemea watakosa uhondo....!
 
Tatizo hao wadada huenda walipata Kazi bila sifa. Maana HRO hana uwezo wa kukufukuza Kazi wala kukupandisha cheo kwa vile kwenye halmashauri kuna bodi maalumu ya ajira ikiongozwa na wakuu wa idara mbalimbali. Hivyo nadhani taaluma zao ni mbaya pia japo wengine hulka yao kugawa vitumbua vyao hasa wakijua tiyari kina mchanga
 
Tunaweza kumlaumu huyo bwana lakini hao wanawake 'anaomalizana nao' wanatambua thamani ya utu wao?
 
Huyo HRO kama angekuwa anatafuna wanafunzi wa primary/secondary kwa kasi hiyo, labda kungekuwa na kesi ya kuongelea. Lakini sasa mijimama iliyokomaa kabisa inayovua chupi zao kwa hiari yao tunataka kuwaingiza TAKUKURU? Tena wengine wake za watu kabisa? Hii ni kuendeleza matumizi mabaya ya resources zetu
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.

Na ww ukiwemo ulie fanyiwa hivyo maana huwez shitaki kitu kama hujaona uchungu wale halafu unawivu balaaaa, sasa pccb inahusikaje hapo wakat nimaelewano kwan anawalazimisha?jipange upya
 
Tatizo wadada pia hawapendi tabu ...wakipata matatizo badala ya kuyakabili wanatafuta mlango rahisi yaishe na kuishia kudhalilisha utu wao.
 
Huyu jamaa bado yupo hapo Nzega?Yaani hawa HRO huko Halmashauri huwa wanajiona kama Miungu watu.
Ukifanya kazi za Tender na watu wa Council utagundua jamaa ni "washamba" sana na wanaabudiana sana kuliko maelezo.Unafiki nafiki mwingi na kusengenyana!!
 
Back
Top Bottom