Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Afisa Utumishi Halmashauri Nzega anatafuna watumishi wake

Huyu jamaa simjui ila mtakuwa mnamzushia! Maamuzi sehemu ya kazi hayafanywi na mtu mmoja na pia vipo vyombo kibao vya kutoa malalamiko haya na kama yana ukweli yakafanyiwa kazi. Ninachokiona hapa ni kuchafuana!

kusema uovu wa mtu ni kumchafua? Hiyo tabia ipo sehemu nyingi, binti zetu, dada zetu, wake zetu, mama zetu, wanafanyiwa hujuma kama hizi maeneo ya kazini. Dawa nzuri ni hii ya kuwasema hadharani.
 
Safi sana Bwn Aloyce HRO, tembeza bakora mpaka uumwe Tezi dume. Naona unaendeleza fani ya mukulu wetu. Ila tumia ndom muzee, si umeona hao malaya wanavyogawa. Ikiwezekana kula hadi vidume kama huyu mleta mada OKW BOBAN SUNZU.
 
Siwatetei ila hao wanaowakubalia kwani wanabakwa? wadada jifunzeni kusema no! wakware hao hawana jinsi ya kukulazimisha ukimkataa outrightly!
 
mkuu gwangambo umenichekesha sana hyo comment yako na hyo id picha yako. hahahahaaaaaa! cna mbavu
 
Mimi ni mdau wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega,nimekuwa nikifanya kazi mbalimbali na halmashauri hii,Waliozungumziwa katka uzi huu nawafahamu,kwa asiyejua anaeeza kuyabeba maneno haya kama yalivyo,lakini kwa mtu aliyefanya kazi ktk halmashauri nyingi Tz hii,majungu na kuchafuana kwa Sbb mbalimbali ni jambo la kawaida.

Huu ni ugomvi kati ya mtumishi na mtumishi unahamishiwa mitandaoni na kuathiri mambo ya familia na kazi,kwanza hakuna ndoa yoyote iliyovunjika.

Ugomvi huu unatengenezwa na Dada mmoja anaitwa Regina Shasha ambaye ndiye Afisa Mipango wa Halmashauri,huyu anatakiwa kuhamishiwa kama Afisa Mipango mji Wa Nzega ili aachie nafasi ya Mipango Wilaya,kuhama kwake hiyo ofisi kunamtesa sana,amejaribu kuhonga sehemu ya baraza la madiwani ili wampiganie abaki,amegawa laki laki kwa sehemu ya madiwani lkn hali bado tete,anajenga bifu na HRO sababu anahisi amehusika kumuhamisha,Lkn zaidi hataki kuachia ofisi ya Mipango H/Nzega akijua kuwa msadizi wake ata-take over,ndio maana kamtengenezea zengwe msaidizi wake kuwa ndoa imevunjika..Lakin ukweli ni kuwa hakuna ndoa iliyovunjika.

Woga Wa Regina ni kuona nafasi yake H/Nzega kuchukuliwa na msaidizi wake,Maana kama ni huo "uzinzi" wanaosema hata yeye hawezi kuukwepa maana inajulikana hataki kuhama Halmashauri ya Nzega sababu ni Mchepuko wa Mkurugenzi Abrahaman Mndeme,akihamishwa hatapata "previledge" alizokuwa anazipata kwa mchepuko wake,kwa hiyo hizi ni "siasa" tu za maisha ya kazi za Halmashauri,wadau wanaojua wanaweza kumwaga mboga na kila kitu kikaeleweka lkn si kuchafuana.

Huyo Regina ndo huyu?

10533051_1475101202738312_2586241628217674883_n.jpg
 
Lakini wanaovuliwa chupi ni akina dada na wanaume wanapodai stahiki zao nao wanawajibika kwa nani?me nadhan ni hulka zao tu wadada kupenda mteremko na kuamini kuwa mambo yao yatakwenda sawa kwa kulalwa

Na kuthibitisha unayosema angalia jamaa anasema huyo afisa ameshajunja ndoa 5!!!! . Sasa in maana hao wadada hawajui haya yote??? wameona huo mchezo ni bora kuliko hata ndoa zao ndio maana wanaendelea. Mjinga kama huyo mnamshikisha kirahisi tu na kumpa kichapo cha mbwa mwizi halafu waone huyo wanaendai anamtetea atasema nini. Hebu mwenye namba yake anipm nimdakishe fasta tena kwa dada poa tu.
 
mkuu Ethics unazijua?tambua pia kuna watu wanakosa haki zao kwa kumnyima k bosi.unanyimwa kwenda kusoma,likizo nk.halafu wewe hujagongewa mkeo ndo uunge mkono huu upuuzi

Huyo mke atakua mpumbavu sana. Kwa nini asipange dili na mume wake then jamma adakwe? Siamini kama bado kuna watu tena walienda shule mbinu ndogo kama hizi wanashindwa kuzipanga!!!!!!! Na kama bado tunavisingizio hivi basi safari ni ndefu sana katika kupigania haki zetu. Tubadilikeni jamani visingizio visivyoshirikisha mipango ya dhati havitasaidia. Imagine hilo lijamaa liwe na HIV Hapo inakuwaje? kukosa Kazi ni hatari kuliko Kupata HIV?
 
Wa kalaumiwa ni hao wanawake wenyewe. Mimi mwanamke aliyevuka 18 tena mfanya kazi akirubuniwa akaenda mwenyewe kwa miguu yake gesti au nyumbani kwa huyo jamaa, akavua chupi mwenyewe bila kushikiwa panga, rungu, kisu, nondo au bunduki huyo atakuwa kakubali kwa hiari yake hapo hamna kosa acha huyo jamaa ajitafunie tu kiulaini. Siku hizi takukuru wapo kila wilaya na vifaa kibao vya kuweza kumnasa kwa nini hao wanawake kama hawamtaki na anawasumbua wasiende kuripoti ili jamaa anaswe? Kama kweli hawajakubali kwa hiari yao kwa nini wasiwaeleze wanaume wao ili wamtege huyo jamaa wamfanyizie ahame nzega bila kuaga. Kwa kifupi hao wanawake wanamkubali wenyewe kwa njaa na tamaa zao basi hamna kingine.

Tena huanza kwa kujipitisha pitisha kwa jamaa ili wasomeke!!!!
 
Mimi ni mdau wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega,nimekuwa nikifanya kazi mbalimbali na halmashauri hii,Waliozungumziwa katka uzi huu nawafahamu,kwa asiyejua anaeeza kuyabeba maneno haya kama yalivyo,lakini kwa mtu aliyefanya kazi ktk halmashauri nyingi Tz hii,majungu na kuchafuana kwa Sbb mbalimbali ni jambo la kawaida.

Huu ni ugomvi kati ya mtumishi na mtumishi unahamishiwa mitandaoni na kuathiri mambo ya familia na kazi,kwanza hakuna ndoa yoyote iliyovunjika.

Ugomvi huu unatengenezwa na Dada mmoja anaitwa Regina Shasha ambaye ndiye Afisa Mipango wa Halmashauri,huyu anatakiwa kuhamishiwa kama Afisa Mipango mji Wa Nzega ili aachie nafasi ya Mipango Wilaya,kuhama kwake hiyo ofisi kunamtesa sana,amejaribu kuhonga sehemu ya baraza la madiwani ili wampiganie abaki,amegawa laki laki kwa sehemu ya madiwani lkn hali bado tete,anajenga bifu na HRO sababu anahisi amehusika kumuhamisha,Lkn zaidi hataki kuachia ofisi ya Mipango H/Nzega akijua kuwa msadizi wake ata-take over,ndio maana kamtengenezea zengwe msaidizi wake kuwa ndoa imevunjika..Lakin ukweli ni kuwa hakuna ndoa iliyovunjika.

Woga Wa Regina ni kuona nafasi yake H/Nzega kuchukuliwa na msaidizi wake,Maana kama ni huo "uzinzi" wanaosema hata yeye hawezi kuukwepa maana inajulikana hataki kuhama Halmashauri ya Nzega sababu ni Mchepuko wa Mkurugenzi Abrahaman Mndeme,akihamishwa hatapata "previledge" alizokuwa anazipata kwa mchepuko wake,kwa hiyo hizi ni "siasa" tu za maisha ya kazi za Halmashauri,wadau wanaojua wanaweza kumwaga mboga na kila kitu kikaeleweka lkn si kuchafuana.

Mkuu barafu waambie ukweli..
Kuna kipindi nilikuwa Nzega..haya maneno ni ya chuki kwa Aloyce..huyu jamaa akajipange na huyo demu wake wasituthibitishie umalaya wao wa kutokuheshimu ndoa zao
 
mimi napita tu ila jamani hakuna maumivu makali ya kumoyo kama mkeo "kupakuliwa" na midudu bwasha ya ajabu!!
 
Duh kazi kweli kweli..... Ila kupigiwa inauma sana. Hii tabia ya mheshimiwa sio nzuri kwakweli.
 
Mkuu huyo jamaa si alikuwa biharamulo na akaenda chato miaka hiyo ya nyuma mbona alikuwa mtu mzuri tu? Kulikoni au kupanda cheo ndilo tatizo la kuzidisha kufungua zipu?
 
Mkuu huyo jamaa si alikuwa biharamulo na akaenda chato miaka hiyo ya nyuma mbona alikuwa mtu mzuri tu? Kulikoni au kupanda cheo ndilo tatizo la kuzidisha kufungua zipu?

Alivyotoka Chato akaenda Handeni...Mkuu hizi fitna tu
 
Ningeshangaa kama angekosa wa kumtetea humu. Kati ya vyote tujifunze kutokana na changamoto hizi zilizomkuta ndugu....
 
Katika pitapita zangu nimejifunza kuwa maafisa utumishi wengi wa kiume ni malaya na hutumia vyeo vyao kuwadhalilisha wafanyakazi wa kike kijinsia. Tabia hiyo chafu amekuja nayo pia Bwn.

Aloyce HRO aliyehamia Nzega. Mkuu huyu anaichachafya Halmashauri kwa kucharaza bakora wadada. Kwa kipindi kifupi amefanikiwa kuvunja ndoa 5 ikiwepo ya dada mmoja afisa mipango msaidizi.

Bosi huyu amefanikiwa kugonganisha wakuu wa idara wa kike kwa kutembea na mmoja mmoja. Amefanikiwa kumuhamisha Mkaguzi wa Ndani baada ya kuzuka ugomvi kati yao baada ya HRO kumtaka mke wa jamaa.

Ninayo mengi, niwaombe PCCB ilifanyie kazi swala hili kwani watumishi wa kike wananyanyasika kijinsia pindi wanadai stahili zao. Kaka Kwezi data zako system inazo na inazifanyia kazi na utavuna unakipanda.

Hahahaaaa!

Mzee(HRO) anatafuna "neema za Allah""
Nashkuru sijaona kipengele chakwamba anawabaka/anawalazimisha. Nadhani wanampagampaga tuuuuu!!!!

Safi sana Afsa.
 
Hahahaaaa!

Mzee(HRO) anatafuna "neema za Allah""
Nashkuru sijaona kipengele chakwamba anawabaka/anawalazimisha. Nadhani wanampagampaga tuuuuu!!!!

Safi sana Afsa.

Anajinoma kaka.... Anafanya mazoezi maana kuna ahadi ya mizigo 40 kwa siku na unapewa nguvu za kutumia mizigo 100 wakati huo huo 60 wa akiba. Hiyo hunifurahisha sana.
 
Anajinoma kaka.... Anafanya mazoezi maana kuna ahadi ya mizigo 40 kwa siku na unapewa nguvu za kutumia mizigo 100 wakati huo huo 60 wa akiba. Hiyo hunifurahisha sana.

""""Mnyazi Mungu atuingize Peponi inshaAllah!!""""
 
Hakuna kindergatten hapo wote wanamzimia na yeye anawazibua bila kuwalipisha kodi!!
 
Back
Top Bottom